Nataka kuoa single mother,naombeni ushauri
Kwema jamani
Moyo wangu umeanguka kwa mwanamke ambaye kazalishwa,na mzazi mwenzake alishaoa mwanamke mwingine pia ana familia yake..
Hawajawai kuishi wote na hawana mawasiliano miaka 5 sasa.
Naombeni kujua changamoto za hawa wanawake nisije badae kuja kuomba ushauri mkasema navyooa mbona sikuomba ushauri
Mtoto analelewa na bibi mzaa mama na majina ya ubini kapewa ya babu mzaa mama.
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments: