UNATAKA KUJARIBU MAHUSIANO YALIO WAZI? MAMBO 4 UNAHITAJI KUFAHAMU KABLA
Mahusiano yalio wazi yalikuwepo na hata sasa yapo kwa baadhi ya watu wengi , Lakini kwa jinsi tunavyoongea kuhusu wao , na ukweli unaowahusu wao ni mwendelezo wa yaliopo. Kwa kuongezeka kwa haya mahusiano na sasa tupo katika masuala ya sex
Watu wengi sasa wanaonyesha mtindo mbadala wa mahusiano kuliko yale yaliopita zamani.
Mahusiano haya kwa kweli yatakuwa hayana sababu kwako kama wewe unapenda kuwa na uhuru wa kutosha. Na utachoka kwa urahisi sana, kwa hio kuwa kwenye mahusiano haya huenda ni kitu fulani ambacho ungependa, na unapenda. Lakini ukiendelea kupenda hicho, zitakuja changamoto ambazo hutaweza kukabiliana nazo.
Kwa hio kabla ya kuamua kuingia katika aina hii ya mahusiano , Ni vizuri kuangalia na kuona kama jinsi gani utajisikia kuhusu kila kitu kinapokuja kwenye maamuzi.
1.Mahusiano haya yanahitaji muda. Muda mwingi wa kutosha.
Kama unatoka na mtu zaidi ya mmoja , itakuchukua muda mwingi zaidi ya ule muda ambao ulikuwa na mmoja. Mahusiano yalio wazi huchukua muda, itakupelekea kuwa na wiki moja hadi tatu kumaliza mzunguko. Kujaribu kupanga muda namna ya yupi utatoka naye na yupi utamwacha. Na unahiaji kuwa na muda wa kutosha na kila mwenza . Au kuwepo hapo kwa ajili yao wote. Ili kutafuta njia ya kuwafahamu wote wawili– yote hio ni kutaka kuchanganyikiwa kwenye mpango wako, Kitu ambacho pengine already packed.
2.Itakuwa ni mchezo wa kuigiza–na pengine zaidi
Mahusiano haya mara nyingi hayana usalama, na huleta maumivu. Utakuwa na wivu. Utajaribu kutaka kuwatawala na huwezi, utapata uzoefu kwa yote. Na kwa sababu ni mahusiano yalio wazi utakosa ile hali ya kudeka ile hali ya utoto haitakuwepo na kukosa usalama.
Na kuachilia hilo inakuwa ni ngumu kwa sababu ni ya wazi, utakuwa na sababu ya kuchanganyikiwa . kuwa na mahusiano yalio wazi kwa namna hii , unatakiwa kuwa makini na kukabiliana na changamoto ambazo utakutana nazo ambazo ni za kawaida katika aina hii ya mahusiano.
Na kama utaamua kuwa na wenza watatu tofauti, utahitaji muda zaidi ya mara tatu na mchezo wa kuigiza ujue kuwa uwe nao na uwe na uwezo wa kufanya hivyo. Kumbuka , Hata wao wanakuwa na hali kama ya kwako. Kitu kikubwa katika changamoto hii ndani ya mahusiano haya ni kuwa mtu mwenye kunyenyekea. Na hapo utashika nafasi ya mioyo yao wote. Kwa kuwa nao watakuwa wanakutana na changamoto kama za kwako. Ni safari yenye mageuzi makubwa . ngumu na inahiaji uvumilivu wa kutosha na pia utapata pongezi kubwa.
3.Inatakiwa kuwa na kiongozi mmoja tu.
Mvutano uliopo ni msingi wa mahusiano ya ngono ambayo ni maarufu kati ya kike na kiume. Na hapo inabidi kuwepo mpango ambao hutaweza kuuvunja kwa sababu yoyote. Na mwingiliano huo utakuwa mzuri kwenu nyote.
Mwanaume atakuwa ndio kiongozi na mwanamke itabidi kuongozwa. Ni vizuri kama mwanamke atakuwa ametulia , na kumwamini mume wake, na kumwacha awe kiongozi. Kwa kuchukua ushauri wake, na kumwacha afanye maamuzi , na kuwa na mahusiano mazuri na wote.
Kama mwanamke anadate na mume zaidi ya moja, itakuwa ni tatizo. Itawezekanaje mwanamke mmoja aongozwe na wanaume wawili? Au hata zaidi? Haiwezekani. Atajikuta akijiuliza ni ushauri gani wa kuufuata. Na hio itakuwa ni hatari kubwa kwa mwanaume .
4.Wivu sio changamoto yako kubwa.
Kama unadate na mtu mmoja ni ahisi kuamua kumwacha, lakini kama upo na watu zaidi ya moja , utaachana na wengi .
Lakini sio kila mahusiano, maana yapo mahusiano yanayodumu hata mwisho.Sio rahisi lakini. Unapokuwa kwenye mahusiano ya wazi , unakuwa wazi kufanya chochote. Utajifunza mengi na kuwa mwenye kukataliwa na kukataa wengine.
Kuwa mkweli itakusaidia kuishi vizuri na kuwa mwenye amani.
Kwa hio utaweza kujaribu mahusiano kama haya ya wazi?
Hili ni jambo la mtu binafsi. Mahusiano yalio wazi kusema kweli sio mazuri kuliko kuwa na mahusiano ya mtu mmoja tu . Ingawa yote yana changamoto zake , lakini kila changamoto ina njia ya tofauti.
Kwa hio Kumbuka una moyo mmoja , Una uhakika gani kama utaweza kupenda mtu zaidi ya mmoja? Fahamu hilo kwenye maamuzi yako. Usitegemee kila kitu kuwa sahihi–haitawezekana. Lakini kama ukiamua kwenda katika mahusiano haya ya wazi lenga kukua katika uzoefu , haijalishi kitu gani kitatokea itakuwa ni sahihi kwako
No comments: