Sababu Kuu za Upungufu Nguvu za Kiume Hizi Hapa
Pombe, maradhi na ulaji wa vyakula usiozingatia maoni ya wataalamu wa afya na tiba lishe ni baadhi ya mambo yanayotajwa kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume linatajwa kushika kasi na limesababisha baadhi ya wanaume kadhaa kuishi maisha ya uyonge yaliyojaa hofu hasa kuhusu hatima ya uhusiano wa ndoa zao.
Kutokana na hali hiyo, baadhi ya waathirika hao wameendelea kuhangaika kurejesha heshima kwenye ndoa zao kwa kusaka tiba, wengine hospitali na wengine kwa waganga wa jadi.
“Haya matatizo yalikuwapo, isipokuwa inaonyesha wengine waliougua tatizo hilo waliogopa kwenda hospitali kusaka tiba
Sababu za kupungua kwa nguvu za kiume
Kuna sababu za kimwili na sababu za kisaikologia
Matumizi ya Viagra
Kupiga Punyeto(masturbation)
Maradhi ya mishipa ya damu
Shinikizo la damu la kupanda na kushuka
Unene mkubwa na kitambi
Kisukari
Maradhi ya moyo
Sigara, pombe na madawa ya kulevya
Kuendesha magari makubwa kwa mda mrefu
Lishe mbovu, mfumo mbaya wa maisha, umri, majeraha na vidonda vya tumbo
Msongo wa mawazo na vidonda vya tumbo
Ngiri na maradhi ya zinaa
Uraji wa vyakura vyenye kemikali (chemicals)

No comments: