SIMBA NA YANGA WATUNISHIANA MISULI, KAGERE ATOBOA SIRI YA KUIUA YANGA

Kueleke mechi kali ya watani wa jadi Simba na Yanga siku ya leo Jumamosi Januari 4, 2020, timu zote zote mbili zimetunishiana misuli kila nnoja akionekana mbabe kwa mwenzake. Mechi hiyo ya kukata na shoka itachezwa leo saa 10:00 jioni katika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Mshambuliaji mahili wa Simba Sports Club Meddy Kagere amesema itakuwa ni asubuhi sana kumuua Yanga kwani anaamini kikosi cha Simba kiko imara zaidi ya kikosi cha Yanga
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.