JIMAMA TAMU SEHEMU YA 23
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
WhatsApp::0678926045
Sehemu. Ya. 23
Sehemu. Ya. 23
Mniga fasta akaufunga mlango na kwenda kupambana na huyu alioingia ndani kwa kumshindilia mangumi ya maana kwa sababu alifundishwa mapigo ya kuua fasta akaivunja shingo ya yule kijana alioingia bila bleki sasa akapata bunduki nzuri kabisa akaenda kufungua mlango huku kajificha mlango ukafungua na wale Jamaa wa nnje waliweza kushuhudia maiti ya mwenzao kafa hapo ndo walichanganyikiwa huku kauoga kakawaingia, wakiwa bado wanashangaa Mara akajitokeza kidume mniga na kuanza kumwaga risasi kwa kasi ya ajabu sana yani wanajeshi wote waliokuwa mlangoni walikufa walibaki wawili tu ambao walikuwa kwenye gari nao walivoona maiti za wenzao weee walitoka na gari speed ya hatali Sana hapo mniga nae hakutaka kubaki tena maana ilikuwa balaa tena hilo alichukuwa nguo zake na kupanda gari lake na kutoka speed ya hatali akielekea zake pangoni huku akachukua simu yake na kumpigia Salome ikaita kidogo na kupokelewa,
"'hallo mniga mpenzi upo salama kweli, aliongea Salome,
"'nipo safi kabisa wangu na sasa naelekea pangoni kwetu utanipa majibu badae kwa nilichowafanyia mbwa wale, aliongea mniga na kukata simu, akaendelea kuendesha gari lake kwa kasi hadi pale wanakolifichaga, nae akalificha alipo maliza tu akaingia pangoni hadi sehemu ya mfuniko akafungua na kuzama ndani, alishuka na ngazi hadi sebleni akawasha TV na kukutana na tahalifa ya habari iliokuwa inatangaza, (wanajeshi sita wafariki dunia na iliposemekana walienda kumkamata jambazi sugu ambae alijulikana kwa jina la mniga jambazi huyu inasemekana ni sugu askari walishindwa na ndomaana walienda wanajeshi ambao nao wamekufa na jambazi huyo akatoroka mbaka sasa hajurikani alipo serikari inatoa donge nono kwa yoyote atakae sema jambazi huyo alipo na picha yake ni hiiii) ilikuwa ndo tahalifa kwenye mitandao ambapo mniga mwenyewe alishangaa Sana kwa sababu yeye hakuwa jambazi mara simu yake ikaita tena kucheki mpigaji ni Salome akapokea haraka Sana,
'"hallo mpenzi wangu vipi huko, aliongea mniga,
'"Duuh yani huku kumenuka sasa jiandae Mimi sasahivi natoka uwanja wa ndege kukukatia tiketi ili uende Congo kwa mjomba wangu nimeongea nae tayali, aliongea Salome,
'"Oh sawa ila sasa ntafikaje uwanja wa ndege na picha yangu imesambazwa tayali, aliuliza mniga,
'"kwa hiro usijari maana hata tiketi yako nimeandika jina la kike na nimekununilia baibui ili uvae utoke kwenye hatali kipenzi changu, aliongea Salome,
'"asante Sana mpenzi wangu kwa kunijari, aliongea mniga na simu ikakata,

Itaendelea......
No comments: