RAHA YA KUTONGOZWA KWA WAKINA DADA TU


Kina dada hili swala la kutongozwa mnalichukulia vp, mwanamke ni asili yake kutongozwa?

Kwa sababu nilishakaa na kusikiliza maongezi ya kinadada wengi once anapokuwa anakosa mtu anaemtokea l mean kumtongoza hujisikia hajakamilika, na akiwa ni mdada ambae wanaume wanapishana kumtongoza anajifeel perfect hii imekaaje.

Huku Uswahilini Kwetu unakuta mdada anakesha kwa mganga ili apate kismati cha kutongozwa, Unakuta mdada anaewafungisha tela wanaume kwa kutongozwa Wenzake wanamwonea kijicho mpaka hawaelewani..

Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?

Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?




USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.