✨USIMKATAE MWANAUME MWENYE NIA YA DHATI YA KUKUOA ETI KWA SABABU SIYO WA “LEVEL YAKO” (VIWANGO VYAKO) KWA ELIMU AU KIPATO.
Ushauri kwa Dada Zangu na Binti Zangu 🙏🏽🙏🏽
✨USIMKATAE MWANAUME MWENYE NIA YA DHATI YA KUKUOA ETI KWA SABABU SIYO WA “LEVEL YAKO” (VIWANGO VYAKO) KWA ELIMU AU KIPATO.
📌 KUMBUKA VIWANGO HUWA VINABADILIKA.
✨VITU VYA MUHIMU KUANGALIA NI HIVI VITATU:
1. ANAMPENDA NA KUMHESHIMU MUNGU.
2. ANAKUPENDA KWA MOYO WAKE WOTE HADI MWENYEWE UNAJUA UNAPENDWA😊.
3. ANAJISHUGHULISHA; HATA KAMA NI KAZI YA KIPATO KIDOGO NA ANAYO MAONO YA MBELE.
ANGALIZO:
⚡️ Hakunaga “READY-MADE” Wife or Husband; bali huwa ni MCHAKATO wa kuchongana hadi muwe mnachotaka.
⚡️ USIMDHARAU MTU MWENYE YESU NDANI YAKE!!
No comments: