AAAH!! UMENIKOJOLEA SHEMEJI SEHEMU YA 01

Image may contain: 1 person, text

sehemu ya kwanza
Story by PoTz
Sharifa ni msichana mdogo mwenye umri wa miaka (19) alichukiwa sana na wamama wengi wakijijini kwao kwa mambo yake ya kuaharibu ndoa za watu.
Sharifa alikua mwanafunzi wa kidato cha pili alipofika sekondali aliongeza uhuni na kudiliki hadi kutembea na walimu wake
Kwa ufundi alionao sharifa uliwafanya wanaume wengi wawasahau wake zao na kumgombania sharifa, baba yake alipata kesi nyingi lakini sharifa aliziashinda kwa uwezo wake wa kujibu mpaka familia ikamshindwa
Siku moja likizo ya shule ilikaribia aliwaomba wazazi wake wakifunga shule ande mjini kumtembelea Dada yake ambaye aliolewa mjini, baba yake hakutaka mtoto wake aende mjini ila mama yake alitaka mwanae aende kwa Dada yake maana hapa kijini wanamsema mwanae vibaya alizania kuwa anasingiziwa
Likizo ilipo fika sharifa alikwenda mjini kumtembelea Dada yake aitwae baturi, sharifa alifika stendi na kupokewa na Dada yake baturi
Sharifa mdogo wangu jamani miaka miwili sijakuona ngoja nichukue tax tuelekee nyumbani (alisema baturi kwa furaha ya kumuona mdogo wake)
Wanapakia tax na kufika sehemu husika karibu mdogo wangu, wanachukua mizigo na kuangia ndani
Vipi mdogo wangu msomo yanaendaje? Nashukuru mungu anasaidia vipi shemeji yuko wapi maana nimemisi kumuona miaka miwili sasa toka akuoe sijamuona
Hahaha utamuona mdogo wangu sasa hivi ameenda kazini kuna mafundi amewapeleka ofisi yake ina malekebisho kidogo
Sharifa alihisi joto akamwambia Dada yake aende akajimwagie Maji Dada yake alimuelekeza chumba chake cha mapumziko na kupeleka bafuni, hichi ndio chumba utakacho lalia anamuonyesha choo na choo ni ichi cha ndani kwa ndani kisha baturi kutoka
Sharifa aliingia bafuni na kanga ya kifuani na kuanza kujitazama kwenye kioo cha bafu, eeeh mimi mzuri kumbe ndiomana kijijini wanajigonga gonga kwangu sasa watanikoma na huku mjini ( akijisemea bafuni sharifa)
Usiku unaingia sharifa akimsubilia shemu, Dada naenda kulala nimechoka sana usiku mwema (sharifa anaenda kulala)
Hodi mke wangu? karibu anaenda kufungua baturi waooh!! Mume wangu jamani mbna leo umechelewa na simu yako haipatikani nimekumis jamani akimpa denda aaah!! Mume wangu nimekuonjesha tu nenda kaoge kwanza aaah! Unapeleka wapi mkono ooooh!! Shemeji yako kaja ujuee aisiii twende ukaoge bwana aaAaah!!
ITAENDELEA



USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.