STORY: KISA MAPENZI TU SEHEMU YA: 21




******************
ILIPOISHIA.
Nikajikuta napata msisimuko wa ajabu mwilini mwangu, lakini bado sijasahau yale yaliyotaka kunikuta nikabaki najiuliza Je nikubali au nikatae kwanza mpaka nianze kusahau yale majanga ya akina Benny, nikajikuta nipo njia panda huku Prisca naye akizidi kunifanyia visa vya kimapenzi kwenye mwili wangu!.

👇ENDELEA NAYO👇
"Hapana Prisca kwa sasa bado sijisikii vizuri, kumbuka nimetoka kwenye msukosuko mzito sana hivyo akili yangu bado aijatulia" nilisema huku nikijaribu kuiondoa mikono ya Prisca mwilini. "Jamani Jose mpenzi wangu tafadhali naomba usinifanyie hivyo, mwenzio nashindwa kuzizuia hisia zangu pindi ninapokuona" Prisca aliniambia kwa sauti flani hivi ya kulalamika. Kiukweli lile tukio la kutekwa na Benny liliweza kuniathiri sana kisaikolojia, yaani mtu nimenusurika kukatwa sehemu zangu za Siri pamoja na kulawitiwa halafu hapo nitakuwa sawa kiakili kweli? "Prisca sio kama nakukatalia mpenzi wangu, lakini naomba unielewe kwa leo acha tu siku ipite tutafanya hicho kitendo wakati mwingine kwani mimi nipo nimerudi" nilijaribu kumuelewesha binti huyu ambaye tayari moto wa Mahaba ulikuwa umeshaanza kumuwakia. Nashukuru sana aliweza kunielewa japo hivyohivyo kwa shingo upande lakini alinielewa na tukaweza kulala bila ya kucheza mechi yaani sio Simba wala sio Yanga tulilala bilabila ngoma droo bila kufungana! Ukizingatia uchovu niliokuwa nao wa Siku  nzima niliyokuwa kwenye mtihani wa kushikiliwa na wale watu wabaya basi sikuchelewa kabisa kupata usingizi mzito nililala.
Hatimaye asubuhi ya siku nyingine nayo iliweza kufika nilishtuka kitandani nikajikuta nipo peke yangu Prisca sikumuona, nikajua mwenzangu atakuwa amewahi kuamka hivyo na mimi kwa uchovu nikajiinua kitandani na kuelekea kwanza maliwatoni kukojoa halafu nikaelekea sebuleni ambapo niliweza kumkuta Prisca akiandaa mambo ya Chai kwa asubuhi hii ya leo. "Ooho baby kumbe umeshaamka" alisema Prisca na kuja kunikumbatia. "Ndio nimeamka, vipi mbona aukuniamsha mapema si unajua nahitajika kituo cha Polisi kwenda kutoa maelezo?” nilimuuliza. "Ndio najua lakini niliona sio vyema nikuamsha mapema na ikiwa bado upo na uchovu ambao unahitaji muda mzuri wa kupumzika" aliniambia Prisca. Basi bila ya kupoteza muda akanipeleka bafuni kwenda kujiswafi mwili wangu ambapo huko niliweza kuoga pamoja na kupiga mswaki baada ya hapo nikarudi chumbani na Prisca akaweza kunichagulia nguo nzuri ya kuvaa kwa ajili ya siku hii na nilipomaliza kuvaa na kupendeza tukaenda mezani wote kwa pamoja kupata Chai ambayo ilikuwa ni 'baabu kubwa' kwa mapochopocho ya kula mpaka kusaza (Kubakisha) baada ya hapo tukaondoka zetu kwenda kule kituoni kuonana na mkuu wa kituo cha Polisi kwa ajili ya kunifanyia mahojiano.
Tuliweza kufika mpaka kituoni na kukuta pilikapilika zikiendelea huku wale watuhumiwa wakifanyiwa mahojiano na Polisi, tukaenda kuripoti ofisini kwa mkuu wa kituo nikiwa nipo mimi pamoja na Prisca. "Karibuni sana wapendwa, habari za tangu jana?" mkuu wa kituo alituuliza. "Ni nzuri mkuu tunashukuru tumeamka salama na ndio kama hivi tumekuja" nilisema. "Ok basi ni vizuri sana, kama wote mmeamka salama" alisema. na halafu akaanza kutupatia ripoti ya hayo mahojiano waliyoyafanya kwa wale watuhumiwa na kusema kuwa wote walikiri (Kukubali) kuhusika na makosa mbalimbali ya kiuhalifu ikiwemo utekaji pamoja na kukutwa na silaha kinyume cha sheria na biashara ya madawa ya kulevya huku wauhusika wakuu wa hayo matukio akiwa ni Benny na Eddy. "Aisee tumegundua kuwa Benny alikuwa anaongoza kikosi kikubwa sana cha wahalifu akishirikiana na Eddy, na kikosi hicho kilikuwa kinafanya matukio mbalimbali hapa mjini ikiwemo utekaji na uporaji" mkuu wa kituo alizidi kutufahamisha. Mimi na Prisca tulibakia tumeduwaa huku Prisca ndio akionekana kuduwaa zaidi kwani akutegemea kama kaka yake Eddy naye alikuwa anajihusisha na mambo hayo ya uhalifu pia hata na Benny licha ya kuwa aliwahi kuwa mpenzi wake hakujua kama ni mkuu wa Majambazi. Dokta Lee Chen yule Daktari wa kichina aliyetaka kulikata 'Gobole' langu kwa kupewa maagizo hayo na Benny aliletwa mbele yangu na kukubali kuwa alitumwa kunifanyia ukatili huo na Benny pamoja na Eddy. "Haya jamani watuhumiwa wote wamekubali makosa yao sasa kilichobakia ni kuwapeleka tu mahakamani wakashtakiwe, japo tumewakosa Benny na Eddy kwenye kesi hii kwa kuwa wamekufa lakini hawa tutawashtaki" alisema mkuu wa kituo akituambia hivyo.
Basi tukaweza kumshukuru sana mkuu huyo wa kituo na akaturuhusu kwenda nyumbani huku akituambia kuwa tutakapohitajika kwenda kutoa ushahidi mahakamani basi atatujulisha. Mimi na Prisca tukaondoka na kuwaacha wale watuhumiwa wakiendelea kushikiliwa pale kituoni na jeshi la Polisi.
****************
BAADA YA SIKU TATU
Kweli wazazi wa Prisca waliweza kurudi hapa Tanzania kuja kushiriki mazishi ya Eddy wakitokea huko nje ya nchi walipokuwa kwa ajili ya shughuli za biashara. Baada ya Eddy ambaye ni kaka yake Prisca kuzikwa, na Benny naye pia alizikwa na ndugu zake na huo ndio ulikuwa mwisho wao washenzi wale waliotaka kunifanyia mimi ukatili ule eti KISA MAPENZI TU na wakati Prisca amenipenda yeye mwenyewe pamoja na ufukara wangu nilionao sina kitu. Sasa nilijisikia kuwa na Amani ndani ya moyo wangu wale wasumbufu hawapo tena.
Jioni moja tukiwa tumepumzika kwenye eneo la bustani ndani ya mjengo wa Prisca tulikuwa tunapiga story mbili tatu. "Hivi Prisca unaweza kunihakikishia vipi usalama wa maisha yangu, kwa sasa hata kama Benny amekufa?" nlimuuliza. "Jose naomba uniamini mimi kwa sasa mapenzi yangu yote yapo kwako, moyo wangu nimekukabidhi wewe sina tena mwingine" Prisca aliniambia. Niliweza kushusha pumzi baada ya kusikia hivyo. "Sawa je wazazi wako watakubali wewe uwe na mtu fukara kama mimi?" nilimuuliza tena. Hapo Prisca akacheka sana halafu akaniambia: "Jose kwa sasa wewe sio fukara tena kwa kuwa tayari umeshakuwa na mimi, kuhusu hofu yako juu ya wazazi wangu hilo niachie mimi kesho nakupeleka nyumbani kukutambulisha kwao" Prisca alisema. "Basi sawa nafurahi kusikia hivyo mpenzi wangu nakupenda mmwaaaa" nilisema huku nikimpiga bonge la busu. "Haya sasa leo anataka unipe ule utamu ulionibania siku ile kwa kusingizia umechoka na misukosuko ya kutekwa" Prisca aliniambia huku akichekacheka. Tayari nimeshajua anataka nini kwangu, Prisca alikuwa anataka 'Gobele' langu likamfyatulie Risasi! "Poa leo Hamna noma mamaaa nitakutimizia unachohitaji, lakini vipi kuhusu ile safari yetu kwenda kijijini kumuona bibi yangu?" niliikumbushia safari ile ambayo tulitaka kwenda kijijini kwetu Morogoro na halafu ndio nikatekwa na watu wa Benny siku ile kule Hotelini. "Safari bado ipo  na sio kwenda kumuona tu bibi, tunaenda kumchukua na tutakuja kuishi naye hapa" aliniambia Prisca. Basi tena mpaka hapo sikuwa na neno la kuongea, nikamshika Prisca na kumvutia kwangu tayari kabisa kwa kumsasambua na 'Gobole' langu sikujali kabisa kama tupo kwenye eneo la  bustani ya mauwa, moto wa Mahaba ulikuwa tayari umeshawaka kati yetu tukaanza kunyonyana ndimi zetu huku tukitomasana miili kwa hisia Kali za Mapenzi kuja kutahamaki tayari nimeshamvua blauzi yake na kuanza kumtomasa chuchu za matiti yake huku naye Prisca alikuwa ameshaiondoa Pensi yangu niliyoivaa na kulitoa nje 'Gobole' langu lililokuwa tayari limevimbiana na akaanza kulichezea kwa madoido yake ya kike na kuzidi kunipandisha mzuka. "Mmh lakini mpenzi hapa sio sehemu nzuri ya kufanyia mambo yetu, hebu twende ndani tukajinafasi vizuri" nilijikuta nasema hivyo baada ya kugundua tupo kwenye eneo la wazi. "Baby nini bhana, mwenzio tayari nishazidiwa hebu nipe dozi acha mambo yako" Prisca aliniambia huku akizidi kuning'ang'ania mwilini. "Hata mimi pia nimezidiwa lakini hebu jaribu kufikiria je akitokea mtu yeyote hapa ghafla itakuaje?" nilizidi kumuelewesha. "Hayaa baby basi twende huko chumbani tukajiachie" aliniambia Prisca huku akinyanyuka na kuichukua ile blauzi yake niliyomvua hapo mwanzo na halafu akaivaa tena vizuri mwilini mwake. Na mimi pia nikarekebisha vizuri Pensi yangu na kuliingiza ndani ya boksa 'Gobole' langu lililokuwa tayari kwa mapambano. Halafu hao tukashikana mikono na kwenda zetu ndani tukapeane ladha tamu ya Mapenzi motomoto. Baada ya kufika chumbani tena atukutaka kuremba moja kwa moja tukaliamsha Dude kitandani tukachezeana vya kutosha na baada ya kuwa vyuma vimepamba moto tukasafiri pamoja safari yetu ya Mahaba kwa hakika tuliinjoy sana na kufurahia Penzi letu. Baada ya hapo tukaenda bafuni kuoga wote wawili kwa pamoja na baada ya kumaliza kujisafisha miili yetu tukarudi chumbani na kuvaa vizuri. Kwa kuwa usiku nao tayari ulikuwa umeshaingia tukala chakula na mwishowe tukaingia chumbani kulala. Moyoni mwangu bado nilikuwa nimejawa na hofu juu ya wazazi wa Prisca kuwa hiyo kesho nitakapopelekwa kwao kutambulishwa Je wataweza kunikubalia niwe na binti yao ikiwa mimi nimetokea kwenye maisha ya kifukara. Lakini Prisca alinipa moyo na kuniambia kila kitu kitaenda sawa basi tukaweza kulala huku tukiisubiria kwa hamu hiyo kesho Prisca  anipeleke huko nyumbani kwa wazazi wake Mikocheni ili akanitambulishe!.

ITAENDELEA ...







USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.