JIMAMA TAMU SEHEMU 37


Image result for JIMAMA TAMU
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 37
WhatsApp:0678926045
nalijuwa hilo mniga ila sasahivi kule ni kumechafuka Sana maana kunamajambazi walitaka kuwateka wazazi wangu Mimi nikawatorosha hadi pangoni kule, aliongea Salome,
'"Duuh Kama wakwako wapo Kama hivo je wakwangu itakuwaje Mimi, aliongea mniga huku Kama kachanganyikiwa,
'"ndomaana nimekufata ili tukasaidiae kuwalinda wazazi wetu aliongea Salome,
'"sawa nimekuelewa, aliongea mniga kwakuwa hapakuwa mbali Sana walifika na kushuka moja kwa moja wakaingia ndani kabisa huku mniga kavalia kofia kubwa na miwani ya tintedi walienda sehemu ya kukaguliwa wakapita safi na kwenda kupanda ndege, huku mniga kachanganyikiwa yani mapigo ya moyo aliongeza speed Sana ndege ikaanza kukata mawimbi,
'"mniga mpenzi usichanganyikiwe Sana unanichanganya na Mimi maana wewe ndo mwanaume inatakiwa uniongoze mpenzi wangu kama utakuwa hivi Mimi sintaanza kulia, aliongea salome kwa sauti Kama kweli anataka kulia,
'"unajuwa Salome moyo wangu unaniuma Sana na ninauhakika wazazi wangu hawapo kwenye usalama kabisa yani, aliongea mniga kwa machungu Sana,
'"hapana usiwawazie vibaya buana mniga. Aliongea Salome kwa kumfariji mpenzi wake huku akimlaza kwenye mapaja yake safari iliendelea kutokana na mawazo mengi mniga akajikuta akilala kwenye mapaja ya Salome hadi anakuja kustuka Salome ndo anamuamsha,
'"mpenzi wangu tumefika tayali tushuke, aliongea Salome na mniga akakurupuka fasta na kufungua mkanda na kuanza kushuka huku Salome anafuata kwa nyuma nyuma hadi wakatoka nnje kabisa ya uwanja mniga akaita tax na kupanda hadi Salome safari ikaanza ya kwenda sinza huku Salome anamwambia,
'"mpenzi jikaze bhana usiwe na mawazo Sana, aliongea Salome,
'"Duuh mpenzi wangu Mimi yani moyo wangu unauma sana ndomaana, aliongea mniga gari ilipamba moto hadi ikafika sinza na mniga akamlipa dereva tax yeye na Salome wakashuka, ila kilichoanza kumstua mniga ni pale alipoona geti lipo wazi akaanza kusogea kwa uangalifu kweli hadi akaingia getini akamkuta mlinzi akiwa kauwawa vibaya Sana hapo hofu ikaanza kumuingia zaidi akaanza kunyatia mlango wa sebleni huku yupo makini kweli na Salome akiwa nyuma yake kwanza wakakuta mlango upo wazi tu ndo alizidi kupata mashaka Sana akausogolea na kuingia ndani sebleni na kukuta pako kimya Sana yani ila zinainekana tu arama za damu tu, mniga alichanganyikiwa Sana mara mlio wa simu ikiita ukasikika na mniga akaangalia huku na kule akaiyona kwenye sofa akaisogelea na kupokoa huku akisikiliza kwanza ikaanza kusikika kicheko,
'"hahahahahaa ulijifanya mjanja Sana mniga ukanikimbia na kunipiga sasa ikwaopi hebu washa TV ujionee mwenyewe sasa, iliongea ile sauti na mniga akaitambua haraka Sana kuwa ni ya mjomba wake Salome mniga akawasha TV alichokiona ilikuwa ni zaidi ya maumivu alishindwa hata kusimama akakaa chini kabisa huku mchozi kidume unamtoka Kama maji,
Itaendelea................


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.