JIMAMA TAMU SEHEMU YA 36
JIMAMA TAMU
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 36
WhatsApp:0678926045
Mtunzi-Mniga Mputa
Sehemu. Ya. 36
WhatsApp:0678926045
Tukaongozana hadi kwenye gari wakapanda wote na kila mmoja akalala, Kulivopambazuka mniga ndo wakwanza kuamka na kuaanza kuchunguza mazingira safi yaliopo pale Mara jamaa wale nao waliamka,
'"oi niaje mwana umeamka salama, aliongea jamaa yule,
"'mi mzima sijuwi nyie wenzangu, alijibu mniga,
'"sisi tuko powa kabisa sema nini jamaa namba yako kapiga tena sasahivi ndomaana nimeamka, aliongea jamaa yule na kumkabizi mniga sim akaichukua na kuitazama ilikuwa namba ya Salome kwakuwa jamaa yule alimwambia kinasalio la kutosha akaipiga namba ile ikaita kidogo na kupokelewa,
'"hallo Salome mpenzi wangu, aliongea mniga,
'"umeamka salama baba wa mwanangu mtalajiwa, aliongea Salome,
"'ndio nimeamka salama kabisa sijuwi wewe huko, aliongea mniga,
'"Mimi safi na nimepanda ndege ya saaa kumi na mbili asubuhi kwahio nipo njiani Sina muda ntafika hapo Congo, aliongea Salome,
'"sawa nakusubili mpenzi wangu, aliongea mniga na kukata simu huku wale jamaa mwingine alikuwa anawasha jiko ili wapike chai huku mwingi anaosha sufuria huku mastori mengi Sana ya kuhusu nchi yao yenye upendo na amani muda nao uliyoyoma hadi saaa nne asubuhi simu ikaita na alikuwa Salome ambae alimwambia kafika tayali na mniga akamuelekeza sehemu alipo huku akomwambia achukue tax ndo nzuri, na kweli Salome akachukua tax na kwenda bandali kavu, hakuchukua muda sana walifika na Salome akashuka weeee wale jamaa walimkodolea macho Salome kinoma maana mtoto alipendeza Sana hadi udende ukawatoka mniga alonyanyuka na kwenda kumkumbatia huku wakipigana mabusu ya hatari kabisa,
'"jamani mniga wangu Pole Sana kwa misuko suko mpenzi wangu, aliongea Salome kwa sauti tamu kweli,
'"asante baby ukiitwa mwanaume lazima upitie misuko suko tu na nayapitia kweli mpenzi, aliongea huku akimuachia Salome,
'"nikweli ila yako imezidi sana mpenzi, aliongea Salome,
'"sasa ntafanyeje zaidi ya kupambana tu sasa inakuwaje, aliongea mniga,
'"hapa nimekuja kukuchukua na turudi nyumbani tu, aliongea Salome,
'"Oh sawa ngoja nikutambulishe kwa jamaa zangu walionistili, aliongea mniga huku akishika mkono Salome hadi walipokaa jamaa wale na kuwaambia,
'"oi washikaji huyu anaitwa Salome ni mpenzi wangu Salome hawa ndo ndugu zangu, aliongea mniga,
'"Oh kumbe ndo shemeji yetu asante kwa kukufahamu, waliongea jamaa wale na kumpa mkono Salome,
'"asante na Mimi kuwafahamu, aliongea Salome,
'"sasa jamani asanteni Sana kwa kunisaidia ila Mimi nawaacha narudi nyumbani Tanzania, aliongea mniga,
'"sawa hakunashida jamaa yetu basi tunakutakia safari njema mwana wetu, waliongea jamaa wale na Salome akafungua pochi yake akatoa noti ya shilingi elfu kumi kumi tano na kuwapatia jamaa wale,
'"chukueni jamaa yasoda shemeji zangu, aliongea Salome,
'"asante Sana shemeji yetu, waliongea jamaa wale na kupokea pesa zile mniga na Salome wakaondoka hadi kwenye tax aliokuja nayo Salome na wakapanda safari ikaanza ya kwenda uwanja wa ndege,
'"ila Salome ntaendaje Tanzania wakati natafutwa sintajipeleka mwenyewe, aliongea mniga,
'"nalijuwa hilo mniga ila sasahivi kule ni kumechafuka maana kunamajambazi walitaka kuwateka wazazi wangu mimi nimewakimbiza kule pangoni, aliongea Salome,

Itaendelea......
No comments: