MWANAMKE AKINIVULIA NGUO TU MGEGEDO HAUSIMAMI SHIDA NI NINI???
Mie Nikipata Mwanamke yeyote hata awe mzuri kivipi akinivulia tu mgegedo hulala palepale na haisimami tena! Tatizo hili limekuwa likitokea mara kwa mara kiasi kwamba nahisi nimechezewa! au ni tatizo la kisaikolojia?
Na nifanyeje ili liishe?
Maana napata Aibu sana na kuonekana si Mwanaume Rijali nimeanza kusikia Maneno mtaani kuwa mimi ni Bwabwa...
Naomba Ushauri
Na nifanyeje ili liishe?
Maana napata Aibu sana na kuonekana si Mwanaume Rijali nimeanza kusikia Maneno mtaani kuwa mimi ni Bwabwa...
Naomba Ushauri
No comments: