JIMAMA TAMU SEHEMU YA 32
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 32
WhatsApp:0678926045
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 32
WhatsApp:0678926045
Tumekwisha jamani tukimbie, aliongea mmoja kati ya wale majambazi, walikimbia Sana wale majambazi hadi kwenye gari lao na kuliwasha safari ikaanza kwa kasi, mniga alivotua chini kwanza alicheka Sana pekeyake na kujisemea,
'"hahahahahaa kweli nimeamini mjanja anamjanja mwenzake bhana, aliongea mniga peke yake na kuanza kula nyama haraka haraka sababu ya njaa kali alikula hadi akahisi tumbo sasa limeshiba hapo ndo akakumbuka kwamba anasimu yake basi akaitoa na kucheki Kama kunasalio bahati nzuri alilikuta, akaangalia namba ya Jeni na kuipiga ikaanza kuita Mara ikapokelewa,
"'hallo mniga jamani mpenzi upo salama kweli wewe, aliongea jeni mfurulizo,
'"nipo salama ila Mimi nimekuwa mpenzi wako tayali sio, aliongea mniga,
'"Daah hapana nilijisahau tu nisamehe upo wapi nikufate jamani, aliongea Jeni,
"'nipo mliponiacha Jana na kunikimbia, aliongea mniga,
'"sio tumekukimbia ila ilitubidi ili kuokoa pesa mniga, aliongea Jeni,
'"Mimi sijasemea wewe maana tulikuja watu watano na wote mkanikimbia kweli jamani harali hiyo, aliongea mniga,
'"sio harali ila mniga lakini wewe sindouliniambia nikimbie na pesa jamani, aliongea Jeni,
'"Kama nilikwambia wewe na wale wengine kwanini mliondoka wote, aliuliza mniga,
'"Mmh kwa hapo Mimi sijuwi mniga ila ngoja nije kukuchukuwa ndo tutaongea vizuri, aliongea Jeni,
"'poa chapu basi wahi, aliongea mniga na kukata simu huku akinyanyuka na kuanza kwenda barabarani talatibu Kama Hataki vile kwakuwa hapakuwa mbali alifika na kukaa kwenye mti wa kalibu huku akimsubili Jeni alitulia Kama dakika 36 tu aliona gari ikija speed Sana hadi alipokaa na kufunga bleki, vikashuka zile njemba na Jeni nae akashuka huku akienda kumkumbatia mniga,
'"jamani siamini Kama umepona jana wewe kweli ni kidume Sana, aliongea Jeni huku kamkumbatia mniga,
"'Mimi ni mwanaume siwezi kufa kizembe nyie mlinikimbia mlizani ntakufa, aliongea mniga kwa uchungu Sana,
'"najuwa mniga umeumia Sana maana tulivoondoka hatukurudi tena, aliongea Jeni,
"'kwanzia sasa ntaenda kumwambia mzee Mimi kazi staki tena, aliongea mniga kwa hasira Sana huku akimuachia Jeni na kupanda gari, Safari ikaanza ya kurudi nyumbani huku mniga kakasirika Sana hatali hadi njemba zilikuwa kimya Sana, hawakuchukuwa muda walifika nyumbani ambapo gari ilipaki vizuri mniga akashuka na kuongoza moja kwa moja hadi sebleni ila hakumkuta mzee akanyoosha zake chumbani kwake huku Jeni akiwa nyuma yake, alipofika chumbani akakaa kitandani kwake mara Jeni nae akaingia mniga akasimama na kumwambia Jeni,
"'nakuomba utoke Mara moja Jeni ili Mimi nivue nguo nikaoge, aliongea mniga,
'"kwani siuvue tu Mimi nakuzuia nini, aliongea Jeni,
'"Siwezi nikavua mbele yako na wakati wewe sio mpenzi wangu, aliongea mniga,
PASTE YOUR CODE HERE

Itaendelea...............KESHO USIKOSE
No comments: