Chombezo : Pipi Ya Kijiti Sehemu Ya Tano (5) MWISHOO


ILIPOISHIA

Niliagana na Paroko ambaye alinipa pesa taslimu laki mbili, nilirudi nyumbani nikiwa nafuraha ya ajabu ya kupata bwana mwenye pesa tena mwenye mapenzi na mimi.

ENDELEA....

Kama alivyoahidi Paroko baada ya siku tatu alinipangia jumba la kifahari maeneo ya Uzunguni lenye kila kitu. Sikuwa mwizi wa fadhira niliondoka na shoga yangu Monika na
kuishi naye kwenye jumba la kifahari lenye kila kitu. Nilijiona kama mtu mwenye bahati ya ajabu yaani nimedondokea
kwenye bahari ya maziwa.

Kama kawaida nilikuwa nikitoka naye kila palipokuwa na sherehe au shughuli yoyote iliyowakutanisha watu wenye pesa. Mr Paroko alinitambulisha kwa rafiki zake na kila mmoja hakuacha kunikata jicho. Kwa kweli lazima niseme ukweli kila sehemu tuliyo kwenda niliwafunika vibaya
wanawake wenzangu.
Siku moja nikiwa natoka Super market nilisimamishwa na mtu mmoja ambaye hakuwa mgeni kwangu lakini nilimsahau kidogo.
"Samahani Malkia Suzy" alinisemesha huku akiniachilia
tabasamu pana
"Bila samahani"
"Sijui unanikumbuka?" nilimuangalia na kuvuta kumbukumbu hakuwa mgeni machoni kwangu lakini katika kumbukumbu ni nani na nimemuona wapi ilipotea
"Sura si ngeni lakini kumbukumbu imenitoka kidogo"
"Ooh sio vibaya kujitambulisha tena kwako japo mwanzo nilitambulishwa na rafiki yako?"
"Rafiki yangu nani?" nilimuuliza huku nikiangalia jinsi mikufu ya dhahabu ilivyokuwa imechafuka shingoni kwake
"Paroko"
"Oooh huenda kwenye sherehe au dhifa fulani"
"Ni kweli kabisa, basi mimi naitwa Kurukuchu mmiliki wa migodi ya madini Mirelani"
"Ooh kumbe mtu mzito" nilisema huku nikipokea mkono wake
"Na ni bahati kuzungumza na mimi"
"Kivipi?" nilimuuliza
"Huwa sizungumzi na watu ovyo huongea na mtu mwenye masirahi kwangu"
"Sasa mimi nina masirahi gani kwako?"
"Vizuri, moyo wangu hauamini mwanamke mzuri kama wewe kutembea kwenye gari za kukodi au kuishi kwenye nyumba za kupanga. Unataka kuniambia kodi ikiisha na rafiki yako
ameishiwa ndiyo utupiwe vilago nje"
Mmmh makubwa nilitulia nilimuangalia mwanaume yule ambaye alikuwa amechafuka madini mwili mzima, kisha niliyafikilia maneno yake ambayo yalikuwa na ukweli mkubwa nilijikuta nikumuuliza alikuwa na maana gani
"Una maana gani kuyasema hayo?"
"Sikiliza binti mzuri wako ni thamani ambayo inatakiwa ukunufaishe katika maisha yako. Wasiwasi wangu bwana uliye naye ameajiliwa hapati pesa bila kuiba, huoni akishikwa
ataozea gerezani na kukuacha ukitaabika"
"Ni sawa yote unayosema, ulikuwa unataka kusema nini?"
"Vizuri, unajua binti nashukuru kwa kuwa Mungu alikujalia uzuri na uelewa wa kumuelewa mtu mapema. Shida yangu nimtue mzigo Paroko, wewe ni wa hadhi yetu si wa mtu
kama yeye mwenye pesa za kuunga"
"Lakini kumbuka umenijua kupitia huyo unayemuona hafai"
"Binti hebu kuwa muelewa dhahabu au tanzanite huchimbwa chini lakini anaye faidika ni wa juu. Hivyo basi Paroko amekuchimba sisi tunakutumia..Sijui unasemaje?"
"Nipe muda ni upesi sana"
"Ok, hebu subiri" alikwenda hadi kwenye gari lake benzi na kutoka hundi ya milioni kumi na kunikabidhi
"Binti unatanunulia soda" niliipokea kisha alisema
"Usiwe na wasi una uamuzi wa kuyafanyia kazi niliyokueleza au kuyapuuza ila kijua ndicho hiki umri haurudi nyuma" Pia alinipa laki tano taslimu za kumpigia simu siku nitakayo jisikia pamoja na Bussines card yake.
Baada ya kusema aliingia kwenye gari lake na kuondoka akiniacha bado nimesimama. Baada ya kuondoka nilibakia
nimesimama kama sanamu nisiamini kilichotokea muda mfupi. Niliiangalia ile hundi mara mbili mbili kisha niliiweka kwenye pochi yangu. Nilikodi gari hadi nyumbani, nilipofika nilijitupa
kitandani nikiwa na mawazo tele.
Monika alikuwa wa kwanza kujua mabadiliko yangu alinifuata kitandani nilipokuwa nimejilaza na kutaka kujua kulikoni.
"Best vipi mbona leo haupo kwenye hali ya kawaida kulikoni?"
"Mmmh mbona makubwa madogo yana nafuu" nilimjibu huku nikikaa kitandani
" Una maana gani?" aliniuliza huku akikaa karibu yangu
sikumjibu nilivuta mkoba na kumtolea hundi ya milioni kumi niliyopewa na Kurukuchu, aliipokea na kuanza kuisoma na kuniuliza.
"Sasa hii hundi inahusiana nini na kuchanganyikiwa kwako?"
Nilimuelezea jinsi nilivyoipata Monika alishtuka na kuniuliza
"Suzy ni Kurukuchu gani, ni huyu ninayemfahamu"
"Yupi huyo unayemfahamu?"
CHANZO:  https://ift.tt/2G1kBkr
"Yule anayemiliki migodi ya Tanzanite"
"Huyo huyo"
"Usiniambie kweli nimeamini wewe matawi ya juu, sikuwezi yaani Kurukuchu kaingiza timu shosti umeula"
"Na Paroko"
"Mbona cha mtoto kwa Kurukuchu, nakwambia mpaka sasa
siamini kama kweli ni yeye"
"Ni yeye nimeisha kutana naye zaidi ya mara tatu kwenye sherehe za wakubwa, lakini bado siwezi kumkubalia siwezi kumtosa Paroko yeye ndiye aliyefanya anionekane
kwa Kurukuchu. Vilevile siwezi kuwa mwizi wa fadhira"
" Mmmh ni kweli lakini ndugu yangu biashara asubuhi jioni mahesabu na siku mapenzi maslahi"
"Una maana gani?" nilimuuliza huku nikimuangalia usoni
"Suzy ni wachache wanaojiuliza kuokota begi la pesa, lakini ningekuwa mimi Paroko angenisamehe. Hii ni hatua nyingine kama ulikuwa ukitembea kwa miguu sasa utatembelea gari
tena ndugu yangu la kifahari"
"Moni pesa nini utu wa mtu ni muhimu kuliko kitu chochote pesa majaliwa. Vile vile asingenijua bila kupendezeshwa
na Paroko"
"Ni kweli usemayo lakini siku zote mkulima afaidi alicho kilima akiisha zalisha mazao yake wenye pesa ndio wanafaidi
kama Kurukuchu. Siwezi kukueleza una bahati ya ajabu kuzungumza na Kurukuchu na kukutamkia yaliyo moyoni mwake"
"Hapana siwezi nampenda Paroko"
"Unampenda au una thamini wema wake? Suzy hebu angalia
maisha ya wachimba madini ni tofauti na wauzaji. Kijua ndicho hiki usipo anika sasa utautwanga mbichi"
Yalikuwa maneno yanayoshabihiana na aliyoyazungumza Mr Kurukuchu.
Sifa zake kwa kweli nilikuwa sizijui vizuri lakini Monika alinieleza Mambo mengi juu ya uwezo wa kipesa na maisha anayoishi.
"Suzy hebu jifikilie hamjafanya mapenzi amekupa Milioni kumi na utundu wako siku mkikutana unanunuliwa
na ndege kabisa. Ni wengi waliiomba nafasi kama uliyoipata, ni bahati yako ya kipekee. Lazima niseme ukweli Mungu alikupendelea si kwa kupendwa na Paroko la hasha
una kila sifa ya kumfanya mwanaume apagawe. Suzy ndugu yangu nafasi ndiyo hii usiipoteze"
"Moni na Paroko je?"
"Suzy ukitaka kumuua nyani usimuangalie usoni"
"Kwa hiyo unanishauri nimpigie simu nimwambie nimekubali"
Nilimuuliza huku nikimfikilia mara mbili mbili kumtosa Paroko mtu niliye mpanga kuwa mume wangu.
"Suzy hilo sio swali ni jibu lililobakia pigia mstari"
Sikuwa na kufanya zaidi ya kunyanyua simu yangu na kuingiza
namba za Kurukuchu na kumpigia.


Sikuwa na kufanya zaidi ya kunyanyua simu yangu na kuingiza
namba za Kurukuchu na kumpigia.
Baada ya kuweka sikioni niliisikia ikiita na baada ya muda ilipokelewa kwa sauti nzito ya upande wa pili iliuliza.
Niliitoa simu sikioni na kuiweka mkononi kwa vile nilikuwa nimeweka sauti ya nje loud speker
"Haloo nani mwenzangu?"
"Ni mimi Suzy"
"Suzy! Suzy yupi?"
"Unao wangapi mpaka kuuliza hivyo?" nilijifanya kuona wivu
"Ooh sorry ni mmoja tu mrembo au Malaika Suzy" mtoto wa kike maneno yale yalizidi kunivimbisha kichwa.
"Ndio mimi mwingine foto kopi" nilisema huku nikibinua midomo yangu kwa kujishebedua kama yupo mbele yangu, mwanamke kujisikia bwana japo raha upewe
"Ehe lete habari" aliuliza kwa sauti nzito ya kiume iliyopenya kwenye ngoma ya sikio ya masikio yangu na kunifanya nihamie dunia nyingine kwa muda
"Mmh mpenzi nina jipya nakusikiliza wewe" nilibana sauti mtoto wa kike ni sauti ambayo huitoa kwa nadra huwezi kuamini japo nilikuwa naongea kwenye simu nilikuwa
nimelegea mtoto wa kike jicho langu ungeliona ungenionea huruma.
"Kwa hiyo unaniambia nini?" aliniuliza sauti ikionyesha ina shauku ya kujua nini kimefuatia baada ya ombi lake
"Sina neno kazi kwako"
"Uko 'serious' au?"
CHANZO:  https://ift.tt/2G1kBkr
"Swali hilo nikuulize wewe au ulikuwa ukinitania" nilimuuliza kama yupo mbele yangu mkono kiunoni na kuuchezesha mguu.
"Malaika ni nani aliyependa kuionjwa Pepo"
"Una maana gani?"
"Amini usiamini hapa siamini kauli yako naona kama nipo ndotoni. Amini wewe ni mmoja wa viumbe wa peponi hivyo kuwa nawe ni kuionja pepo" Mmmh sikuamini kama kuna
siku nitalinganishwa na viumbe wa peponi, kutokana na matendo yangu machafu nilijifananisha na viumbe wa
motoni.
"Mmh unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa"
"Ni kweli na sipendi nimalizie maneno kwenye simu napenda kufanya kwa vitendo kuliko maneno"
"Haya tutaona uwanja unaruhusu hali ya hewa ndiyo usiseme kila kitu nimekuachia wewe"
"Kwa hiyo leo tunaweza kuonana?" aliniuliza
"Mmh ni haraka sana.." nilishangaa kumuona Monika akinifinya, niliziba sehemu ya kuzungumzia na kumuuliza Moni, kabla ya kuziba nilimueleza Mr Kurukuchu
"Samahani kidogo mpenzi"
"Bila samahani" ndipo nilipongeukia Moni
"Moni kwani vipi?"
"Suzy utaniuzi mchuzi wa mbwa unywe ungali moto"
"Kwa hiyo?"
"Linalo wezekana leo lisingoje kesho leo leo lazima kieleweke, Suzy nafasi kama hiyo wenzio tuliitafuta hadi kwa waganga. Nimelala makaburini kutafuta nafasi kama hizi lakini niliishia kupata wenye pesa mbuzi sio kama Kurukuchu. Kama kwa Paroko ulipata laki tatu sijui kwake na machejo yako sijui utapata kiasi gani"
"Ok, wacha nimpe go ahead"
"Mambo si ndiyo hayo au hutaki na sisi tutese na magari tumechoka kubanana kwenye vifodi"
Niliondoa mkono na kuendelea kuzungumza na Kurukuchu
"Haloo mpenzi samahani kwa kukugandisha"
"Suzy nani aliyekuambia atafutaye huchoka"
"Ina maana ukinipata utanichoka?"
"Suzy nani anayetamani kutoka peponi na kurudi duniani, pendo lako kwangu kama vile pepo kwa mwanadamu anaye kesha usiku na mchana kuitafuta"
"Ulisema ulitaka tuonane leo?" nilijifanya nimesahau swali lake la awali
"Ni kweli Malaika wangu"
"Ok, panga tukutane wapi?"
"Kwa vile ni haraka tufanye hoteli ya Ngurdoto"
"Kwa haraka hoteli kama hiyo ingekuwa tumepanga kwa muda mrefu ungenipeleka wapi?"
"Tungekwenda hotel yoyote ya kifahari Ufaransa"
"Usiniambie" Mmh mwenye pesa siku zote ana nyodo
"Huwezi kuamini siku zote sikupata wa kuzitumia pesa zangu, ili kuonyesha, kama tutalala pamoja kesho tunapanda ndege mpaka Dar nakwenda kukununulia gari lolote la kifahari ulitakalo"
"Sawa mpenzi basi wacha nijiandae ili nije nikupe vitu adimu nina imani toka uzaliwe hujavipata"
"Ndivyo ninavyovisubiri kama wokovu, vipi nimtume mtu akuijie?"
"Hapana nitakuja mwenyewe"
"Nauli unayo?"
"Mmmh Kurukuchu yaani milioni
kumi zimeisha mara hii pia si unakumbuka laki tano ulizonipa"
"Zile zilikuwa za vocha tu, za nauli wacha nimtume mtu akuletee"
"Hapana siku nyingine nitakuja tu usiwe na wasi"
"Ok, sipendi upate shida nataka nikutengenezee bustani ya adeni hapa hapa duniani"
"Inatosha mengi tutaongea tutakapo kutana"
"Usiniangushe basi Suzy"
"Labda wewe bai mmmmwa" nilikata simu na kumuangalia Monika aliyekuwa pembeni ameshikilia mdomo
"Moni vipi mbona hivyo?"
"Suzy mdogo wangu usiipoteze nafasi hii, nina imani amekutana na wanawake wengi kwa hiyo ni ujanja
wako. Najua amezimia kwa shoo ya nje ya nyumba yako, akiingia ndani asitoke huyo tutakuwa tumetajirika"
"Moni hunijui nakwambia Paroko alipompeleka puta alimaliza maneno mdomoni na kutoa ahadi alizozitimiza kwa siku tatu kesho nikirudi utaniambia"
"Nitakuona wapi nasikia mnakwenda Dar kufuata gari usinisahau na mimi hata LV4 nakuombea kila la heri ndugu yangu"
"Na wewe nani akusahau bora nimsahau mama yangu mzazi lakini si wewe"
Ilikumuonyesha nimeupania mpambano, nilipandisha gauni juu na kubakia na nguo ya ndani nilikibinua kiuno kwa nyuma na kumuonyesha vitu adimu
CHANZO:  https://ift.tt/2G1kBkr
"Kwanza nitampa pekecha pekecha kisha nampa bomobomoa
Tabata dampo, kisha nampa chungulia uone kabla hajapumzika nampa mkeo mdebwedo"
Vyote nilivifanya kwa vitendo nilimsikia Monika akisema
"Mungu kakujalia kila kitu yaani kiuno unavyokiziungusha kama huna mfupa hata kubinuka kichwa chini kiuno juu na kuweza kukizungusha kwa ustadi mkubwa wewe mwisho wa
matatizo.
Mwaka huu tunanunua na ndege,niliongozana na Monika hadi benki na kuchukua milioni kumi keshi kama kawaida yangu nilimpa Monika milioni 3 taslimu. Moni alinishukuru
utatafikiri nimemfufua kama Razaro alivyo fufuliwa na bwana Yesu.
Nilimwambia yote nikutokana na jitihada zake, kila alivyoniangalia alikuwa haamini mimi ni kiumbe gani
mwenye moyo wa upendo wa kweli. Kitu kingine kilichonifanya nipate nafasi ya kuweza kukutana na Kurukuchu pasipo na wasiwasi ni kutokana na Paroko kusafiri kikazi kwa muda wa wiki mbili.
Nilijua mpaka akirudi kitakuwa kimeeleweka, nilipanga kumlipa gharama zake na fidia zote. Jioni nilijikwatua mtoto wa kike kama kawaida yangu nilichagua moja ya mavazi yangu yaliyomrusha roho baba.
Nilivalia shimizi yenye kuishia katikati ya makalio kwa ndani pindi nivuapo nguo apate muwashawasha wa kutaka kujua ndani kuna nini. Wanawake wengine bwana wakifika
wanawahi kuvua nguo nani alikwambia chakula kikifika juu ya meza hufunuliwa. Unajua siri ya kawa maana yake nini, hebu rudi kwa kungwi wako ukafundwe tena. Nilivalia bikini moja ambayo mume wangu alinunulia ulaya moja za chupi wavaazo wastaa wa ulaya kama Beyonce, Janeth Jackson,
Mariah Cary hata wakongwe wakina Madona.
Ushaanza ushambenga mtoto wa kike ati changudoa kama mimi niwe na mume nimerogwa. Mtu kama mimi sipotezi wakati wa kubishana na wewe, najua umedandia gari kwa
mbele utakufa weeeewe toka mbele sina bleki.
Bikini yenyewe ni nyuzi tupu ungekuwa wewe ungeona haina
maana bora utembee bila nguo ya ndani. Nje nilivaa gauni langu lililobana mwili wangu na kuufanya uonekane kwa urahisi kwa wapenda ngono ukipita huteguka shingo.
Vazi hili linaitwa acha ipite utateguka shingo, na uvaliwa na watu wenye miili kama yetu. Sio wenzangu na mimi uvae utaonekana kichekesho cha kuwachekesha walionuna. Nilisimama mbele ya kioo nakujikuta nikijitamani
mtoto wa kike na kuwaona wanaume wanaonipata wanafaidi.
Nilipofika sebuleni nilimsikia Monika akisema
"Suzy katika siku ambazo umeufanya moyo wangu uingie wivu ni leo, yaani ningekuwa mwanaume ningekuwekea ulinzi wa kifaru na jeshi zima lenye siraha nzito. Hapa tu
lazima mwanaume achanganyikiwe na kujisachi alichonacho, nakutakia mchezo mwema wenye ushindi wa kishindo"
Niliagana na Monika hadi kwenye kituo cha teksi ambako nilikodi gari hadi hoteli ya Ngurdoto. Nilipofika nilikwenda
moja kwa moja hadi mapokezi na kumuuliza muhudumu
kama nilivyo elekezwa na Mr Kurukuchu.
Muhudumu ile kumuulizia nilipokewa kama Malkia kwa kunyeyekewa. Nilipokewa mkoba wangu wa mkononi na kupelekwa moja kwa moja hadi chumbani kimoja cha kifahari ambacho kwa upande wangu ilikuwa mara ya kwanza lakini hakikunitoa ushamba kutokasna na kuvizoea vitu vile kwangu vilikuwa vya kawaida.
Baada ya kuketi muhudumu aliniuliza ninatumia kinywaji gani
"Samahani Malkia unatumia kinywaji gani?"
"Kabla ya wote mwenyeji wangu yupo wapi" najua ungekuwa wewe ungefakamia mipombe kwa kujua unakunywa vya bure. Mmmh jamani hakuna kitu cha bure dunia hii, we
mnywee mwanaume anakusubiri kwenye sita kwa sita kama pombe hazikukutoka na kutimua mbio na taulo la guet.
Siwezi kutumia kitu lazima nimuone mwenyeji wangu ndipo
mambo mengine yaendelee.
"Yupo Malkia, amesema ukifika nikupatie ukitakacho"
"Na asipo tokea nani atanilipia au ndio kunitoa asusa"
"Dada Mr Kurukuchu ni wazi humjui vizuri ni mtu mwenye pesa kuliko matajiri wote hapa Arusha"
"Na hapa ameisha kuja na wanawake wangapi?"
"Mmmh mbona swali gumu"
"Ugumu wake nini kusema moja mbili au hata kumi" nilimuuliza jicho kavu japo lilikuwa limekolea kungu
"Kwa kweli wewe ndiye wa kwanza"
"Mmh au unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa"
Nilisema huku nikimchezea kidevu, mmh makubwa yaani kumgusa kidogo tu muhogo ulitaka kutoboa ardhi. Nilimuona akipeleka mkono kuziba mwinuko wa ghafla.
"Sema Malkia unatumia kinywaji gani?"
CHANZO:  https://ift.tt/2G1kBkr
"Tuache utani Kurukuchu yupo wapi?"
"Alipita hapa toka saa nane na kutuachia maagizo ya wewe ukifika tukuhudumie kwa chochote utakacho"
"Nashukuru"
"Kivipi" nilimuona muhudumu macho yakimtoka pima nilijua
hakuelewa nilikuwa namaana gani
"Sijakuelewa una maana gani?"
"Sihitaji kinywaji chochote"
"Chakula?"
"Hata chakula sihitaji leo nina kazi moja na Kurukuchu si zaidi ya hicho"
"Kwa hiyo?"
"Kaendelee na kazi zako wacha nipumzike" Muhudumu aliondoka akiwa kama hanielewi. Najua utashangaa kuniona
nimekataa chochote, lazima wanawake tubadilike unakwenda
kukutana na mtu hajaelewana unafakamia vinywaji vyake na chakula kama anao kama futi la mtoto ndipo uchanganyikiwe kesho yake unakandwa na maji ya moto. utafikili ulikuwa anajifungua mtoto.
Pia lazima uwe mjanja wa kupima maji yanaogeka au hayaogeki, kama hayaogeki taratiiibu unavaa chako
na kutokemea hamdaiani. Hapo akitaka mengine utajua ufanye nini unamvuta kengere zake mpaka povu limtoke.
Hata polisi ukienda una haki amekubaka lazima afike gerezaji sijui hata siku hizi miaka mingapi nasikia sijui kumi na tano lakini huenda ni zaidi raha ya mapenzi kurudhiana sio
kulazimishana. Dirisha dogo unakilazisha kichwa utachana usababishe wenzio alale kwa mashaka kwa kuziba na matambara kuogopa wezi. Nilijilaza kwenye kochi nikitafuna bazoka yangu taratibu nikimsubili mwenyeji wangu.
Vile vile sehemu hii lazima uwe makini mwanaume hujakubaliana naye unawahi kujilaza kitandani lazima atajua wewe maharage ya Msanga maji nusu kijiko.
Mara niliusikia mlango ukifunguliwa nilinyanyua kichwa changu kwa pozi na kuangalia nani anakuja.
Naamu mkusudiwa alikuwa akiingia alikuwa Mr Kurukuchu, mtoto wa kike nilijinyanyua mzima mzima na kumkimbilia nilimpofika karibu nilimrukia kama mtoto wa nyani, sehemu
kama hii unatakiwa kuwa makini.
Lazima uwe na mbinu za kumfanya mwanaume aone unampenda hata kama humpendi. Lazima umchangamkie ajue
amekutana na mtu ambaye na yeye ana mapenzi naye hata kama humpendi si unajua mtaka cha uvunguni, mtoto wa kike nilijitia uchizi wa mapenzi.
"Wawooo mpenzi"
Nilimpiga mabusu yasiyo na idadi, mtu mzima alinipokea na kunibeba juujuu na kunipeleka moja kwa moja kitandani na kunibwaga. Baada ya kunibwaga kitandani alinyanyuka na
kuanza kulegeza tai yake, sikumpa nafasi ya kufanya vile kazi ile niliifanya mimi, hapa napo ndipo panapowatoa
nokauti wanawake wengi kwa kusubili kitandani kuonyesha umefuata bakora tu na si mapenzi. Sehemu hii mara nyingi mwanaume akiisha maliza haja zake unakuwa huna thamani kwake pia unaonekana huna kipya.
Hapa lazima mwanamke mwenzangu ujue kuwajibika katika mapenzi. Ondoa uvivu wote si unajua unatafuta nini kwa muda ule mfupi, ukitoka shika hamsini zako. Nikiwa bado
namvua tai kabla ya kumvua shati aliniuliza
"Malkia mbona hujatumia chochote au pombe hutumii?"
"Natumia" nilimjibu huku nikisugua midomo wangu kifuani
kwake kwenye msitu wa garden love.
"Sasa kwa nini umekataa"
"Unajua nini Mpenzi?" nilimuuliza huku nikimtazama jicho
linalohitaji msaada wa haraka yaani nililiregeza mtoto wa kike na kuzibana pumzi.
"Hata sijui"
"Hamu yangu kubwa ni wewe sijisikii hamu ya kitu chochote zaidi yako" nilijishebedua mtoto wa kike
"Nimekuelewa mimi nipo na utanichoka, basi ngoja niagize vinywaji na chakula"
"Hapana twende kwanza tukaoge" nilisema yale nikiwa na maana yangu, shida kubwa ni kwenda naye kuoga
na kuangalia ukubwa wa mwiko unatosha kwenye sufuria yangu au ndiyo mwiko ya shughulini ukibindua chakula mpaka mbavu zinakuuma.

"Hapana twende kwanza tukaoge" nilisema yale nikiwa na maana yangu, shida kubwa ni kwenda naye kuoga
na kuangalia ukubwa wa mwiko unatosha kwenye sufuria yangu au ndiyo mwiko ya shughulini ukibindua chakula mpaka mbavu zinakuuma.
Sehemu hii vile vile muhimu wanawake wenzangu sio ujajua kina cha maji unajitosa utakimbia na taulo la guest, baada ya kukuta ameficha mtwangio wa viungo vya pilau.
Hakuwa na pingamizi tulikwenda wote hadi bafuni tukiwa kila mmoja amejifunga taulo kubwa la hotelini.
Kama kawaida yangu baada ya kuingia bafuni mtoto wa kike nilijichelewesha kuwahi kuuona ukubwa wa mwiko wa Kurukuchu.
CHANZO:  https://ift.tt/2G1kBkr
Nilimvuta taulo na kubakia mtupu jicho langu lilitua kwenye mwiko wa Kurukuchu. Kilikuwa kitu cha wastani ambacho hakikunirusha roho, nilijua leo ndiyo siku ya kuninunulia ndege.
Nami niliweka vyangu pembeni, mtoto wa kike kiunoni nilikuwa nimetakata. Shanga zangu moja moja sio zile
za kusuka ambazo nilielezwa na baba kuwa hazina mvuto kama shanga moja moja ambazo zikiwa nyingi zinahesabika
mkononi na kuongeza utamu wa chakula.
Nilimuangalia kwa chati mzee wa watu ambaye macho yalikuwa yamemtoka pima kutokana na umbile langu lenye kila sababu ya kumfanya mlokole atende dhambi si ya kuzini
kwa vitendo hata kuniangalia nikipita.
Tulijimwaga kwenye bafu la kuogelea na kumsugua mzee wa watu, nilipomgusa mwiko wake alishtuka. Nami sikumpa nafasi niliusafisha mwiko kabla ya kuingia kwenye chungu kwa ulimi.
Kwa sehemu hii nilikuwa mtaalamu, nilijua kuutumia ulimi wangu kumfanya mtu ajikunje kama kamwagiwa siafu.
Nayo mikono haikuwa mbali niliichezea mizigo iliyokuwa chini ya shina la mhogo. Niliipekecha taratiiibu huku nikimuangalia usoni , mmh we acha mzee wa watu macho yalimlegea na kujilamba kama kamwagiwa kopo la asali. Ulimi na mikono iliendelea kumnyanyasa mzee wa watu
mpaka alipopandisha majini na kumwaga maji ya dafu mdomo mwangu huku akitweta kama dume la bata.
Ungekuwa wewe ungesema uchafu eti kinyaa nani alikwambia ni uchafu maji ya dafu yana vitamini zote. Niliyanywa yote na kuusafisha mwiko kwa ulimi kisha tuliendelea kuoga huku na yeye akinigusa hapa na pale japo alionekana si mjuzi sana
wa mambo yale.
Kwa kweli pamoja na kukutana na wanaume zaidi ya sita bado nilikuwa sijampata mwanaume mwenye uwezo kama wa baba. Kila nilipomkumbuka baba sehemu za chini hunicheza na kutamani kitu fulani, siku zote nilimuonea wivu ma mdogo.
Kurukuchu aliomba alie chozi moja, japo ilikuwa haki yake vile vile sikutaka kujionyesha kuwa mwepesi. Nilimkatalia na kumueleza
"Mpenzi raha ya chakula juu ya meza haraka ya nini"
"Naelewa lakini uvumilivu umenishinda nilize hata chozi moja"
"Naogopa kukuchosha mapema leo nina kazi nzito na wewe, hivyo kusanya nguvu ikiwemo na kupata chakula cha nguvu"
Kurukuchuku alinikubalia kwa shingo upande, tulirudi wote hadi chumbani nikiwa nimetangulia mbele makusudi bila nguo yoyote nilimuona udenda ukimtoka.
"Suzy utaniua kwa mpesha ukiwa na bwana mwingine zaidi yangu, ulivyo tu ni zaidi ya mali zangu zote. Nitakulinda kama uhai wangu"
"Wewe tu, si unajua Paroko akirudi kazi kwako kunilinda"
"Suzy hilo usihofu mimi ndiye Mr Arusha hakuna mtu mwingine nina jeshi la kukulinda kama mkuu wa nchi" Baada ya kufika chumbani Mr Kurukuchu aliniomba tupate chakula na vinywaji kwa vile tupo pamoja kutwa kuchwa. Viliagizwa vinywaji na chakula cha nguvu, Mr Kurukuchu alinilazimisha ninywe pombe kali lakini nilikataa. Hii ilitokana na kujifahamu wakati wa mpambano, shida yangu ilikuwa ni kumtaka kiu na kumfanya mzee wa watu alie kilio cha
mbwa mwizi. Naye nilimkataza kunywa sana kwa vile niliogopa kupigana na maiti sasa raha itakuwa wapi kama mtu
akiwa hajitambui. Naelewa vizuri nini kilichonipeleka pale si kingine ila kumkata kiu na kumuonyesha uwezo wangu nina tofauti gani na wanawake wengine.
Nilijiandaa vilivyo mtoto wa kike kuonyesha kuwa nina vitu adimu ambavyo vilimfanya baba kumsahau mama mdogo pale alipotaka ushindani nami. Baada ya chakula ambacho
tulikula kiasi ili mtu asije tapika wakati wa mpambano.
Baada ya chakula tulirudi tena bafuni kuondoa jasho la chakula, hatukuoga na sabuni tulijimwagia kisha tulirudi hadi kitandani kila mmoja akiwa mtupu kama wanga walioshikwa wakiwanga wakipelekwa polisi. Nilikwenda hadi kwenye kabati na kufungua mkoba wangu na kutoa chupa ndogo ya mafuta mepesi na kurudi nayo hadi kitandani.
Nilijilaza pembeni ya Kurukuchu ambaye moyo ulikuwa ukimwenda mbio, najua utajiuliza kwa sababu gani? Siwezi kumlaumu kutokana hali iliyomkuta. Hii imewakuta wanaume wengi ninao kutana nao siku ya kwanza hasa ninapojiachia mbele yao na kuuona mwili wangu wote. Wengi huingiwa na
kimuhemuhe hata kushindwa kucheza vizuri kipindi cha kwanza.
Sikutaka kuzungumza chochote zaidi ya kufungua chupa na kujaza mafuta mkononi na kuanza kumpaka mwili mzima.
Nilimuona akishangaa lakini hakupata nafasi ya kuuliza swali, nilijua tu alikuwa akiogopa kuonekana mshamba. Nilimpaka mafuta akawa amenona kama kiti moto, nilipofika maeneo ya shamba la muhogo na viazi mviringo ambavyo wengine
wanaviita viazi ulaya au mbatata.
Sehemu hiyo nilichelewa na kufanya masaji ya nguvu huku
nikimuangalia mzee wa watu akitetemeka kama kanywa soda ya Coka cola kwa kupiga vaibresheni Ng'riiiiiii. Nilimuuliza huku nikimtazama usoni kwa jicho ambalo linaweza kumponya mwanaume mwenye maradhi ya jogoo kuwika.
CHANZO:  https://ift.tt/2KiArYA
"Vipi mpenzi mbona hivyo?" nilimuuliza kwa sauti yenye kuomba msaada
"A.aa.aah"
"Mmh mpenzi hebu nieleze unasikia nini?"
"Ra..ra.ra.aha tupu" alijibu huku akijinyonganyonga kama mnyoo Kwa vile nilikuwa na kazi naye moja nilimlaza chali na kumkalia juu, ooh acha mimacho kukutoka mambo bado tulia umeze dawa huu ni unyago tosha kwa wanawake wenzangu ambao ni waoga kuuliza vitu wasivyo vijua vya kumpagawisha wanaume.
Sio mkiingia chumbani unajichanua mwaaanu ikisubili bakora,
mmh noma haipendezi. Hata chakula kitamu kinahitaji kupoteza muda kukipika ndipo mlaji uhisi amekula chakula kilichopikwa kikapikika chenye kuleta ladha mdomoni.
Utakalia kulaumu mume wangu anapenda kula gengeni, basi kama ulikuwa hujui siri ya mumeo kula gengeni leo itambue. Unamlipulia chakula anakula kwa vile mkewe. Lakini ungekuwa muuza genge angepoteza wateja.
Tuachana na maneno mengi hapa ni kazi tu maneno hayatakiwi, basi tuwe pamoja ili usiniulize baada ya kipindi huwa sirudii kama matangazo ya vifo. Baada ya kumkalia
juu nilikumbuka masaji ilikuwa ya upande mmoja, ni wazi ulikuwa mgeni wa mambo yale pamoja na kuwa na pesa za kutikisa jiji la Arusha.
Nilimnyanyua akiwa amelegea utamuonea huruma atafikili kapigwa virungu vya magoti na mgambo wa jiji. Nilimuelekeza anifanyie nini, kweli alikuwa mgeni wa mambo yale, lazima uelewe mwanamke mwenzangu lazima uwe mwelevu kujifunza mambo ya kumnasa mwanaume.
Baada ya kujilaza chali kitandani nilimuelekeza animwagie yale mafuta na kunipakaza mwili mzima nami niliteleza kama kitimoto. Baada ya kunipaka mafuta kona yote, ndipo
nilipomlaza chali na kumkalia kifuani kutokana na kuwa na kitumbo cha pesa.
Hapa twende kwa hatua, nilichukua mwiko wake na kujifanya mpiga chuping kwenye nyumba. Nilianza
kuutembeza ule mwiko kwa kuusugua kwenye mwili wangu wenye mafuta yaliyonona kwa kuufanya mwiko uvinjari mwili mzima.
Nilimuona mzee wa watu akiwa katika wakati mgumu. Unajua kila kitu kina utamu wake siku zote sigara ya
kuokota huwa haiishi hamu. Alifumba macho kwa raha nilimuona akitabasamu, niliamini kabisa vitu vile ni
adimu. Utajiuliza nimejifunzia wapi, baba bwana yule mzee sijui katika ujana wake alikuwaje.
Baba kazi alikuwa akiijua alijua vilivyo kumuandaa
mwanamke kabla ya mpambano mpaka mpambano unaanza kila kona itakuwa na utamu aina yake. Baada ya zoezi la pili nilibadilisha, Kurukuchu alifuata kama tela kwa kichwa cha gari.
Nilimpigisha magoti na mimi nilikaa kitako kisha nilichukua mwiko wake na kuupitisha katikati ya matiti yangu yaliyokuwa yamejaa vyema.
Niliyagusanisha na kumwambia aupitishe mwiko katikati ya matiti, niliyokuwa nimeyakusanya kwa mikono. Nilimuelekeza afanye kama anasonga ugali, alianza kwa kasi kama nyani aliyeuona mti mdogo. Nilimueleza asonge taratibu ndipo atakapojua utamu wake. Kurukuchu alifuata maelekezo yangu na kusonga taratibu, mikono yangu haikuwa mbali na viazi mvirigo vilivyokuwa chini ya mwiko.
Nilivichezea vile viazi huku Kurukuchu akiendelea kusonga taratibu. Mara alianza kuunguruma kama dume la njiwa joto la matiti na mafuta yalimfanya animwagie maji ya dafu kwa kutetemeka kama amekunywa Coka kola na kujilaza juu yangu huku akiwa amenimwagia maji ya dafu na kutweta kama amepanda mlima.
Nilinyanyuka na kupitia kitambaa chepesi na kumfuta kisha nilihamishia mdomoni kufanya usafi wa mwisho kabla ya kuendelea na zoezi jingine. Baada ya usafi nilimuhamishia
makwapani mzee wa watu alichanganyikiwa, baada ya makwapa yote mawili nilimpumzisha huku nikimchua kila kona ya mwili kabla ya kumalizia kwenye mapaja yote mawili.
Utajiuliza mapaja unafanyaje, unaukunja mguu na kuuingiza
mwiko kwenye upenyo uliopo chini ya goti. Kisha unamwambia asonge taratibu kwa haraka anaweza kuchubuka au asijue radha yake.
Sehemu hizi zina maana yake hutusaidia wanawake pale simba
wanapofanya mazoezi na mumeo au mpenzio ana hamu nawe njia hii humkata kiu na kuweza kutimiza siku zako bila tatizo. Kurukuchu alikuwa hoi bin taabani.
Aliniita jina langu
"Suzy"
"Abee mpenzi"
"Sema chochote duniani ukitakacho nitakupatia, mambo yako toka nizaliwe sijawahikuona. Suzy nikikuona na mtu nitaua mtu sikubali kuupoteza utamu huu"
"Mbona umechanganyikiwa hiyo trela mchezo kamili unakuja, pumzika mpenzi upate kile ulichokitaka kukijua
kimo ndani ya mwili wangu"
"Mungu alikupendelea ningekuwa na uwezo ningekujengea nyumba angani"
Huwezi amini Kurukuchu machozi na kamasi nyepesi zilimtoka kama mtoto mdogo.
Lazima uelewe shosti ukitaka kufanya shughuli lazima uvunje
shughuli, kama nilivyo mpania Kurukuchu siku zote shughuli kushughulika na watu ndiyo sisi.
Nilimwacha apumue kabla ya kitimutimu kilichotupeleka pale yaani mtoto hatumwi dukani. Tulipumzika kila mmoja akiwa mbali na mwenzie, sio kugandana kama ruba kila mmoja
alijilaza upande wake ili kuupa mwili joto jipya.
CHANZO:  https://ift.tt/2G1kBkr
Mapumziko yalichukua masaa mawili kisha nilimnyanyua na
kumpeleka bafuni kuoga ili kuupa nguvu mwili. Tulichezea maji kwenye bafu la chini, huku tukigusana hapa na pale
kuifanya miili yetu kusisimka.
Tulikaa ndani ya maji ya baridi kwa muda wa dakika ishirini kisha tulitoka. Nilimfuta maji kama mtoto mdogo, kwa kweli kila nilichomfanyia kilikuwa kigeni kwake. Hii ilionyesha
jinsi gani wanawake wengi tumekuwa wavivu kwa kujua mapenzi ni kupanua mapaja na si huduma muhimu za kumliwaza mwenzi wako.
Tuliporudi ndani nilimmiminia pombe kali nusu glasi ili kuuchangamsha mwili. Nami nilipata kinywaji kidogo ili twende sawa kabla ya mtanange ambao nimekuona ukiusubili
kwa hamu, we kaa mkao wa kula mimi huwa sifanyi mapenzi
starehe pale ninapoamua kumkata kiu mwanaume bali kazi.
Baada ya kupata sitata nilimsogelea na kuanza kuitambaza mikono yangu kwa kumgusa sehemu muhimu kwa ajili ya kuusisimua mwili. Kila nilipomgusa nilimuona akisisimka,
nilipofika kwenye shina la muhogo kama kawaida yangu nilitulia sehemu ile kwa ulimi na mikono hadi alipokunywa coka kola.
Unauliza coka kola ndiyo nini jamani mtu akipandisha mashetani anakuwaje au aliyepasua dafu na maji kukumwagikia, nina imani nimeeleweka ndiyo maana kona hii ya watu wazima watoto waache watumbue macho sisi haoooo.
Baada ya kuvunja dafu nilimuona Kurukuchu na yeye kunigeukia na kuanza kufanya ziara fupi mwilini mwangu. Sikutaka kumkataza wala kutaka kumfundisha.
Nilimuacha afanye kwanza atakapo onekana amefikia nitamuongezea vya ziada, sikuwa kungwi wa wanawake tu hata kwa wanaume wageni wa medani hii.
Nilimuacha afanye atakavyo nikiwa nimejilaza chali, Kurukuchu aliutembeza ulimi wake. Mmmh kumbe wamo alipofika kwenye kisima cha burudani alionekana kama anataka kunywa maji, Lakini alianza kusukutua na kuniweka kwenye wakati mgumu.
Nilihisi raha za ajabu na kuufanya mwili wote nisikie utamu wa ajabu, ooh wazungu haooooo. Kurukuchu pamoja na kuwa si mtaalamu sana lakini vitu vingine alivifahamu kwa ufasaha. Kwa mara ya kwanza nilijikuta na mimi nikiongeza maji kisimani baada ya kunywa coka kola, mwili ulinitetemeka na kujikuta nikipumua kwa taratibu baada ya kutulia kwa muda.
Nilikuwa na imani coka niliyokunywa ilikuwa kubwa ya lita moja, maana maji kisimani yalikuwa mengi ilibidi tuyapunguze kabla ya kuendelea na zoezi letu. Kurukuchu aliendelea kunionyesha yeye nani baada ya kuhama
kwenye kisima cha burudani na kuhamia kwenye dodo zilizoshiba na kuzitamani kuzinyonya.
Baada ya kufika kwenye dodo alianza kuzinyinya taratibu na kuzidi kunipa wakati mgumu....

MWISHO!!!!





USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.