Esma Platnumz ashambuliwa baada ya kuweka picha ya watoto wa Zari
Dada wa Diamond Platnumz, Esma Platnumz baada ya baada ya muda mrefu jana aliweza kuwashare watoto wa Zari The Boss lady ambao ni Tiffah pamoja na Nillan aliowazaa na kaka yake.
Esma alikuwa akiwapost watoto hao katika siku zao za kuzaliwa sio kawaida yeye kuwapost tu bila jambo maalum aliwaposti watoto hao wakiwa wamelala na kuandika " Oooh Vinani Vimelala km baba yao akilala hapo kashachokaa na show Mungu awakuze salama Inshallah nawatakia Ijumaa Mubarak aunty Esma love's you so much."
Baadhi ya Comment za mashabiki:
ruqaiyer360 aunte Ema yuda kipeo cha Nne
nivurugenikuvuruge
Vimelala kweny nyumba ya Mani?
aminamsangi01gma
Yudaa eskaliot
cally_tz5
Leo hiyo
winnemringi
Sasa we baba yao akilala huwa unamuonaje na we ni dada ake
priscamussa45
Mtoto wa tandare mbona sura hatuioni au paka 40 ifike
love_bait18
Yap dat gud dia is true love kwa watt wa kakako usiongope eti wameeachana na mamayao chuki unazieneza hadi kwa watt ilimradi umfuraishe mke mpya wa kakako 👌👌asante anti esma
matangazo_umbea2
Kwann useme kama baba yao waseme wao kama wao mnajuaga kijipendekeza kwa wazungu

No comments: