Natafuta Mwanaume aliye Serious na maisha
Habari wanabodi?
Mimi ni mdada umri miaka 26, single girl. Ni mweupe; mrefu saizi; mnene kidogo; mwaminifu na mpenzi wa mungu; nilielelewa kimaadili. Nimejiajiri mwenyewe na ninatafuta mwanaume aliye serious tuanze mahusiano; nimechoka kuishi peke yangu
No comments: