ZIFAHAMU SABABU ZINAZOPELEKEA KUCHEPUKA




kama heading inavyosoma, kumekuwa kuna malalamiko mengi kadri ya siku zinavyozid kwenda watu kusalitiana na kuvunjika kwa ndoa nyingi sana. Sababu zinazopelekea ni kama ifuatavyo
1. Kuwa insecure (me u ke kuhisi mwenza wake ana mahusiano mengine ya siri)
2. Kuchunguzana (haswa haswa kwenye hizi simu za kisasa zenye whatsapp,instagram)
3. Usiri wa hali ya juu
4. Kutokua na uvumilivu na vishawishi
5. Pesa


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.