STORY: KISA MAPENZI TU SEHEMU YA: 12




******************
Prisca alizidi kunisogelea pale Kwenye lile kochi dogo nililokuwa nimeketi humu ndani ya hiki chumba cha Hoteli. Prisca alibakia na nguo tu ya ndani (Chupi) pekee mwilini mwake ambayo alihitaji mimi ndio niweze kumvua! "Baby vipi jamoni mbona bado unaonekana kama vile una mawazo, unawaza nini tena?" aliniuliza Prisca huku akiketi juu ya mapaja yangu mara baada ya kuwa tayari amenifikia hapa kwenye kochi. "Sikiliza Dada Prisca unajua mimi bado nna wasiwasi na yule jamaa Benny pamoja na kaka yako" nilisema. Prisca alitabasamu halafu akasema: "Sasa wasiwasi unatokea wapi tena My love, na ikiwa tayari kule nyumbani tumeshaondoka sasa hapa Hotelini watapajuaje?" Prisca aliniuliza huku akianza kunipapasa mwilini mwangu taratibu. "Wasiwasi ni lazima niwe nao kumbuka Benny ameshatangaza vita na mimi, kiukweli naogopa sana" nilisema. Prisca akakunja sura yake kidogo kuonyesha kama vile anachukizwa na hii hofu yangu niliyonayo halafu akaniambia: "Sikiliza Jose ngoja  nikuambie kitu, mimi mpaka muda huu tayari nimeshakupenda hivyo sitaweza kukubali nikuone wewe ukiingia kwenye matatizo ukiwa na mimi naomba ujiamini" Prisca aliniambia. Baada ya hapo akauleta mdomo wake mpaka mdomoni kwangu na kuanza kunila denda huku akijaribu kunivua T-shirt niliyoivaa, Basi Mwanaume sikutaka tena  kuleta longolongo ikabidi niingie mzigoni kwa kumpa ushirikiano Prisca aliouhitaji kutoka kwangu. Joto Kali la mapenzi tayari lilikuwa limeshanipanda kwenye mwili wangu hivyo sikuona sababu ya kuendelea kulaza damu hapa! Tuliendelea kubadilishana  ladha ya mate kwenye ndimi zetu huku mikono yangu ikianza kufanya utalii wa ndani kwenye mwili laini mithili ya Sufi wa mrembo Prisca huku pia nikiyanyonya taratibu matiti yake mazuri mdomoni mwangu,  kuja kutahamaki tayari ile Chupi yake nimeshaivua na huku mimi pia nikiwa nguo zangu zimeshanitoka mwilini. Sasa ikawa ni balaa juu ya balaa nikam'beba juu juu Prisca mikononi mwangu kama vile nimebeba mtoto mchanga na kunyanyuka naye pale kwenye Kochi nikampeleka moja kwa moja mpaka kitandani. Kitanda nacho kikaweza kutupokea vyema kwa ajili ya shughuli pevu! Sikutaka kumchelewesha huyu mtoto wa kike kwa vile alikuwa tayari ameshaiva na anastahili kuliwa basi Mwanaume nikamuweka mkao wa kula na kuanza kumla taratibu bila hata ya papara. Tukapiga show Kali ya kibabe!
Baada ya muda wa takribani masaa mawili na nusu wote tulikuwa hoi bin taabani hatujiweza kwa uchovu wa Show hiyo ambayo ilikuwa ni zaidi ya ile ya Jana usiku kule nyumbani kwa Prisca. "Mmh kweli Jose umejua kuuchezea mwili wangu, yaani hapa nilipo najisikia burudaniii" Prisca aliniambia huku akiwa amejilaza kwenye kifua changu. "Sio kweli bwana, ina maana namshinda Benny?" nilisema kwa utani huku nikimchezea nywele zake ndefu ambazo kwa wakati huu zilikuwa zipo timutimu. "Msenge tu yule hana maajabu yeyote kitandani kwanza ajawahi kuniridhisha hata siku moja kimapenzi" Prisca alisema kwa dharau ya hali ya juu sana akimsema Benny mpenzi wake aliyeachana naye kuwa Eti hajui mapenzi. Mimi niliishia tu kucheka na kujiona tayari nimeshakuwa Kamanda japo sina magwanda! "Jose mpenzi wangu tafadhali naomba sana usije kuniumiza moyo wangu, yaani najikabidhi kwako jumla sitaki kusikia chochote" Prisca aliniambia. "Hata mimi nakupenda sana Prisca lakini tatizo ni huu umasikini wangu, pamoja na vile vitisho vya Benny pamoja na kaka yako vinaninyima sana amani mpenzi" nilisema huku nikichezea chuchu ngumu za mrembo Prisca ambazo muda mfupi tu uliopita nimetoka kuzinyonya na kuzifaidi. "Kuhusu hao watu naomba mpenzi wangu wala wasikunyime amani, niachie mimi nitajua namalizana nao vipi kuhusu huyo Benny hapa hana chake tena" Prisca alisema na kunipiga bonge la busu shavuni. "Nashukuru sana mpenzi kwa kuniambia hivyo na kunitoa hofu" nilisema huku nikitabasamu. Baada ya hapo tukaingia bafuni kuoga wote kwa pamoja kwa hakika ilikuwa ni raha sana! Kwani huko bafuni tuliogeshana na kusuguana kwa mahaba yote, na tulipomaliza kujisafisha miili yetu tukaweza kurudi tena chumbani hii ilikuwa tayari imeshafika majira ya mchana baada ya kuvaa nguo zetu vizuri Prisca akaweza kupiga simu kule chini sehemu ya Mapokezi na kuagiza chakula pamoja na vinywaji. Baada ya muda mchache tukaweza kuhudumiwa chakula na vinywaji vyetu hukuhuku chumbani. Tulikula kwa kulishana kimapenzi zaidi na tuliposhiba vizuri tukashushia na vinywaji mdogomdogo hapo ndipo Prisca akaniuliza: "Sasa baby ni kweli ulikuwa unataka kwenda huko kijijini kwenu kumuona bibi?" Prisca aliniuliza. Nikaishusha Glass ya juisi na kuitua juu ya meza ya kioo na kumjibu: "Ni kweli mpenzi wangu nahitaji kumuona bibi yangu kwani nimemkumbuka sana" nilisema. "OK baby basi Hamna shida kesho tutaondoka wote kwenda kumuona halafu tutarudi naye hapa mjini tuishi pamoja" Prisca aliniambia. Nilishtuka sana kusikia hivyo na nikamuuliza: "Ina maana tutaenda kuishi pale nyumbani kwako?" nilimuuliza. Prisca akatabasmu kidogo na kuniambia: "Hapana tutaenda kuishi sehemu nyingine tofauti kabisa na pale, huko Benny au kaka Eddy awapajui tutaishi mpaka wazazi wangu watakaporudi hapa Tanzania ndio nitakupeleka kukutambuliaha kwao" aliniambia Prisca. Nilifurahi sana kusikia hivyo haraka sana nikanyanyuka na kumkumbatia Prisca huku nikimmiminia mvua ya mabusu! "Siamini mpenzi wangu kama na bibi yangu naye tunaenda kumchukua na kuishi naye hapa mjini" nilisema. "Baby naomba uniamini na kuanzia sasa ngoja niende kule nyumbani kwangu nikachukue nguo zangu kwa ajili ya safari" alisema Prisca. Kweli baada ya hapo muda kidogo Prisca akaniaga kuwa anatoka Mara moja anaenda kwanza maeneo ya katikati ya jiji kuangalia miradi yao ya biashara inaendelea vipi halafu pia ataenda kule nyumbani kwake Mbezi Beach kwa ajili ya kuchukua nguo zake na halafu ndio arudi tena hapa Hotelini ili tulale na kesho asubuhi na mapema ndio  tuanze safari ya kuelekea kijijini kwetu huko mkoani Morogoro. "Kwani huko gari si inafika mpaka kijijini?" Prisca aliniuliza hivyo kabla ajaondoka. "Ndio gari inafika japo barabara ni mbaya sana haina lami kuvuka hapo Morogoro mjini, huko kijijini kwetu ni milimani kabisa" nilisema. "Basi usijali My dear ngoja nifanye mpango wa kumkodi dereva ambaye atatuendesha kutoka hapa Dar es salaam mpaka huko kijijini, maana nisikufiche baby mwenzio nimezoea kuendesha gari hapahapa mjini safari ndefu siwezi kuendesha" aliniambia Prisca huku akicheka. Baada ya hapo Prisca akaondoka na kuniachia kiasi cha pesa kama shilingi Laki moja kwa ajili ya dharura yeyote ambayo kama itanitokea pia akanipa na simu ya kubwa ya kisasa kabisa (Smartphone) kwa mawasiliano zaidi. "Usitoke humu chumbani mpenzi mpaka mimi nitakaporudi kwani sitachelewa sana, kama utahitaji huduma yeyote ya kinywaji au chakula ukijisikia njaa piga simu kwa wahudumu" alisema Prisca akaja na kunibusu halafu akaondoka zake. Mimi nilibakia tu chumbani na kujilaza kitandani nikiangalia TV huku nikiendelea kuutafakari huu upendo anaonionyesha huyu mrembo Prisca sikuutegemea!.
*************
Upande wa akina Benny pamoja na yule Eddy ambaye ndio kaka yake na Prisca baada ya kuachana na sisi kule nyumbani kwa Prisca muda ule wa asubuhi ambapo Benny mpenzi wa zamani wa Prisca alinipiga mkwara wa nguvu mpaka na kunitishia bastora kuwa ataniuwà endapo kama nitaendeleza uhusiano na Prisca. Kwa muda huu na wao walikuwa wamekaa kwenye Bar moja kubwa sana na maarufu huko maeneo ya Kinondoni wakipanga mipango yao mibaya dhidi yangu! "Unajua Eddy Dada yako Prisca leo amenionyesha dharau kubwa sana, yaani kweli ameachana na mimi na kwenda kumpenda yule kapuku wa mitaani?" alisema Benny kwa hasira. Eddy akapuliza moshi mzito wa sigara hewani kwa kupitia mdomoni mwake halafu akasema: "Sikiliza Shemeji yangu Benny kuendelea kubwata akutasaidia kitu cha msingi hapa ni kufanya mpango wa kuyasambaratisha hayo mapenzi yao" alisema Eddy. Benny akashusha pumzi halafu akauliza: "Sasa tutayasambaratisha vipi na ikiwa Prisca ndio keshampenda yule fukara?" Benny alihoji. "Sikiliza nikuambie, hakuna mapenzi ya tajiri na fukara hapa duniani hata wazazi wakirudi kutoka Ulaya watashangaa sana kusikia Prisca yupo kwenye mahusiano na yule boya" Eddy alisema. "Sasa tutafanyaje mwenyewe  unajua Dada yako jinsi ninavyompenda na sipo tayari kabisa kumkosa" Benny alisema. Eddy akacheka sana na halafu akasema: "Wewe ndio Shemeji yangu ninaekutambua ambaye unaendana na Dada yangu" alisema Eddy halafu tena akaongezea: "Hapa nimepata wazo unaonaje kama tukimteka na kumuua yule Pimbi?" Eddy aliuliza. "Yes ni wazo zuri sana hilo, hata mimi pia nilifikiria hivyo sasa tutampataje?" aliuliza Benny. "Njia ya kumpata mbona ni ndogo sana, kama tuliweza kumuona asubuhi pale nyumbani kwa Prisca basi ndio tutakapompatia palepale" alisema Eddy huku akichukua Glass ya bia na kuipeleka kinywani mwake. "Mmh kwa hilo sina una uhakika kama bado atakuwa yupo pale kwa Prisca, unajua Dada yako ni mjanja sana inawezekana ameshamuondoa pale ili kukwepa tusiwasumbue" Benny alisema huku akionyesha wasiwasi wake. "Hata kama itakuwa amemuondoa ni lazima tutampata tu, sisi ndio watoto wa mjini hatushindwi kitu" alisema Eddy kwa kujigamba. Benny akacheka sana na halafu akasema: "Yaani hapo ndio ninapokubali wewe ni zaidi ya Shemeji kwangu, kwa mipango tu upo vizuri" alisema Benny akimsifia Eddy. "Sasa hapa hakuna kupoteza muda tena, fasta twende Mbezi Beach kwa Prisca tukaangalie mpango utaendaje na kama tukimkuta amemuondoa tutamfuatilia mpaka tujue amemficha wapi" alisema Eddy na baada ya hapo wakaondoka hapo kwenye hiyo Bar na kuingia kwenye gari ambayo ni ya Eddy halafu wakaondoka kuelekea nyumbani kwa Prisca kuangalia kama mimi bado nipo!.
************
Prisca naye baada ya kumaliza kuzungukia miradi ya biashara za wazazi wao aliingia kwenye gari yake na kuanza safari ya kuelekea kwanza nyumbani kwake kwenda kuchukua nguo baadhi ya nguo zake na halafu arudi kule Hotelini maeneo ya SINZA  nilipokuwepo mimi ili tulale wote na asubuhi kesho yake twende kijijini kwetu huko mkoani Morogoro kumuona bibi yangu anayeishi huko na halafu turudi naye mjini ili tuishi wote kama anavyotaka mrembo Prisca! "Itabidi nichukue ile PRADO ambayo ndio itafaa kwa safari ya kwendea huko, ngoja nimpigie simu dereva wa familia aje kule Mbezi nimkabidhi ile gari kesho asubuhi atufuate Hotelini atupeleleke kijijini kwa bibi wa mpenzi wangu Jose" alijisemea Prisca huku akiendesha gari na hapohapo akachukua simu yake ili ampigie huyo dereva ambaye atatusafirisha kesho.

ITAENDELEA ....







USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.