- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari
- Kuingia ndani na viatu vya matope wakati kumeshadekiwa
- Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.
- Kumtambulisha mtoto wako kwa kimada wako.
- Kumleta rafiki yake kuja kula bila kutoa taarifa.
- Kumsifia rafiki au ndugu wa mke wa kike kuwa anavutia bila hofu.
- Kukosoa muonekano wa mke bila kujali atajisikiaje.
- Kutosema chochote mke akipendeza mpaka aulize.
- Kujifutia taulo na kuliacha ovyo bila kulianika
- Kutotandika bed mke asafiripo na kugeuza bed kama kiota cha ndege
- Kutofua boxer na socks zake hadi wife awepo na kama kasafiri zitasubiri arudi
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON
MAKOSA WANAYOYAFANYA WANAUME WALIO KWENYE NDOA
Reviewed by
SIRI ZA MAPENZI
on
December 04, 2019
Rating:
5
No comments: