JIMAMA TAMU -Sehemu. Ya. 31


Image result for jimama tamu sehemu ya 30JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 31
WhatsApp:0678926045
Hapo akamtaimu mmoja kati ya wale majambozi na kumtandika teke la kifua hadi chini jambazi yule alidondoka hapo mniga hakufanya makosa tena alitoka mbio za kasi kweli ila wale majambazi hawakutaka aondoke mzima yule ndomaana na wao wakaanza kumfukuzia kwa nyuma mniga alikuwa anakimbia ila hajuwa anaelekea wapi imladi apone tu alikimbia Sana kama nusu saa nzima na kugeuka nyuma akawaona maaduwi bado wanakuja ila wapo kwa mbali kidogo basi akaingia kwenye kichaka na kujificha huku akiwatega, hawakuchukuwa muda majambizi wakaanza kupita pale pale huku wakikimbia kweli akategea wamepita kama wanne yule watano ndo wamwisho akamuwahi fasta na kumvutia kwenye kichaka, na kumnyonga shingo hapo akachukua bunduki ya yule jambazi na kutoka kichakani huku yupo makini kweli kweli akaanza kurudi nyuma kwa kukimbia huku wale majambazi wenyewe hawakujuwa Kama mniga wamemuacha nyuma ila Wakaendela tu kwenda mbele mniga alitembea kwenye poli lile hadi jioni inaingia bado hakutoboza barabarani harafu njaa inamuuma hatali akatembea kidogo na kupumzika kwenye mti mkubwa kweli akajiwazi, kwa sasa nimechoka na sijuwi wapi ntaelekea acha nipumzike ili Kesho ntaendelea na safari yangu ila inanibidi nilale juu ya mti maana sitambuwi maaduwi zangu wapo pande ipi, aliwaza mniga na kuanza kupanda mti hadi juu kabisa ambapo akatafuta sehemu nzuri kweli na kujilaza kwakuwa alikuwa kachoka Sana usingizi haukukawia, ukampitia na kulala, anakuja kustuka ambapo alipo anasikia Kama watu wakiongea sasa kutazama chini Duuh hakuamini macho yake wakatihuo kumekucha tayali anawaona wale majambazi ambao walikuwa wanamtafuta wapo chini ya mti ule ule aliopanda yeye tena wamewasha moto mkubwa Sana kwa pembeni wamebanika nyama, bilashaka waliwinda kwakuwa mniga njaa inauma na alipoona nyama ile udende ukamtoka basi akapiga mahesabu ataipata vipi nyama ile au maadui zake atawafukuza vipi mara akasikia mmoja wa maaduwi zake akiwaambia,
'"Duuh ila washikaji ujuwe huu msitu unamazombi kinoma kwanza siamini Kama tumetoka salama kweli,

'"hata Mimi maana niliwahi kusikia kitu Kama hicho ila nafurahi kuiyona barabara ile na gari letu hapa tule nyama tuondoke zetu, aliongea mwingine, jambazi hapo hapo mniga ndo akapata mbinu ya kuwafukuza pale yeye atwange nyama ile maana na Barabara kaiyona tayali kwa sababu yeye alikuwa anajuwa bado sana kuipata, basi akachezea akili yake mniga na kupata jibu fasta akachukua majani na kujifunga kichwani mengi Sana alipomaliza sasa akajiachia kutoka juu ya mti hadi chini huku anapiga kelele,
'"hahahahahahaha nimeeeeee pataaaaaaa nyamaaaaaa yanguuuuuuuu, kwakuwa poli ni zito Sana basi sauti ikawa inajirudia rudia sasa wale majambazi kucheki juu wakaona nguo nyeusi na majani tupu yani kichwa hakionekani, weweeeee walitoka speed na ile sauti inayojirudia huku wakisena,
'"tumekwisha jamani tukimbie, aliongea mmoja kati ya wale majambazi,
Itaendelea...............


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.