Wanawake wengi wamekuwa jeuri siku hizi tatizo ni nini ndani ya ndoa ?
Mwanamke bana kabla hujamuoa bana mtaenda nae sawa kwa kila jambo atakuheshimu bila kukuletea jeuri yeyote ile
Ila ikitokea mmefunga ndoa tuu pale ndo jeuri ya mwanamke inapoanzia yaani kama alikuwa anakusikiliza akusikilizi tena, jambo lolote anaweza kujiamulia bila kukushirikisha, dharau haziishi, gubu , maneno hayakaukiii, yeye ndo yeyee
Alafu kauli za "usinibabaishe kwa wingi" haziiishiii,
Japo sio wote ila wengi wao wako hivi tatizo nini ila siku hizi wanawake wamekuwa wajeurii mnoo tena kama mpoo ndani ya ndoa ndo utajuta kabisa
USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments: