Tofauti: Ubongo wa Mwanamke na Mwanaume


1. Ubongo wa mwanamke unaweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja; 
mfano kuzungumza kwenye simu na kufuatilia kipindi
kwenye TV. Mwanaume hawezi. 
2. Lugha: wanawake wanaweza kujifunza lugha nyingi kwa urahisi.
Chukua mtoto wa kike na wa kiume wenye umri wa miaka mitatu. 
Mara nyingi wa kike atakuwa anajua maneno mengi kuliko wa kiume. 
3. Kusema uongo: mwanaume akimdanganya mwanamke uso kwa uso ni rahisi
 kushtukiwa. Wanaw
ake hugundua ukweli kupitia uso
 wako kwa 70%, kupitia body language yako 20% na 10% kupitia maneno 

yako. Ubongo wa mwanaume hauna uwezo huo ndiyo 

maana ni rahisi mwanamke kumdanganya mwanaume uso kwa uso. 
4. Uwezo wa kutatua matatizo: mwanaume akiwa na matatizo, ubongo wake 

huyachukua na kuyatenga katika makundi mbalimbali
na kisha huanza kutafuta suluhisho moja baada ya jingine. Mwanamke akiwa
 na matatizo ubongo wake hauwezi kuyatenga na badala

 yake hutaka mtu amsikilize. Baada ya kumwambia mtu matatizo yake yote 
akili yake hupata kiwango fulani cha utulivu na huwa mara 
nyingi hajali kama yatatuliwa au la.
 5. Mahitaji: Wanaume wanahitaji heshima kwenye jamii, mafanikio, sifa, nk.; 
wanawake wanapenda mahusiano, familia, marafiki, etc.
6. Kuongea: mwanamke mara nyingi hutumia lugha ya kificho. Mwanaume 
hutumia lugha ya moja kwa moja.



USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.