AAH! UMENIKOJOLEA SHEMEJI NO_4
AAH! UMENIKOJOLEA SHEMEJI
NO_4
NO_4
sharifa alipokua anatoka kwenye chumba cha mazoezi, alianza kutingisha makalio yako na kumtazama shemeji yake issa
Issa alianza kuyatazama mambo ya shemeji yake na kuanza kucheka,
duh haka kashemeji jamani kana makusudi sio bure mambo gani haya ananifanyia mimi
Sharifa aliingia ndani na kuanza kujichekesha kwa Dada yake
Vipi umemuona shemeji yako? Eeeh Dada nimemuona tayari** baturi aliandaa chai na kumfata mume wake ili akaoge apate kifungua kinywa
Mume wangu nenda kaoge unywe chai, utafanya mazoezi baadae huku akimchezea kifua cha mume wake
Sawa mke wangu hakuna shida,wanatoka gym
Baada ya muda sharifa anaanda chakula cha mchana na kukiivisha,
Dada baturi tayari nimesha ivisha njooni tule, sharifa anaanda chakula mezani,
Waooh! Mke mdogo umepika chakula vizuri sana kitamu hicho ongera!
Asante shemeji ila kawaida Yangu kukupikia chakula kitamu mume wangu ili usitoke kwenda kwa jirani' huku wakicheka
Baturi anamwambia mumewe,," mume wangu nanishida na elfu35 ya marejesho saa kumi tunatakiwa tulejeshe leo
Hakuna shida mke wangu utachukua kwenye droo ya chini kuna hela nimeziweka,
WANAMALIZA KULA
Dada tutaenda wote namimi nikaone mji kidogo?
Hapana Nina mizunguuko mingi mdogo wangu
* mke wangu si uendenae tu?
*nitaendanae siku ya soko kesho kutwa nataka niende nikamchagulie nguo za kutumia,kisha baturi na kutoka
Sawa nisalimie mama bonge mwambie nitakuja kumsalimia!
Haya mume wangu nitakusalimia,
Sharifa alianza kumtazama shemeji yake na kumchekea, hahaha shemeji unamuacha mke Mkubwa aende peke yake akiibiwa si unge mpeleka jamani
Hahaha haibiwi, bora nikulinde wewe mke mpya ila yule mjini kashapazoea
Hahahaha! Namimi nikipazoea utabaki peke yako tu,
Wapi? Nakufata nyuma nyuma mpaka uchoke wewe! (Alisema issa)
**Issa alitaka kwenda kufanya mazoezi kama kaida yake
Shemeji nakwenda kufanya mazoezi ya viungo kukiwa na shida yoyote utanambia naelekea kule ulipokuja asubuhi
Sharifa alitaka na yeye kwenda kujifunza mazoezi,shemeji namimi nataka twende tukafanye
Issa alimkubalia shemeji yake, sawa nenda kavae nguo ya mazoezi Mimi utanikuta natangulia
Sharifa aliingia ndani na kujiandaa kwa ajiri ya mazoezi'
Sharifa aliingia kwenye chumba cha mazoezi na kuingia ndani
Shemeji hii inafaa eeeh! Sharifa alijifunga tengeNa kulitoa shemeji hii inafaa Sharifa alivaa kinguo cha kubana kilicho muonesha tamu yake iliyotuna si inafaa shemej hii
ITAEN

No comments: