KWA DUNIA YA LEO KUMPATA MWANAMKE MWELEWA IMEKUWA TABU SANA.
"Kwanza mwanamke ukifnikiwa kumpata sema ahsante MUNGU , maana ni viumbe wanaobadilika mno, mnooooo.
Unaweza ukampa mahaba maziiito ,
Ukamthamini kwa kila kitu,
Ukamfungulia duka kubwa ,
Ukampa mahaba matamu na muda wa kutosha,
Ukampa usafiri wa maana tu ila:
Unaweza ukampa mahaba maziiito ,
Ukamthamini kwa kila kitu,
Ukamfungulia duka kubwa ,
Ukampa mahaba matamu na muda wa kutosha,
Ukampa usafiri wa maana tu ila:
Akajikuta tu anampenda muuza bucha kisa anampaga nyama nyingi kama nyongeza kwenye nyama ya elfu 6000@ kg 1.
Anaweza akampenda mwanaume anayemuungisha soda ya chupa Tsh 500 akakusahau wewe uliyemfungulia hilo duka lililojaa kila aina ya vinywaji na wakati huo kuna friji nyumbani limejaa vinywaji pia"
Anaweza kumtunuku penzi tamu mteja anayemuachia chenji na kumwambia weka vocha wakati umemfungulia duka lililojaa vocha na simu ndani yake.
Anaweza kumpa mahaba mazito hata kufikia hatua ya kukudharau au kukuacha baada ya kununuliwa chupi na sidiria na mhuni mmoja wakati umemfungulia duka la nguo za kila aina kwa thamani ya mamilioni.
Anaweza kumzimia haouse boy kisa tu anamsaidia kusogeza kitanda na kutundika neti au mapazia chumbani.
Ila na sisi wanaume tunaweza kutembea na housegirl ambaye hana hadhi kabisa ya mkeo,sijui ni tamaa au nguvu za kiume kuwa nyingi?
Lakini kwanini Jogoo,beberu,gegedu au dume la ng'ombe anaweza kuwapanda majike kumi kwa siku bila kuchoka?
Nahisi wanaume wamepewa nguvu nyingi,yaani mume ni wa wake wengi ila mke wa mwanaume mmoja.
Lakini kwanini Jogoo,beberu,gegedu au dume la ng'ombe anaweza kuwapanda majike kumi kwa siku bila kuchoka?
Nahisi wanaume wamepewa nguvu nyingi,yaani mume ni wa wake wengi ila mke wa mwanaume mmoja.
Au ndio maana Mungu Mwenyewe alisema "muishi na wake zenu kwa akili " Au Unafikiria ni kwanini wako hivyo!!!!!!
No comments: