Ilikuwaje Ulipogundua /ulipoambiwa kuwa una mimba au umeweka mimba kwa mara ya kwanza
Mabaharia
Ulizipokeaje taarifa za kuwa unatarajia kuwa mzazi kwa mara ya kwanza je, ulikuwa umejiandaa tayari? Au ulikuwa upo unahustle maisha hayajaeleweka bado? Uliwezaje kukabiliana na changamoto?
Zilikustua au ulizifurahia?
Kuna vitu ulivisimamisha ili kufanya maandalizi ya kifungua mimba?
Naomba mtupe uzoefu hapa
Mimi nilikuwa zangu ki college flani mjini sina hili wala lile wazee wamenileta nisome nikaanza ubaharia nimepiga piga mmoja nikasababisha, Siku napewa taarifa nilifikiri utani nikaendelea na mishe zangu, nikampotezea yule Manzi baada ya miez kadhaa nikatumiwa picha, hapo nikahisi joto la mwili, miguu imekufa ganzi, nilihisi kiu, kichwa kikaanza kuniuma na mapigo ya moyo yakawa yanapiga bila utaratibu, aliyesababisha hakusimama kama siku kadhaa hivi,
Dondoka yako hapa chini
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments: