JIMAMA TAMU Sehemu. Ya. 17

Image result for jimama tamu 15
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 17
Oh sawa Kama umeshiba sasa twende kwenye chumba cha matibabu ili mjeraha yako yapone haraka Sana, aliongea yule mdada huku akinyanyuka na kwenda alipo mniga akamsaidia kunyanyuka na kumkokota hadi kwenye chumba maarumu kwa matibabu tu akaingia ndani mniga alikuwa akishangaa tu maana kulikuwa na kitanda kabisa maarumu kwa kazi hiyo alimsogeza mniga hadi kwenye kitanda akamkalisha mniga mwenyewe akajipandisha na yule mdada akachukua sindano na kumchoma hapo mniga akashangaa anasinzia na kulala fofofo mdada yule akamvua nguo zote mniga na kumuacha uchi wa mnyama yani akaanza kumtibu majeraha kwa dawa maarumu kwa kazi hiyo, baada ya wiki moja kupita huku matibabu yakiendelea sasa mniga alikuwa kaanza kupona maana vidonda vilipona na ikabaki makovu tu sasa hata mazoezi alianza huku mdada yule akamwambia,
'"kwa sasa mniga upo safi inatakiwa nianze kukufundisha kareti au unasemaje, aliongea mdada yule,
"'nipo tayali maana nataka kwenda kulipiza kisasi kwa wabaya wangu wote, aliongea mniga kwa uchungu Sana ila wakati huo wote sura ya Dada yule hakuiyona mazoezi yakaanza mepesi mepesi kutokana na mniga nae anakichwa chepesi alianza kuelewa kwa kasi Sana hadi yule mdada akapata moyo zaidi wa kumfundisha kandi siku zinavozidi kwenda ndo alizidi kuweza hadi miezi miwili alikuwa mniga ni hatali anapiga kareti Kama kazariwa China kumbe mtanzania halisia, basi yule mdada sikuhio akamwambia mniga,
"'Mimi naenda kazini kwangu kwa sababu ninamuda Sana sijawasili ila niliwaaga kuwa nimepata tatizo sasa ntaenda kutega upepo unaendeje na nikirudi tu ntaweka mechi Mimi na wewe tupigane hadi univue hichi kitambaa usoni maana najuwa unatamani Sana kuiyona sura yangu, aliongea mdada yule kwa kilefu zaidi yani,
'"Daah ulijuwaje Kama natamani niiyone sura yako Sana maana tumeishi Mimi.....
Itaendelea.........
 RRR


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.