JIMAMA TAMU- Sehemu. ya. 26

Image may contain: 1 person, meme and text


JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputu
Sehemu. ya. 26
WhatsApp:0678926045
Palikuwa na njemba Kama tatu zimetulia huku katikati kakaa mzee mwenye ndevu nyingi kweli, hapo mniga akaanza kutetemeka maana alijuwa tayali kaingia choo cha kike tena akastuliwa na sauti ya mrembo yule,
'"kalibu Sana mniga ukaa na umsalimie baba yangu au mjomba wa Salome, aliongea mrembo yule,
'"asante Sana, aliongea mniga huku anakaa kwenye sofa, na ukumbuke mniga baibui alivua kwenye gari pale alipoambiwa na mrembo alivue sasa alikuwa na tisheti na jinsi ya blue,
'"kijana kalibu Sana na ujisikie upo nyumbani Mimi ndo mjomba wake wa Salome na keshaniambia yote kwahio jisikie huru tu, liliongea zee lenye midevu,
'"asante Sana mzee wangu, aliongea mniga huku Kama hajiamini amini vile,
'"Jeni nenda kamuoneshe chumba mgeni wetu, liliongea zee lile,
'"sawa baba yangu, alijibu Jeni na kunyanyuka huku akimwambia mniga amfate hapo mniga nae ndo akajuwa kuwa yule mrembo anaitwa Jeni, sasa mniga alikuwa akimfata Jeni kwa nyuma na Jeni nae kwa makusudi alikuwa akitingisha chura wake mniga akabaki tu kumeza mate maana alikuwa na hamu na mnofu kinoma, wakafika chumbani na mrembo akafungua mlango akamuelekeza vitu vyote vilivyomo ndani mule na matumizi yake, harafu akatulia kitandani,
"'samahani Jeni hivi baba yako usama nini maana ile midevu hadi anantisha, aliongea mniga kwa utani,
'"hahahahaa harafu mniga Mimi sipendi utani wako buana, aliongea jeni huku anampiga mniga kikofi cha uchokozi,
'"hapana nimeuliza tu harafu analindwa na minjemba ile Kama raisi jamani, aliongea mniga,
'"ndio baba yangu raisi wa wanajeshi hapa Congo baba ndo kashikilia kwanza unamuonaje alivo, aliongea jeni huku kashika kiuno,
'"Mmmh jamani Jeni kwani unanisuta umbea au, mniga aliuliza huku akicheka,
"'kwani unasema hivo mniga, Jeni aliuliza kwa sauti laini kweli,
'"nimeuliza kwa maana naona mwenzangu umenishikia kiuno, aliongea mniga,
'"jamani mniga buana kumbe muongeaji hivi ila pale sebleni ulipoa Kama gari ilioishiwa mafuta ghafla, aliongea jeni safari hii akikaa nae kitandani kabisa tena jirani tu na mniga,
'"hapana sikupoa ila nilikuwa nawavutia kasi ili niwazoee kwanza, aliongea mniga yani Kama mtu angewakuta basi angesema watu hawa wamejuwana zamani kumbe ndo kwanza hata masaa manne hayajafika,
'"muone pale siuseme tu ulikuwa unaogopa njemba zile, aliongea Jeni kwa utani huku akicheka,
'"weeee subuti siogopi mtu yani pale wangeleta shobo zao ningewapiga mapigo ya kichina china Mimi, aliongea mniga,
'"sawa buana sasa vipi nikakuletee chakula au umeshiba, aliongea Jeni,
'"wewe nawe kwani Mimi nimekwambia nimeshiba na wakati sijala Mimi kaniletee msosi mwingi na nyama za kutosha, aliongea mniga na jeni akaondoka kwenda kuchukua msosi, mniga akachukua simu yake na kusachi jina la mpenzi wake Salome na kumpigia,
'"hallo baby wangu, aliongea Salome,
'"nimefika salama na binamu yako kanipokea vizuri kweli yani, aliongea mniga,
'"sawa Kama umefika salama ila huku sakata bado linaendelea yani, aliongea Salome,
'"Oh sawa ila pale wakati naondoka nilisahau kukwambia kwamba wapelekee wazazi wangu pesa kidogo basi, aliongea mniga,
'"sawa ntawapelekea jioni mpenzi wangu nikutakie mchana mwema maana nipo kazini, aliongea Salome,
'"haya nawewe pia, aliongea mniga na kukata simu mara jeni akaja na chakula na kumtengea mniga,
Itaendelea............


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.