JIMAMA TAMU sehemu ya 15

Image result for jimama tamu 15
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 15
Vyuma vikiungua huku mjeshi kashikilia mjeledi kwa kazi moja tu ya kumtandika mniga ambae alitazama chumba kizima alipomaliza yule mjeshi akamwambia,
'"kijana ulijiona mjanja Sana wewe kutukimbia na kutuzungusha Sana uliza mafuta tulikuwa tunatumia ni baba yako katujazia sio, aliongea mjeshi kwa hasira Sana mniga alinyamaza kimya tu bila kujibu chochote mjishe akaona ni dharau kubwa Sana kwake, basi akarudi kidogo na kumtandika mjeredi na kumuuliza tena,
'"wewe unajifanya bubu au sasa kwangu utaweza tu kuongea, aliongea mjeshi na kwenda kuchukua chuma kilichokuwa kwenye moto na kujanacho hadi alipo mniga na kumwambia,
'"ulikuwa unajisikia raha Sana pale ulipokuwa unawa t*mba wakezangu wote yani mke mkubwa na mdogo na kunionesha kwamba wewe ni kidume Sana sio, aliuliza mjeshi yule huku mniga kanyamaza kimya tu mjeshi akamuona mniga anadharau basi akaanza kumuunguza na chuma kile kwenye kifua huku Kama anachora chora vile mniga aliaza kupiga makelele kwa maumivu anayoyapata sasa,
'"uwiiiiiiiii maaaa..maaaa yangu nakufa mimi, aliongea kwa maumivu Sana yule mjeshi akasitisha kumuunguza na kumwambia,
'"nakuuliza ulijiona kidume Sana kutembea na wake zangu sindio harafu unajifanya kibuli Mimi ndo zaidi yako sasa, aliongea mjeshi na kumshika mniga kidevu huku akimnyanyuwa nanyuwa mniga akamtemea mate kwenye uso wa mjeshi tena lile kuozi huku akijikakamuwa na kumwambia,
'"wewe mwanajeshi wa taifa wa mwanajeshi wa majambazi mjinga mkubwa na usiombe nitoke hapa maana ntakuua kwa mkono wangu mjinga wewe na wake zako nimewat*mba kwa maana wewe huwalizishi mtoto wa malaya wewe, aliongea mniga kwa jeuri kubwa Sana tena Kama hajatekwa, Daah mjeshi alishikwa na hasira Sana kwanza kazalilishwa mbele ya vijana wake kwa kuambiwa hawezi kuwalizisha wake zake Daah alishikwa na hasira Sana akampa ishara kijana wake mmoja ambae alienda kuchukua mpira wa maji ya presha yale yanayosukumwa kwa mashine na kumkabizi mjeshi yule ambae akamwambia kwa ishara awashe mashine kweli akawasha na maji, yakaanza kutoka kwa presha kubwa Sana akaanza kummwagia mniga ambae alikuwa anapiga kelele Sana kwa sababu maji lale ni Kama jiwe yani yakitua mwilini mwa mniga tena yabaridi Sana mniga alilia Kama mtoto hatimae akapoteza fahamu tena ndo yule mjeshi akaacha kummwagia na akawaambia vijana wake,
'"hakikisheni hakuna kinyago yoyote anaingia huku chumbani zaidi yangu, aliongea mjeshi na kutoka mule ndani maana muda ulikuwa umeenda Sana ilokuwa Kama saa nne ucku vijana wakiendelea kulinda Mara akaonekana mwanajeshi mmoja wa kike ambae aliificha sura yake akiwavizia walinzi wale na haikujulikana kwanini anawavizia wanajeshi wenzake,
Itaendelea..........
 RRR


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.