JINSI YA KULALA NA MPENZI WAKO USIKU



1. Mwanamke mwenye nywele ndefu unashauriwa kuzielekeza nywele zako kando mbali na sura ya mpenzi wako mkiwa mmelala namna hii. Itamfanya mwenza wako kuwa huru wakati amelala.




Funga nywele zako vizuri na uzielekezee kando ili asije kukosa pumzi kwa sababu ya nywele zako na kutokuwa na umakini.




2. Mwanaume pale mwanamke anapokukumbatia, hakikisha unamfanya awe huru.
Epuka ‘kumkaba’ kwani akilala vibaya akiwa amekukumbatia ataamka akiwa na maumivu ya shingo kutokana na mkono wako.



3. Kama mwanamke anapenda kulala upande wa ukutani, basi muachie nafasi na uepuke kumsogelea sana. Itasaidia kupata usingizi mzuri na kuboresha uhusiano wenu.



4. Kama ni wapenzi wa wanyama na mnataka naye alale kitandani pamoja nanyi, hakikisheni mnamlaza miguuni mwenu la sivyo atalala sehemu ambayo itasababisha ajali itayomfanya awadhuru kwa kujihami.



5. Mnapolala na mtoto, mkumbuke kumlaza katikati yenu na muepuke aina za ulalaji ambazo mwisho wake itaonekana kama mpo kwenye mapambano ya karate au mieleka.

Nyongeza: Unaweza lala na mpenzi wako unahisi kuzimia kwa kukosa hewa maana wengine wanakaba kama nini na vile wananuka midomo khaaaaa
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.