✨ HATARI YA KUTAFUTA MKE AU MUME KWENYE MTANDAO 💫
1-- Mume mwenye mke hudanganya kua hana
mke !
2---Mume hudanganya anavitu asivyo navyo
3--- wasichana wenye watoto hudanganya
hawana watoto
4--- Wanawake wengi na hata waume hupenda
kupunguza umri wao na kujifanya wadogo.
5--- Wengi hueka picha au kutumiana picha za
zamani alipo kua kijana tofauti alivyo sasa.
6--- wengine hueka picha au kutumiana picha za
mtu mwengine .
7--- Wengine ni wake za watu ila hudanganya kua
waliachwa na waume hudanganya wameachana
na wake zao
8---Wenye Roho mbaya hujifanya na roho nzuri
9-- wengi pia hujifanya wachamungu ilhali cvyo
walivyo huko waliko
10--Wengi huahidiana kuowana ila mmoja akiwa
mkweli mwengine hua na ahadi ya uongo
Msiba mkubwa huu ndugu zangu yaani mtindo
sasa ni kila mmoja ni bachelor hana mume wala
asie mke wala asie mtoto.

kila mmoja anatafuta mke mwema na mume
mwema ila ni hadaa tupu
Tahadharini sana ndugu zangu tusipurupuke tu
kujiamulia mambo mazito kama haya bila
kufuatilia kupata uhakika uaminifu
umetoweka zama hini wengi wanaishia kula
mbovu.
mwema ila ni hadaa tupu
Tahadharini sana ndugu zangu tusipurupuke tu
kujiamulia mambo mazito kama haya bila
kufuatilia kupata uhakika uaminifu
umetoweka zama hini wengi wanaishia kula
mbovu.
💞 DA'WA NA MAFUNZO YA NDOA 💞
No comments: