JIMAMA TAMU- Sehemu. Ya. 25
TAMUMtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 25
WhatsApp:0678926045
Hakuwa na namna nyingine ya kufanya ili atoke nchini Tanzania nchi yenye ulinzi mkali kwakuwa walikuwa na gari, hawakuchukuwa muda Sana wakafika uwanja wa mwalimu Julia's na wakapaki gari huku wakishuka mniga alijilazimisha kutembea mwendo wa mapozi ule wa kike kike hadi sehemu yaekukaguliwa tiketi, na wakapita kote salama kabisa basi Salome akamuaga mniga maana ndege ilibakiza muda mchache iruke tu, kwakuwa kulikuwa na watu hawakupigana mabusu waliagana kawaida tu na mniga akapanda kwenye ndege huku akimpungia Salome anae mwagikwa na machozi Sana, basi mniga akaingia ndani kabisa huku wakisubili ndege iondoke tu nayo haikuchukua muda ikaanza kukata mawimbi kwa kasi Sana, huku mniga bado haamini Kama ndo anaiyacha aridhi ya Tanzania kiulahisi namna ile mara simu yake ikaingia SMS na akaicheki ilikuwa ya Salome ilioandikwa,
'"Mniga mpenzi nilisahau kitu kimoja kukwambia ukifika kwa mjomba wangu hakikisha unakuwa makini Sana kwa sababu kunabinamu yangu ambae tupo sawa kiumri huyo ni machepele Sana ataweza kukuingiza kwenye majalibu na ukafanya nae mapenzi ukanisaliti ntaumia Sana kuwa makini Sana mpenzi wangu, ulikuwa ujumbe kutoka kwa Salome mniga alitabasam tu na hakumjibu wala nini, safari ikaendelea hadi saa saba mchana ndo ndege inatuwa kwenye uwanja wa ndege nchini Congo wanja wa taifa mniga alikuwa anakenua tu, basi ndege ilivosimama tu abilia wakaanza kushuka huku mniga akiwa miongoni mwake alishuka talatibu huku akiwa makini Sana kumcheki mwenyeji wake wakati anatembea Mara akaguswa bega kwa nyuma aligeuka huku yupo makini kweli alipo geuka tu akamkuta mrembo mzuri kweli akiwa kavalia suruale iliombana kweli yule mrembo akamwambia kwa sauti ya chini Sana,
'"nifuate mniga Mimi ndo nimeagizwa kukupokea, aliongea harafu akatangulia mbele mniga akaanza kumfata kwa nyuma huku anatazama chura anavotikisika kwenye suruale Aliovalia mrembo yule walitembea hadi nnje kabisa na wakapanda gari aliokuja nalo mrembo yule kabla hawajaondoka mrembo akamwambia,
'"mniga sasa siuvue hilo baibui tu maana mimi nakutambua wewe ni mchumba wake wa binamu Salome, aliongea mrembo yule,
"'umenijuwaje bhana Kama Mimi wakiume na mchumba wake na Salome mniga alijifanya anauliza,
'"sikaniambia mwenyewe buana maana Mimi na Salome tumekuwa pamoja hadi kusoma tumemaliza pamoja tu sema kazi Mimi sikupata mwenzangu alipata, aliongea mrembo yule na kuwasha gari safari ikaanza huku kila mmoja yupo kimya kumbe nyumbani kwao hapakuwa mbali na uwanja wa ndege gari ilienda kusimama kwenye bonge la mjengo ambako yule alipiga honi na geti likafunguliwa huku mniga, anashanga shangaa tu maana palikuwa pazuri kweli gari ikapaki kwenye parking ya magari tukashuka,
'"kalibu mniga hapa ndo nyumbani jisikie huru chochote ukitakacho utakipata, aliongea mrembo yule huku wakiingia sebleni ambapo mniga kuingia tu akaanza kushanga maana palikuwa na njemba Kama tatu zimetulia

No comments: