Huhitaji darubini kujua kuwa una det na mume wa mtu bila kujua.

..ukiona usiku kila siku anazima simu, muda mwingine anasema tuchat hataki muongeee, kwake hataki kabisaa kukupeleka...kutwa anashinda kwako..anakuna tu kitambi kitandani kwako, , hadi unapoweka funguo anapajua kazizoea kona za chumba chako kama kwake vile ila maajabu hata mtaa anao kaa huujui..hajawahi hata kukuambia nikupeleke kwangu..mwaka wa tatu huu mchana anakupigia simu mfululizo ila ikifika saa mbili au tatu zig zag zinaaanza..afu bado uko busy kujaza status zako na mapicha yake insta eti my candleright....ipo siku itakuwa candledark...jiongeze dada usisubiri mpka yakufike uanze kuwalilia wakina kibonde wakupe ushauri wakti unaona kabisaa uko na virus kwenye mahusiano yako/uko busy kabisaa unapanga maisha na mwanaume ambaye munaishi mkoa mmoja ila kutwa yuko kwako kwake sumu...unafanya na process kabisaa za kumpeleka kwenu..eti hubby i want you to meet my dad!!ohooooo we ziba sikio tu ipo siku utatupa simulizi ya kusisimua!!!dont waste your time mtu mwenyewe una miaka 28 bado unajifanya huoni kuwa uko na msyuka kwenye mahusiano...#counsellor
The great kibonde


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.