Wanawake wanaumwa au wamerogwa?
Nimekaa na kuwaza sana baada ya kuangalia ile clip ya Rwakatare kuhusu ule upepo sijui unaitwaje nimeusahau na jina.
Sasa nikajiuliza, hawa viumbe mbona wakija humu ndani kututafuta wanaleta mavigezo mengi mpaka watu tunachanganyikiwa, kumbe Jumapili mnaenda kukumbatia upepo wa kisulisuli.
Wewe mwanamke, yani wewe peke yako unataka mwanaume awe:
1.Handsome
2 Mrefu
3. Mweupe/mweusi
4. Degree na kuendelea
5. Awe na kazi nzuri
6. Atokee mikoa fulani na fulani
7. Awe mcha mungu
8. Awe na nyumba
9. Biashara ya maana.
10. Umri fulani
11. Wa Tecno msijisumbue
12. Ajue kunibembeleza
13. Asiwe bahili
Na mavigezo mengine meeeeeeeeeeengi.
Ina maana mwanaume wa aina hiyo wanawake wengine wooooooote hawakumuona wala yeye hakuwaona akawa anakungoja wewe.
Ukifika miaka 30 and above unaanza kuangaika kwa kina lwakatare kutaka muujiza ambao kipindi cha nyuma ulikuwa unakutana nao kila unapoenda sokoni.
Acheni ujinga wanawake! Hakuna mwanaume perfect kwa zaidi ya asilimia 60% hayupo dunia nzima.
Ukipata mwanaume anakupenda na akawa muwazi kwako kwa mapungufu yeyote alionayo.....basi jitahidi kucopy with the situation.
Hatobaki hivo milele. Just trust him and trust his process then mbeleni everything will be okay.
True love ikiwepo tu kila kitu kinajiweka kwenye mstari taratibu.
La sivyo mtapata taaaaaabu sanaaaaaa, na mtachezewa saaaaanaaaaa huku ndoa mkiziskia tu kwenye mabomba.
No comments: