Tabia Za Wanawake Kulingana na Maumbile Yao.



Tafiti mbalimbai zinaonesha baadhi ya tabia zilinganazo na jinsi wanawake walivyo wakihusishwa na tabia tunazozishuhudia katika maisha ya kimapezi yetu ya kila siku….
Inasemekana wadada wana tabia tofauti katika mapenzi kulingana na maumbo ya miili yao:
Wasichana wafupi wanaongoza kwa wivu wa mapenzi na kuwajali wapenzi wao

Wasichana warefu huwa hawawajali wapenzi wao na hawaogopi mahusiano kuvunjia hawajui
kubembeleza hata kdogo

Wasichana wenye DIMPOZ, MWANYA, MATEGE MBINUKO, MAHIPS NA KITHEMBE, hawa huongoza kwa kutokuwa WAAMINIFU katika mapenzi.

Wasichana WANENE huongoza kwa MAPENZI YA KWELI yaani akipenda amependa kweli

Wasichana WEMBAMBA hawa huwa ni WABISHI sana na hawa wanaongoza kwa kutendwa!

Wasichana wenye NGOZI NYEUSIwanaongoza kwa KUTOA MIMBA na kupenda wanaume warefu na weupe

Wasichana weupe wakiongoza kwa kuzalia nyumbani, na hawa weupe weng wao
huolewa wakiwa na watoto tayari huku wakipenda kuolewa na waarabu kulko wanaume weusi.

Kwa uzoefu wako wa maumbo mbalimbali waiyonayo dada zetu au wapenzi wetu zinalingana au kutofautiana na hizi..?



USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.