MWANAUME KAMA HUWA UNAJISIFU KWAMBA WEWE NI FUNDI KITANDANI, ACHA KABISA KUANZIA LEO NGOJA NIKUPE SABABU KWANINI!
Je, ni mara ngapi huwa unajisifu sana kwamba wewe ni mzuri kitandani...?..
(a) Kamwe sijisifu...
(b) Mara chache...
(c) Kila wakati...
(b) Mara chache...
(c) Kila wakati...
Watu ambao hujisifu kwamba ni wazuri kitandani mara nyingi hawajiamini...
Suala la tendo la ndoa ni mada sensitive sana kwa wanaume, hivyo kujisifu inawezekana ni kujaribu kufunika ukweli...
: Je, nini mtazamo wako kuhusu usafi...?..
(a) Nipo kawaida, naoga, najinyoa ndevu na kutumia vipodozi vya wanaume na kuvaa nguo safi...
(b) Kuna siku siogi, pia naweza kuvaa nguo moja hata mara mbili...
(c) Nipo makini mno, naosha mikono kila wakati na sipendi kabisa kugusana na mtu mwingine asije nichafua...
Kuwa msafi siku zote ni kitu kizuri sana...
Wanawake wapo sensitive sana na kile wananusa kuliko wanaume...
Hii ina maana kwamba harufu mbaya huweza kumuathiri mwanamke kuliko mwanaume...
Ni muhimu kuoga kila mara na kuvaa nguo safi, ingawa kuwa msafi kupitiliza kunaweza kuzima hamu ya mapenzi kwa mpenzi wako kwani huwezi kubusu kila sehemu kwa kuogopa kuchafuka...
Je, ni mara ngapi unaongea na mikono...?..
(a) Sifanyi kabisa...
(b) Nafanya kila ninapoongea...
(c) Mara moja au mbili kila ninapoongea...
Wanaume wanaongea huku mikono nayo ikisaidia mara nyingi ni wabunifu na wafikiriaji wazuri...
Hujitahidi sana kuhakikisha wanapofanya mapenzi kunakuwa na matokeo mazuri...
Kama una mwanaume wa jinsi hii basi utafurahia kitandani maisha yako yote hadi uzeeni...
Je, wewe ni mbunifu kiasi gani kitandani...?..
(a) Nafanya kwa utaratibu uleule kila siku miaka Nenda miaka rudi...
(b) Ninafanya tofauti kidogo angalau baada ya muda...
( c) Najitahidi kuwa na kitu kipya angalau kila ninapofanya mapenzi...
Kuwa bored ndiyo sababu kubwa ya uhusiano wa mapenzi kuwa ovyo na hata hamu kwisha kabisa...
Kujaribu kitu kipya pamoja na mikao tofauti wakati wa kufanya mapenzi husaidia kitanda kuwa cha moto kila mara...
Wapo wanandoa ambao wapo kwenye ndoa zaidi ya miaka 60 na bado wana enjoy mapenzi...
No comments: