WANAWAKE TU;ACHA KUJIWEKA CHINI JIKUBALI

Maandiko katika kitabu cha biblia yanasema"MWANAMKE AMCHAYE BWANA ATASIFIWA"nikwambie kitu msomaji wangu siku zote mtu ukiwa na mahusiano mazuri na Mungu,atakuwa na ujasiri na imani,pia mwanamke jifunze hili,usipoteze muda wako kumlazimisha mtu,na usifanye mambo yakakugharimu kisa tu upendwe,,jitambue, mpe Mungu nafasi,jiamini kama mwanamke, jitume acha utegemezi,,kwa kidogo unachopata jitunze,pendeza,vaa vizuri siyo unajichooka hadi siyo poa,,pendeza wakati wote huku ukimtumaini na kumtegemea Mungu,,hakika hutakuwa wa kawaida,,Mungu atakufurahisha kwa mumeo na kama hujapata basi atakuja atakaeendana na hadhi yako,,acha kujiweka chini jikubali wewe ni mzuri na mrembo.




USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.