Mwanaume, chukua hii uishi nayo

Beauty model girl with red sexy lips and nails closeup. Manicure and makeup Stock Photo - 48215701
Mwanamke anayekupenda kwa dhati, atajitoa kwako kwa kila hali. Unajua, kuna mambo ambayo si rahisi kufanyiwa na kila mtu, yapo ambayo yanafanywa kwa watu wanaopendana tu. Huyu atajitoa kwako, atafanya mambo muhimu ambayo si rahisi kuyafanya kwa mtu mwingine.
Atakupa vipaumbele kwenye mambo yake yote kwa kukueleza mipango yake (hata ile ya siri) na kukufanya wa kwanza kujua kinachoendelea katika maisha yake.
Lazima ujiulize na uangalie, je, wewe ni moja ya vipaumbele vyake? Je, wewe unakuwa wa kwanza kujua mambo yake kabla ya rafiki zake?


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.