JIMAMA TAMU Sehemu. Ya 18

Image result for jimama tamu 15
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya 18
Daah kweli kabisa natamani niiyone sura yako kwa sababu tumeishi na Mimi sasa yapata miezi mitatu sijawahi kuiyona sura yako natamani sana kuiyona, aliongea mniga,
'"sawa utaiyona ila kwa kupambana na Mimi hadi unitoe hiki kitambaa usoni najuwa ukintoa sasa utakuwa umekamilika katika mazoezi na ntakupa bonge la zawadi yani, aliongea yule mdada huku akinyanyuka na kubeba mkoba wake huku akitoka zake kwenda kazini mniga akabaki ndani huku akifanya mazoezi kwa speed Sana yani alipomaliza akaenda mezani na kunywa chai huku anafikilia,
'"yani nikitoka tu humu chakwanza nikaone vitu vyangu ndo nianze kumsaka mmoja mmoja wa maadui zangu sasa, aliwaza mengi Sana mniga, masaa nayo hayakuganda hatimae jioni ilifika na yule Dada akarudi kutoka kazini na akapitiliza chumbani kwake ambako alioga na akavaa nguo za mapambano huku akitoka chumbani hadi sebleni akamkuta mniga katulia tu kwenye sofa anatazama TV tu yule mdada akamwambia,
'"eyi mniga kajiandae ni muda wa mapambano sasa,
'"Oh sawa mwalimu aliongea mniga na kwenda chumbani kwake nae akavaa nguo maarumu kwa kupigana akatoka hadi sebleni akamkuta yule Dada ambae akamwambia,
'"twende huku kwenye chumba cha uringo sasa, mniga hakumjibu bali alimfata kwa nyuma na huku yupo makini kweli kwa kutazama hadi wakaingia ndani kwenye chumba hicho ambacho kilikuwa hakina kitu chochote zaidi ya kitupu mniga alivoingia tu mlango ukajifunga na yule Dada akamwambia,
'"tuanze mapambano sasa usinishangae, aliongea Dada yule na kuruka sarakasi kwa kasi Sana akimfata mniga ambae nae alimkwepa tu ila hajakaa sawa Mara mateke mfurulizo huku ngumi nyingi Sana zilimuandama mniga ambae alikuwa anakazi ya kupanchi ila akivizia tu ili akisogeza tu uso wake amvute kitamba wala hakupenda kumpiga mrembo Kama yule alijitahidi Sana kupanchi ila ndo ngumi mateke zinazidi mniga akaanza kumvizia na kweli Dada yule akanasa kwenye mtego wa mniga ambae alimtishia Kama anamtandika ngumi na mkono wa kushoto yule Dada akanepa kwa upande wa kulia hapo mniga fasta akanyoosha mkono wa kulia na kukivuta kitamba usoni mwa Dada yule alifanikiwa kuiyona sura ambayo hakuamini macho yake maana alishangaa hata nguvu za kupigana zikimuuishia na akakaa chini huku akiita kwa nguvu kweli,
'"salome ni wewe au nimefananisha au mlizariwa mapacha, aliongea mniga,
'"ndo mimi mniga hujafananisha mbona unanishangaa Sana buana, aliongea Salome,
'"Mmmh mbona ulikuwa hunipendi Sana na iweje umenisaidia. Aliuliza mniga,
'"Duuh mniga ni stori ndefu tu ila ngoja nikusimulie kwanza kabisa Mimi ni mwanajeshi na pale tulipokuwa tukiishi Mimi nilitumwa na mkuu wangu wa kikosi aliniambia nikamlindie familia yake sasa kipindi naendelea kulinda Kama usiku nilikuwa nakuona tu jinsi unavolisugua jimama ila sikutaka kukuchongea kwa mkuu wangu nilikuacha Kama siku ile ulivoniambia Kama unanipenda kweli nilikupenda na ila sasa kwakuwa niliona huko mbeleni kutakuwa na matatizo ikabidi nijifanye sikutaki ili nikuokoe wewe, aliongea Salome,
'"Duuh kwahio namajibu yote ulikuwa unanijibu vile kweli unanipenda, mniga alijifanya anauliza,
'"ni kweli mniga nakupenda Sana tena zaidi ya Sana kwa maana usione pale nilikuwa nakujibu ila nikiingia ndani kwangu huwa nalia Sana,


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.