Matofali na udongo hujenga nyumba lakini vicheko,faraja na mke hujenga makazi,,,
Wengi wamejenga nyumba za kuishi lakini hawana sapoti ya furaha toka kwa watoto na mke ambao kimsingi ndo hutengeneza makazi bora ya familia.
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
No comments: