JIMAMA TAMU = Sehemu. ya. 24
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
WhatsApp:0678926045
Sehemu. ya. 24
Mtunzi-Mniga Mputa
WhatsApp:0678926045
Sehemu. ya. 24
Asante Sana mpenzi wangu kwa kunijari, aliongea mniga na simu Ikakatika hapo akaingia bafuni kuoga huku mawazo mengi Sana maana kwa wazazi wake hajafika kabisa yani anamiezi mingi Sana, alioga haraka na akamaliza akavaa taulo akarudi sebleni ni kuchukua simu yake akabonyeza namba ya baba yake na simu ikaanza kuita haikuchukua muda ikapokelewa,
"'hallo baba Shikamo, aliongea mniga,
'"marahaba mwanangu uko salama kweli mniga wewe, aliuliza baba mniga,
'"nipo salama kabisa baba yangu nimewakumbuka Sana wazazi wangu, aliongea mniga,
'"asante mwenetu kwa kutukumbuka ila sasa mwanangu mniga kwani wewe jambazi kumbe, aliuliza baba yake,
'"hapana baba Mimi sio jambazi maana hata nyie wazazi wangu mnajuwa mlinilea vizuri yani hata udokozi siwezi, aliongea mniga,
"'Kama sio jambazi mbona picha yako inatangazwa kwenye vyombo vya habari kuwa unatafutwa na nijambazi sugu wewe na unasababisha huku mama yako awe analia moja kwa moja kwanini mwanangu umebadilika sikuizi hadi kuwa jambazi, aliongea baba mniga kwa uchugu Sana,
'"hapana baba niamini mwanao sina kaliba hio sema tu mimi na mkuu wa wanajeshi kambi ya makutupora ndo hatuelewana akanibambikizia kesi hio, aliongea mniga nae Kama anataka kulia maana siku zote hapendagi mama yake alie kwajiri yake,
'"sawa Kama kweli mwanangu tunakuombea, aliongea baba mniga,
'"asante kwa dua zenu ntamtuma mtu awaletee pesa kwa sasa, aliongea mniga na kukata simu maana Salome alikuwa kafika tayali huku jasho mwili mzima linamtoka,
'"vipi mpenzi ulikuwa unaongea na nani, aliuliza Salome,
'"nilikuwa naongea na baba hapa sasa ndo akaniambia kwanini nimekuwa jambazi na akiniambia mama analia sana maana anajuwa lazima tu mwanae ntakamatwa, aliongea kwa upole Sana mniga,
'"pole mpenzi ndo hivo vumilia sasa utafanyeje na imetokea tayali, aliongea Salome huku akimkabizi mniga baibui ambapo mniga fasta akalivaa na Salome akamtengeneza vizuri kabisa alipomaliza Salome nae akaingia bafuni na kuoga fasta na kutoka akavaa nguo nzuri tena safari ikaanza ya kwenda uwanja wa ndege wamwalimu Julia's nyerere, huku njiani Salome akamuonesha tiketi,
'"tiketi yako hii mpenzi, aliongea Salome na mniga akaipokea na kuisoma jina ni lakike limeandikwa Halima, Daah mniga alichoka kweli ila hakuwa na namna nyingine ya kufanya ili atoke nchini Tanzania,

Itaendelea.......
No comments: