UNAJUA KWANINI MWANAUME HUWAZA SANA NG+ONO KULIKO KITU KINGINE??
Ukitaka kujua Wanaume huwaza zaidi ngono kuliko hata AFYA! Mtazame Mwanaume unapokutana nae kwa mara ya kwanza kwanini ANAKUWA NA MUHEMUHE WA TENDO? Yako mambo mengi ya kuanza nayo muwapo faragha ila ukiona mwenzio anaanzia $EX kabla ya kujua hata kiti wako anakalia wapi ujue huyo AKISHUKA MLIMANI ANAKIMBILIA KUOGA😋 Mwanaume ambaye hataki kuanza na mengineyo ila tendo la ndoa basi kaa ujitafakari kwamba baada ya kukidhi haja zake neno NAKUPENDA litaambatana na hamu ya sex tena nisikufiche NA MALI IWE IMEMVUTIA vinginevyo utasubiri sana mpaka zamu yako ifike wenzio mwezi uwe umeandama, Siku zote MVUMILIVU NDO HUWA ANAKULA MBIVU! Hivi unampendaje mtu ambaye hata hana muda wa kukubusu? Wanawake najua mnakumbana na wanaume wengine ni MAJANGA na wala huoni shida unachojali ni kwamba ni MWANAUME🕺 Heshima yenu akina DADA, MAMA mnapenda kuyaishi maisha ya mapenzi yenye hisia ndo maana mpogo na uvumilivu japo mnapitia magumu kwenye Mahusiano na ndoa zenu, Lakini niwakumbushe UVUMILIVU MZURI NI ULE WENYE TUMAINI NDANI YAKE! Ila kama umejipanga kumvumilia mtu ambaye yeye binafsi yake hafikirii kama kuna siku atakupa FURAHA NA AMANI nikutukane wewe ni Mjinga tu😏
Unayajua Maradhi ya MAPENZI?
Pengine ukiona mtu ana BP ni kama laana, Ndugu yangu Mawazo mengi, Upweke mwingi, ni chanzo cha maradhi, Maisha hata yawe magumu vipi hayawezi kutuuguza maana hata vitabu vitakatifu vinatupa faraja, Je Faraja ya MAPENZI inapatikana wapi? Kwenye MAPENZI ili uwe na faraja ni lazima umpate Mtu ajuaye THAMANI YAKO ukimkosa huyo jihesabu wewe ni MPWEKE Kwani utaishi maisha ya kufikirika sana.
#Elista_kasema_ila_Sio_she
No comments: