JIMAMA TAMU SEHEMU YA 34
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 34
WhatsApp:0678926045
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 34
WhatsApp:0678926045
Yani mniga unasubutu kunipiga Mimi kisa huyo Malaya wako sasa tutaona Kama utaishi nae mjinga mkubwa wewe, aliongea Jeni huku akitoka analia kwenye chumba cha mniga,
'"hunitishi na chochote wewe Malaya tu tena nikija kusikia unamzungumzia Salome wangu ntakufyekelea mbali mjinga wewe, aliongea mniga huku akaingia bafuni na kuanza kujimwagia maji huku mawazo tele kwenye kichwa chake alipomaliza kuoga tu akarudi chumbani kwake na kuvaa nguo zake, na kutoka hadi sebleni ambako mida ilikuwa ni saa kumi jioni akamkuta mzee katulia kwenye masofa huku alipomuona tu mniga akatabasam,
'"kalibu kijana wangu nilitaka kumtuma sasahivi jeni aje kukuita, aliongea mzee yule,
'"asante mzee wangu kwanza shikamo, aliongea mniga,
'"marahaba kijana bila kupoteza muda sasa unaweza kujiandaa mkachukuwe mzigo wa madawa ya kulevya ambao umetua leo kutoka china kaagiza mke wangu, aliongea mzee huku akitabasam,
"'mzee wangu kwa leo nimechoka Sana labda tufanye kesho acha nipumzike, aliongea mniga,
'"unasemaje kijana acha ujinga kwenye kazi bhana nimekwambia kajiandae sasahivi, aliongea mzee kwa sauti kali kidogo huku kakunja sura yake,
'"mzeee nimekwambia Mimi leo sifanyi kazi bhana kwani Mimi mtumwa au, aliongea mniga kwa hasira Sana,
'"hahahahaa naona wewe kijana unantania kwenye kazi zangu msenge wewe chukua kilicho chako na uondoke kwangu haraka Sana pumbavu wewe, aliongea mzee huku akimtukana mniga,
'"Kama ulijuwa ukintishia hivo ndo ntakubali umeshindwa mzee mwenye mvi zako lakini ni mpumbazu mjinga kabisa siku yako bado ya kuku fyeka wewe, aliongea mniga kwa hasira maana huwa hapendagi dharau kabisa,
"'unanitukani Mimi wewe mjinga kabisa ngoja nikumalize, aliongea mzee yule na kuanza kupapasa kiunoni akitaka Kuchomoa pisto yake ila kabla hajachomoa tu mniga fasta akamrukia yule mzee na kumtandika, ngumi ya kwenye puwa damu zikaanza kumtoka mzee ambae nae hakukubali kupigwa kizembe alikuwa nae anarusha makondo ambapo mniga alizipanchi na kumtandika yeye hadi mzee akaanza kuzidiwa akapiga mruzi, wa nguvu kweli Mara zikatokea njemba zile ambazo zilimkimbia mstuni na kuja kwa kasi sana kurusha ngumi ambapo mniga alimnyanyuwa mzee yule na kuwarushia zile njemba ambapo ziliangaika kumdaka bosi wake huku mniga alitumia upenyo huo huo kumtandika ngumi yule aliokaa mlangoni hadi chini, hapo hakupoteza muda tena alikimbia hadi getoni ambapo alimkuta mlinzi anafunga geti ile anataka kupita tu mlinzi akafunga geti na kusababisha mniga kujigongeza kwenye geti hapo alogeuka na kufuti kilichompata mlinzi kwenye mdomo na kushika mdomo mniga akafungua geti na kutoka zake speed hadi kwenye sehemu ambapo ni mbali na nyumba ile akaanza kuhema Sana huku jua likizama talatibu hapo ndo mniga akachanganyikiwa asijuwe wapi ataenda kulala na kula, simu kaiacha hapo alipo hana hata mia mfukoni na kila akitembea kila sehemu watu wanaongea kicongomani kiswahili hawajui ndo alizidi kuchanganyikiwa kinoma mwanaume, alitembea Sana na kigiza kikaanza kuingia bahati nzuri akatokea bandali kavu ambapo alipita kwenye gari moja aina ya semi likiwa linashusha mzigo akalisogerea kwa kalibu sana akasikia watu wanaongea kiswahili huku wanapika,

Itaendelea...............
No comments: