Chombezo : Dada Emmy (Muuza Ubuyu) Sehemu Ya TATU (3)

Chozi lilimtoka aunty love nilimtazama kisha nikamuonea huruma maana alihisi siwezi kuyafahamu yote yale.
"Nakushangaa mamdogo ulinificha kumbe mama yangu alikufa kwa ngoma na pia nakushauri ukapime, usinione hivi mdogo mamdogo umri ni namba tu lakini nina akili zangu kichwani"
"Sikujua kama unayajua yote ayo lakini emmy tungefanyaje uku kazi nimesimamishwa kule kwa Ryidia najishikiza tu saa nyingine natoka bila chochote zaidi ya nauli ningefanyaje emmy?
" hata km hali ya maisha ni ngumu ndo uuze mwili wako"
"Emmy usimtukane mamba kabla ujavuka mto"
"Una maana gani?
Ukimya ulitawala ghafla na hata swali lile alikupata majibu nilianza kulidadavua kwa kina " mmh usimtukane mamba eeh, ina maana hata elibariki anisaidii bure ndo yale yale payback" tayari nilipata jibu, niliwaza sana na kukumbuka kipindi mama akiwa hai aliwahi kusema kitu nakumbuka nilikuwa mdogo kipindi hicho ila bado nina kumbukumbu.
"Jamani wanaume mnaowaona sio watu wa kuwategemea kwasababu wana sura nyingi, mwanaume anaweza akakwambia ukweli au akakudanganya ila silaha yao kubwa ni uongo ni hili kukupata wewe mwanamke kwahiyo love mdogo wangu kuwa makini"
Kauli hiyo aliwahi kumwambia mamdogo love alipochelewa kurudi nyumbani siku hiyo.
******************""""
Siku zilizidi kusogea nikamaliza mtihani wangu wa qualified test (QT) nikaendelea na kazi zangu kama kawaida na jioni nilipata wasaha mzuri wa kujisomea na wenzangu masomo ya form four, kwa kipindi kifupi nilipenda sana somo la histry na kiswahili na nilijitahidi kuyasoma kila siku .
Siku hiyo nikiwa natoka shule eli alinipitia kama kawaida na kunirudisha nyumbani temeke njiani alinieleza mipango yake ya kuendelea na masomo kwa level ya masters ila itakuwa nje ya nchi, kwa upande mmoja ilikuwa ni jambo jema kwani ingenipa nafasi ya kuspend na sam ila kwa upande mwingine niliwaxa nitawezaje kurun maisha hasa upande wa kifedha na wakati huo kuna aina ya maisha flani nilishayazoea km kwenda saloon kila baada ya mwisho wa wiki, kuspend beach kweny maevents makubwa, nilizoea kuvaa na kula vizuri itakuwaje eli akiondoka na ni wazi sam hana kipato cha kukidhi mahitaji yangu na mara zote tumekuwa tukigawana umaskini nikipata nampa mana nilijua najiwekea hazina maana yeye anasomea mambo ya engeenering leo kesho akifaulu nami pia nitawin.
"Emmy... Wee emmy! Vipi mbona kimya ina maana naongea peke yangu"
"Noo baby nilikuwa nakusikiliza ila huo wimbo ndo umenichanganya"
"Yani huu wimbo(darasa-muziki) umekuwa kero bado kupigwa kanisan na misikitini ila ni mzuri nami naupenda sana"
"Yeah yeah ni mzuri elly nishushe hapo basi" nilifika usawa wa mtaa wa nyumbani nikaona anishushe ili nipite kwao na salma angalau nimsalimu.
Akuzungumza kitu ila nilishangaa alianza kupitisha mkono wake kweny mapaja yangu nilimkodolea macho tu kwani nilikuwa sina hisia nae kihivyo japo alivyokuwa anaendelea nilianza kunyevuka taratibu "noooo elly tupange siku ila sio kwenye gari bhn elly"
"Even kushika bby unanikataza na ni kila cku unasema hivyo"
"Hapana elly ila utajisikiaje nijichafue hapa na bado nina safari na humu ni kwenye gari elly bhn"
"Sawa amna shida kesho jipange uamie kwako nilitaka nikusuprise ila nikaona ni bora umwambie kabisa mama mdogo nataka uweke mambo yako sawa nitakufata kesho nikakuonyeshe nyumba yako please please usikatae"
"Wooow! Baby thanks, baby i love you mwaaaaaa"
"Kesho nataka nilale na wewe kwenye nyumba yako"
******************
AFTER ONE WEEK..
Makazi mapya yalinipa shida sana maana muda mwingi nilikuwa getini sikupata hata muda wa kuuza ubuyu kama kule temeke mikoroshini siku hizi mbili tatu nimegombana sana na elibariki kwani nilikuwa natoka na kwenda kushinda temeke narudi jioni, kwanza nilimiss utumbo wa kuku na miguu ya kuku huku ninapoishi hakuna hayo mambo kila kitu supermarket ilikuwa ni shida kuishi huku(kijichi).
"Hallo hey sam nimekumiss upo wapi?
" nipo kwenye gari natoka chuo narudi home"
*please sam nakuomba njoo kijichi ccm ukifika hapo chukua bodaboda uje please"
"Okey sawa nakuja usijari*
Simu ilipokatika nilitabasamu kisha nikaingia kwenye facebook account ya sam nikaanza kutazama picha zake nikawa nafarijika mara nyingi upenda kupiga picha akiwa darasani, maabara, kanisani hana picha za sijui bata la wapi mara wapi kama elibariki, muda huo nilikuwa kwa jirani anaitwa sasha ni kadada flani wa arusha ameolewa na mzungu ndio huyu nimezoeana nae mara zote uko ndo naenda kuuza ubuyu kama siku hiyo nimewahi kutoka shule maana hata kazi nilianza kwenda kwa kujisikia.
" kwani emmy umeolewa shoga?
"Mmh kuolewa bahati shoga, sijaolewa nahudumiwa na bwana tu yeye ndo kaniajiri, ananisomesha na ndio amenipa nyumba hii niishi"
"Kheee ni mpenz wako wa muda mrefu?
*aaah wapi zari nikikusimulia utashangaa ila ntakupa ubuyu kesho ngoja niende uko kwangu maana hata taa sijawasha na giza limeingia hivyo"
"Aya poa mwaya usiku mwema"
Nilitoka pale miguu yote ganzi maana nilikaa pale toka saa tisa mchana hadi saa moja kasoro, sam alipofika alinipigia simu nikamwelekeza na kuongea na bodaboda amlete kwa diwani charles.
Alipofika sam nilifunga geti kabisa na milango ya nyumba nzima kisha tukala pale na mambo mengine yaliendelea ilikuwa palepale kweny kocho tulianza kuvingirishana mpi kwenye zuria chini..
Simu yangu ilianza kuita sikujihusisha nayo mana ilikuwa mbali kidog ikakatika mara ya pili na ya tatu ikaita nikasogea na kuangalia screen jina lilikuwa "sweet mangi" ambaye ni elibariki kimaro nimezoea kumtania hivyo "mmmh sasa nikipokea nitamwambiaje?
Kabla sijapata jibu honi za gari zilisikika getini kwa nguvu moyo ulilipuka paaaaaaa!!!! Sam huyu sam nitamweka wapi???????
Kitete kilinipanda yani hii miguu ilifuka moto sam alikuwa ananitazama nilivyokuwa naweweseka yeye akiwa ana analolijua ila kadri sekunde zilivyosogea alizidi kugundua akaniuliza.
"Nini hivyo sasa?
" sam amekuja mwenye nyumba nitafanyaje mimi?
"Sikia unanipenda?
" sam unajua wazi kuwa nakupenda"
"Basi fata kile nitakacho kwambia sawa?
" sawa"
"Nenda kamfungulie geti usiwe na wasiwasi wowote umesikia?
" sam sasa akikukuta itakuwaje sasa?
"Wewe fata nilichokwambia"
Nilitoka kweli kwenda kufungua mlango nikaamua kuvaa sura yangu ya awali bila kuwa na wasiwasi wowote huku moyoni uoga ulinijaa hakuna mfano.
"Heee bae mambo"
"Mambo ya nini muda wote unanikalisha njee tu ulikuwa unafanya nini hata usinisiikie?
" bae nawe twende ndani kwanza mpenzi mbona unafura hivyo?
Nilimshika kidevu na mkono mwingine nikashika kifua chake, kitendo kila kilimkata kauli kabisa akuongea neno tukaingia ndani.
"Kwani bae unaingiza gari nikufungulie geti?
" aaah natoka sasa hivi leo silali, khe khee kheee hiyo kelele ndani ni nini?
Hata mimi nilishindwa kujibu maana sam alifungulia redio ndani mfano wa kumbe ya sherehe. Tuliingia ndani tulimkuta amevua tshirt amebaki na vest anaangaika na redip km fundi nilishangaa "yani huyu sam khaaa" alipunguza sauti ya redio kisha akaongea.
"Habari za leo mheshimiwa?
" aahsalama tu"
"Sasa dada nadhani kuna machine iliungua hapa na unasikia inatoa kelele kisa kifaa hicho"
"Kheee jamani sasa tunafanyaje fundi?
Nilijibu haraka mno.
" aaaha hii redio hata mwezi haina imeanza kusumbua, kesho tuirudishe si umetunza yale makaratasi ya warranty? Alidakia elly.
"Ndio yapo"
"Mmh haina haja ya kurudisha mana inaonekana mna vifaa vingi hapa kuna pasi, tv, deki, subfaa, amplifier vyote vimeunganishwa bila uwepo wa stablizer ni hata kwa vifaa vyote kuungua na ndio maana leo imesumbua redio ila kesho itakuwa tv au hata amplifer"
"Aaaaha kumbe sasa fundi hiyo stablizer ni shilingi ngapi?
" sijui unataka za nchi gani maana kuna za japan, china, german na england, ila za german ndo venye quality"
"Hiyo ya german ni bei gani?
" hiyo ni laki mbili na nusu"
Nilishuhudia pesa inatoka anapewa fundi sam mimi nilifarijika moyoni ila kabla hawajaelewana simu ilipigwa upande wa elly "ndio mama yeah, ndio ila nipo kijichi now, anhaa basi nakuja" yalisikika maneno hayo.
"Jaman nimepata dharura nadhani mtanipa ripoti mmefikia wapi fundi kazi njema"
"Anhaaa sawa mheshimiwa"
Tulitoka wote nje kisha tukaingia ndani ya gari tukazungumza kidogo.
"Mbona ukuniambia kama fundi amekuja sasa?
" aaha simu yangu ukupokea bae ningefanyaje"
"Sawa hakikisha anakamilisha hapo shika hii hela kama itapelea mtaongeza naomb uende nae dukani maana hawa mafundi hawa wapigaji, na hivi hela imekuwa ngumu tunaziba hiyo mianya ya upigaji"
"Bae nawe umekuwa magu hahaaaa aya byeee"
Nlimchum nikafungua mlango na kutoka nje ya gari. Elly nae aliwasha gari na kugeuza pale tayari kuondoka ila nashangaa aliniita tena.
"Kuwa makini na huyo fundi mpo wawili nyumba nzima onhoo naondoka basi tu"
"Mmmh nawe acha wivu wako me na yule wapi na wapi?
" mnasemaga hivyo hivyo"
"Bwana kwaheri.msalimie mamie".
***********************
" sam wewe ni mshenzi haswaaaa"
"Kwanini unasema hivyo?
" hiyo tactic uliyotumia sikuifikiria na wala ajafanikiwa kujua lolote sema aliniambia kuwa makini"
"Kama kasema hivyo inabidi tuwe makini sisi pia maana anawexa kurudi hata alfajiri"
"Mmh sidhani na wala hana desturi hiyo"
"Me nakwmbia maana naelewa usinipinge na ni kwasababu ameniasha hapa so kuwa makini"
"Tuyaache hayo bhana sam unajua umenitia genye sasa nimalize hapahapa"
Tulianza kama utani mara sebureni tukaenda chumbani akanipa goli moja, wote tulikuwa hoi tumejilaza, nikaona mwenzangu usingizi umempitia nikamuamsha tukaoge napo bafuni akaanza tena kusema ukweli sam anajimudu na hii inatoka na kupenda kufanya kwake mazoezi tofauti na elly yeye ana kitambi mazoezi afanyi mbili tu kalala km pono.
Tuliyapanga mengi na hasa kwa kipindi hiki sam alikuwa anakaribia kumaliza degree ya pili ya mambo ya ukemia sijui hata wanaiitaje kitaalamu. Sam ana maisha magumu sana na ndio maana anajitahid kusoms sio mtu wa bata wala totoz na uhalisia wa maisha yake unashabiiana na wangu japo umri ndo tofauti yetu. Nilimuahidi kumsaidia maana ndio future yangu ipo kwake ila kwa elly ni kujikimu kimaisha tu.
Alinipa ushauri wa namna ya kusoma na kuweza kupangilia ratiba zangu na kuniahidi kunikumbusha kwa kila jambo nilipasalo kufanya on time.
"Baby inabidi niondoke saa kumi na moja kasoro 20"
"Jamani kwanino usiku huo wote?
" yule jamaa anaweza rudi asubuhi niamini mm"
"Sam bhana awezi rudi bhana"
*******************
Nilimkabidhi sam hela yote ile ilikuwa laki tatu na themanini japo sikupenda aondoke muda ule.
"Sam mbona unanifanyia hivyo?
" kwaheri baadae tutaonana njoo ufunge geti"
Niliumia roho ila nitafanyaje yeyw ndo kaamua aliondoka na kuniasha nimejilaza kweny sofa haikuchukua dakika kumi na tano nilisikia sauti ya bajaj njr nikajua sam karudi may be alikuwa ananienjoy kuchungulia dirishani nikamuona elly moyo ulishtuka "kheee my Godness angemkuta sam ingekuwaje?
Safari hii alibeba funguo za nyumba na kwasababu alijua nitakuwa nimelala akutaka kunisumbua kilichomshangaza alinikuta mezani nasoma.
" eheee bae kweli upo serias na shule"
"Haya ndo maisha bae hata ukinioa hata kesho sitaacha kusoma kwasababu una kila kitu bae"
"Nashukuru kusikia hivyo basi nipo chumbani ukimaliza utakuja"
Nilitabasamu niliposikia mlango wa chumbani unafungwa niliongea kwa sauti ya chini "angejua hata sikuwa nasoma ni kuzuga tu ila leo ndo ningeashika live" niliamka na kwenda chumbani"
**********************
Tulizungushana mno alitaka kunit**** ila sikuwa na hamu alifanikiwa kutoa night dress yangu akanilaza chini na kupitisha vidole ukeni kwangu.
"Mmmh huku sikupaasha hivyi emmy"
"Unasema??
" huu uke haukuwa hivi"
"Kuna nini baby lkn unajua sikuelewi?
" Emmy huu uke sikuuacha hivi niambie ukweli what was happen after me?(kilichotokea baada yangu?)"
"Nothing more bae"
Bado elibariki akutaka kumuelewa emmy akaanza kumnusa na kumgeuza uku na kule ili mradi apate kujua nini kimetokea.
Emmy nae alikuwa mjanja alienda kujiswafisha mara baada ya sam kumaliza kuoga "yani huyu mwanaume sijui ana nini au kasanuka nini?
" kwani yule fundi aliondoka saa ngapi?
"Muda ule ule sweetie ulipoondoka nae aliondoka"
"Anhaaa sawa nilikuwa na wasiwasi nae mno hata nimekosa usingizi nyumbani”
" ujanywa kweli wewe?
"Kwanini unasema hivyo?
" yani unaanza kuniambia maneno yako mara uke sikuuacha hivi unajua umeniudhi ina maana uniamini elly usininyanyase hivyo umeanza kuwa km wanaume wengine wanaomisuse ukaribu wao na wanawake"
"Bby ni utani tu nisamehe bure"
Elibariiki na emmy waliendelea kutaniana na muda huo palizidi kupambazuka na mwangaza ulianza kutanda mpka pakawa peupe pee.
**************
Sam alikuwa yupo njiani kuelekea chuo ilikuwa ni mapema mno kuliko siku nyingine zote ambazo sam amekuwa akienda chuo hiyo yote ilitokana na kutoka kwa emmy ile asubuhi aliona usumbufu kurud nyumbani na kugonga geti akaona aunganishe moja kwa moja.
Maisha ya sam ni magumu sana anatokea nyasho musoma baba yake ni mfugaji na mkulima, elimu ya msingi sam amesoma nyamatare primary, sekondari mara sekondari kisha nsumba boys mwanza ambapo alikuwa mwanafunzi aliyeongoza kwa kupata alama ya 1:4 kwa mchepuo wa pcm akajiunga na chuo kikuu dar-es-salaam ndipo alipo sasa.
Mzee mejah baba yake sam alipoteza familia yake yote kwa ajari ya mtumbwi ziwani akabakiwa na mtoto huyo sam ambye kipindi tukio linatokea alikuwa likizo mwanza kwa binamu yake baada ya kumaliza shule ya msingi. Nyakati zote baba sam amejitahidi kumsomesha mtoto wake hata kwa kuuza mifugo viwanja ili sam asome.
Sam alifika chuo akaingia darasani kisha akaketi kweny socket na kuchaj laptop yake ambayo haikujaa full battery. Aliketi na kufikiri mengi mno "nitafanyaje maisha aya mimi sam maish ya mzee wangu kijiji kule inabidi nikomae na kitabu japo nina maisha magumu mlo mmoja kwa siku lakini najua ipo siku nitafanikiwa lakini huyu emmy sijui nitamfanyaje kisha nipenda na wakati ana mwanaume wake" aliwaza sam bila kupata majibu kitendo cha kushtuka ni baada ya message kuingia kwenye simu yake.
"Sorry sam wangu nahisi umekereka ila naomba nisamehe baby wang"
Sam aliitazama kwa muda kabla ya kuzima screen ya simu yake.
**********************
**********************
**********************
BAADA YA MIAKA KADHAA.
"wow cindy uwezi amini nimepata mkopo sweetie am so excited"
"Hongera wangu mungu ametenda bae" alijibu cindy
"Dah namshukuru sana sweetmangi wangu sam kwa kufanikisha ndoto zangu now nimefika chuo sema kuna mtu huyo ndo anastaili sifa zaidi dah (huku chozi linamtoka)
" emmy ni nini mamie mbona unalia? Niambie nani
"Ni mwaka sasa nimepotezana na mwanaume niliyekuwa nampenda kwa moyo wangu wote anaitwa sam"
"Ilikuwaje mama naomba niahadithie"
FEED BACK NA EMMY..
Maisha yaliendelea baada ya kukutwa siku ile na elly japo hakubahatika kufahamu lolote. Mapenzi yangu na sam yalikuwa ni ya siri sana na sikutaka kufanya makosa maana nilijua kwa kufanya hivyo nitarudi kweny zile dhiki na pia sam nitamweka pabaya kimaisha na kimasomo hivyo mara nyingi nilikuwa nakutana nae kweny hotel au rodge huko tulimalizana mambo yetu na kisha mimi urudi na kuendelea na ratiba zangu kama kawaida, maisha yalisonga.
Kusema ukweli mimi emmy nilianza kunogewa na penzi la sam mpk ikafika steji nikamsahau elly kabisa na nilimuona wa kawaida hata sikuwa na hisia nae kiviilee zaidi nilifanya yote yale kwa sababu it was just like a pay back(malipo kwa fadhila).
Sam alinisaidia kwa kunipeleka kwa mwalimu wa acts ambaye ni rafiki yake nikasoma masomo ya mchepuo wa arts na mungu si athumani nikapata credits nne za histry, geography, kiswahili na english nikaanza kusoma advance kwa njia ya posta, maisha yangu yaliwategemea wanaume hawa wawili yani samson aliyekuwa ananipa ushauri wa kimasomo, mbinu za kusoma na kufaulu na kunitafutia walimu ila elibariki yeye alikuwa ananipa hela kila nlipohitaji.
Maisha yalisonga nikiwa na furaha maishani kwangu ila kuna siku ambayo kamwe sitakuja kuisahau ambayo ndiyo iliyopelekea sam wangu kupotea..
Cindy alinitazama kwa macho ang'avu na kuonyesha shahuku na kiu kubwa ya kujua nini kilichotokea kwa sam. Nilivuta funda la mate kisha nikaendelea kuongea huku machoxi ya yakinilenga.
Ilikuwa ni siku moja jioni tulikuwa beach moja kigamboni elibariki akaniomba simu yangu nilijivuta kidogo kabla ya kumpa na yote hii ilitokana na ndani ya muda mfupi nilikuwa nachat na sam hivyo nilijitahid kufuta conservations zile zote ila bado nilishuku moyoni "mbona huyu ana mazoea ya kushika wala kuikaribia simu yangu kuna nini leo?" Swali langu alikuwa rahisi kupatiwa majibu maana ni nafsini mwangu ndipo kulikuwa kuna kutokuelewa.
"Emmy ujanisikia au?
" aaah sorry hii hapa"
Nilimpa huku moyoni nikijawa na uoga mkubwa mno. Elly alishika ile simu akaanza kuifungua ndani sijui aliangalia nini ila alitumia takribani dakika tano kisha akaasha na kuanza kutazama kava la simu kama ilikuwa ngeni au mpya machoni pake.
"Hivi unatambua ni kiasi gani nakupenda?
" najua bae wangu"
"Aanhaa okey ni vizuri km unatambua hivyo, ila unawaza nini kichwani kwako?
" juu ya nini bae wangu?
"Juu yangu"
"Nothing bae than to love yu back(hakuna zaid ya kukupenda pia)"
"Una mawasiliano na mwanaume ni nani huyo?
Moyo ulipasuka ghafla nikahisi ni nini ametambua fastafasta niliangalia km kuna ujumbe mpya umeingia ila haikuwa hivyo sasa ni nini nikatazama na whatsapp pia haikuwa hivyo.
Elly aliendelea kuongea " hivi sam ni nani yako"
"Bae sam ni school mate mwenzangu nasoma nae advance pale kituoni"
"Ni kweli ila mna mahusiano naye kivipi nje na shule?
" nothing more bae"
"Ebu acha ushenzi emmy mimi ni mjinga au unaniona boya eti mpuuzi kweli we mwanamke nipo nawe hapa unachat na mwanaume una akili kweli hata kama ni kuchepuka ila mbele yangu kweli?
.
*bae am sorry ila tambua sina mwanaume mwengine zaidi yako mpenzi"
"Ebu fungua data kisha ingia whatsapp angalia ni nani ulikuwa unachat nae mara ya mwisho then utanipigia sim"
Aliongea hivyo na kuondoka roho iliniuma sana nilimuita wala hakutaka kunisikiliza alienda kwa cashier akalipa kisha akaondoka nililia sana ila ule umati wa watu pale ulifanya machozi yangu kukauka..
Sikujilaumu kwa kilichotokea kwa maana nilifanya kile moyo wangu unakihitaji nilikuwa tayari kupoteza kila kitu na kuifuta historia yote ya nyuma na yote niliyonayo ila tu niwe na sam kuwa nae sijutii.
****************
Nilijitahidi kumuomba msamaha elly ila akunielewa akutuma matumizi wala kupokea hata simu yangu niliamua kuondoka kijichi na kurudi temeke mikoroshini kwa mamdogo.
Nilipofika tu nilimtafuta sam kwenye sim alipopokea nilianza kulia " sam uko wap mpenzi wangu nimekumiss"
"Weee emmy una nini?
" hakuna sam nimekumiss tu baby wangu"
"Najua tu una tatizo niambie upo wapi?
" nipo temeke"
"Nakuja nipo hapa usalama"
Niliingia ndani nikafunga mlango na kuendelea kulia na kwikwi zikifata baada ya sauti nilichokuwa nalilia sikijui maana kama kupenda nimependa ni mimi na maamuzi pia ni yangu mimi ila ni mimi huyohuyo nalia pia.
Simu iliita...
"Njooo ghetto"
Nilinyanyuka haraka haraka baada ya kupokea simu ya sam nilikuwa nimevua dela langu kutokana na lile joto mule ndani nikachukua kanga na kujifunga kisha nikatoka nje.
******
"Sam no kumbuka mimi na wewe akuna aliyemtongoza mwenzie tulipendana ila kabla ya hapo tayari elly alikuwa amesha nitongoza na alinipa vitu vingi, sam unajua maisha yetu ilikuwa ngumu kwangu kukataa kwani niliitazama nia yake ilikuwa njema tu"
"No ulipaswa kuwa na msimamo emmy una msimamo unajifanya kulia lia tu hapa me hata sikuelewi unampenda elly unanizugia mimi"
"Sam kweli unaniambia mimi hivyo leo? Asante
Nilinyanyuka na kuondoka ili nipime upendo wake kwangu sikufika hata mlangoni alinivuta tukaangukia kitandani yeye juu me nikafatia kwa juu.
" baby nimemiss penzi lako" alininong'oneza
"Toka uko umenisema ukoo sitaki sikupi penzi langu tena, sam sam mbona mchokozi me sitaii bwana"
Alipenyeza ulimi wake masikioni mwangu ni sehemu kubwa na yenye hisia sana mwilini mwangu nikichezea masikioni muda huo huo najisikia kuto**** niliutafuta ududu wake mpaka nikaupata.
Mmh ulikuwa mgumu umesimama kama mnara yani wanaume wanaofanya mazoezi hasa ya mpra ni wa kuwaogopa aiseee..
Niliwaza sana hata sikuwa na usingizi nikiangalia elly ataki kupokea simu yangu ni kitu ambacho sikuwahi kukiona toka nipo kwenye mahusiano ila uwepo wa sam ulinifariji angalau. Nilimtazama alivyojilaza(baada ya kupeana raha) ilionyesha ni kiasi gani amechoka maana alikuwa anakoroma hamna mfano niliamka nikawasha feni ya pili maana ile ya juu haikuwa na upepo wa kutosha na sam alikuwa anasweat sanaa.
Niliwaza na kuwazua "hivi bank nina shilingi ngapi? Sio laki nne kweli? Noo nakumbuka mara mwisho nilienda kutoa themanini elfu dah hiyo laki nne nitafanya biashara gani mjini hapa? Ngoja nitapata jibu ikifika kesho asubuhi"
Muda ulisonga nikakumbuka hata mchana sikula nilienda chumbani kwetu na kumuacha sam chumbani kwake. Kwa kipindi kile chote watu wote walishajua juu ya mahusiano yangu na sam sio km zamani nilikuwa naingia kwa kujificha.
*********************
"Unawaza nini emmy?
Sam aliniuliza wakati tunakula
" sam unajua kwa kiasi kikubwa nilikuwa namtegemea elly economically kwa sasa ndio nimeingia advance(form five&six per one year) kule wanahitaji ada na mambo ya chakula pia plus nauli bby kichwa kinaniuma" niliongea uku machozi yakinitoka.
"Baby sorry najua ni jinsi gani unajisikia nakuomba usiumie nipo kwa ajiri yako wiki hii nitapata mkopo na pia najiandaa kwenda field nitakuwa na hela kiasi nadhan itakufaa kujisukuma siku mbili tatu hizi tukifanya mpango wa muda mrefu, sawa baby?
Aliongea uku amenikumbatia na kunifuta machozi yangu.
" sawa bby nashukuru kwa kunifariji maana kichwa kinaniuma nataka ndoto zangu zitimie bby ila najua mapito aya ya muda mfupi"
Mara simu yangu iliyokuwa chaji ikaita nilinyanyuka nikaenda kuichukua kweny screen lilisomeka jina la Rafika.
"Hello! Mambo shosti"
"Poa niambie emmy".
" poa vipi wazima uko?
"Mmh wazima ila tumekumiss huku wateja pia wanaulizia emmy muuza ubuyu yupo wapi shosti umenogewa na bwana hata kaxi basi"
"Hamna Rafika masomo yamebana sana ila nitakuja"
"Eeeh bosi(elly) siku hizi amekuwa mkali yani jambo dogo anamaindi kuna nini mamie?
" mbona hamna kitu nitaengea naye nimuulize"
Sikutaka kumwambia kuwa mimi na bosi wake tumegombana tuliongea mengi ya udaku wa kazini ba best yangu huyu uku tukikumbushiana mengi pale wananiita emmy muuza ubuyu kutokana na tabia yangu ya kuwapa watu umbea mwepesi mwepesi..
Hapo kidogo nilipata furaha ukiplus na sam kunipetipeti nilienjoy kidogo.
*****************
Nilifanikiwa sana na ubuyu wangu ambao nilikuwa nautengeneza na kuusambaza kweny supermarkets na wauzaji wa rejareja ni ushauri ambao niliupata kwa mama mmoja anaitwa mama aikaeli ambaye yeye anafanya biashara ya kuuza crips na tambi kwny supermarkets ndiye aliyenipa hili dili na nilianza kwa mtaji wa laki 3 na usafiri kama 3'7.
Nilimchukua salma rafiki yangu akawa ananisaidia kwa nyakati za jioni nikienda shule yeye alikuwa anakusanya hela kweny supermarkets zote tulizokubaliana ktk malipo ya wiki, siku na hata mwezi kwa ujumla ndani ya miezi miwili ya ile biashara niliweza kupata faida laki sita kwa mtaji wa laki tatu kwangu ilinipa hamasa kubwa kwani hapo kabla sikuiona hii fursa. Siku hiyo jioni nilikutana salma alikuwa ananipa ripoti ya biashara tuliketi kweny kibanda cha maziwa tukawa tunazungumza.
"Dah emmy nimechoka mno kwa mizunguko hii"
"Leo muddy bajaj kakushusha wapi?
" temeke hospitali"
"Niambie vipi wale sumàri wamekupa hela yetu?
" amenipa laki na nusu kasema ijumaa itakamilisha"
"Yani ni wasumbufu wale sumari nitafatilia mwenyew na wananijua vizuri na wale wa al jazilla pia awajakamilisha"
"Hivi emmy ilikuwa kuwa mpk umepata hii network kubwa hivi supermarkets kubwa vile mamie?
" niliamka asubuhi sana nilimuaga sam kuwa naelekea mjini nilijaribu kwenda kariakoo shimoni lengo langu niulizie fursa ya kupata angalau biashara ya kufanya kwa mtaji nilikuwa nao wa laki nne kila niliyemwelezea aliniambia kwa mtaji huo uwezi kufanya biashara ya kuweza kusurvive kariakoo nilizunguka sana shimoni nikakuta na mama mmoja anaitwa mama aikaeli yule mama nilimwelezea ndio akanipa mbinu ya kuuza ubuyu mtamu kweny supermarket ila ilinibidi niwe na vifaa vya kutengenezea kwa mtaji nilionao ningeanza taratibu kwa kununua ubuyu na rangi pia alinipa vifaa ambavyo alikuwa anavitumia hivi unavyoviona kwa makubaliano ya kumlipa taratibu taratibu"
"Kheee emy una bahati wewe dah"
"Sio bahati tu salma hata juhudi zangu za kutoka km mtoto wa kike kuzunguka mule kariakoo kulikojaa wanaume wengi namna ile si rahisi"
"Sasa mama ulipomueleza alikuelewa tu bila shida?
" no salma it was not easy ilibidi nimueleze mimi ni yatima nadaiwa kodi ya nyumba na mambo turuki uwezi amini alinipenda sana hadi chakula alininunulia na ana binti wake pia rika kama letu hilo ndio linisaidia pia"
"Wewe ni superwomen na kila ninapopita nauliziwa emmy emmy nawaambia emmy ni pacha wangu"
****************
Nilifanikiwa kwa kiasi kikubwa rafiki yangu cindy uwezi amini kwa miaka muda mrefu nilikaa bila kumtafuta elibariki sikujua ni nini kilitokea japo kule nyumbani kijichi nilikuwa naenda kufanya usafi na mambo mengin na nyakati nying nilikuwa nalala pia.
Kumbe katika kipindi chote elly alipokuwa kimya alikwenda south africa kimasomo kwa miezi tisa nililijua siku hiyo ambapo nilipeleka makusanyo ya fedha benk nakumbuka mara ya mwisho nilikuwa na milioni nne kweny akaunti yangu cha ajabu nilipoingiza zile laki tatu nilizokuwa nazo nikashangaa kuona salio langu ni milioni 14 tanzanian shilingi nilishanganyikiwa "ooh my God ni nani kaniingizia pesa kweny akaunti yangu, au sam? No sam ni juzi nimetoka kumtumia laki mungu wangu"
"Hello, enhee sam eti umeniingizia pesa yeyote kweny akaunti yangu?
" hapana sijafanya hivyo" wakati naongea na ile simu kuns simu iliingia "okey kata kuna mtu ananipigia nitakupigia baada ya"
"sorry ebu kata kuna simu inaingia nitakupigia baada ya" Kweli sam alikata na mimi wakati huohuo nilitoa simu masikion na kuitazama simu inayoingia ilikuwa ni namba ngeni nadhani zile code si za hapa nchini nilipata wasiwasi sana akili yangu ikanituma au kuna mtu kachukua namb zangu fb ndo huyu ananipigia. Nilitafakari pasipo kupokea simu mpk ilikatika.
Niliweka simu kwenye hand beg yangu kisha nikatafuta bajaj inipeleke nyumban kwangu kijichi. Kweli haikupitq muda bajaj ikaja tukaanza safari kwa mtu ambaye alimuona emmy miezi kumi nyuma awezi kuamini akiniona leo kwani nilibadilika sana kimuonekano na kadri siku zinavyozidi kwenda nazidi kuwa mcharo/kung'ara na kikubwa zaidi mimi ni muangaikaji sipendi kukaa bure kumtegemea mwanaume. Kuna mteja alinipigia simu alikuwa anahitaji mzigo ni mkaka ambaye nimetokea kuzoeana nae sana huwa ananitaniq mno.
'Niaje emmy muuza ubuyu!
"Niambie janu mzee wa mipango"
"Poa agent wa shilawadu nasikia wewe ndio unawauzia ule ubuyu mtamu ambao ukila unatoa ya moyoni"
"Hahaaaa janu wewe nakuona unakula tu ubuyu"
"Umejuaje? Nilikuwa sipendi ubuyu ila toka nimeupata ubuyu wa emmy basi napenda ubuyu mno niambie ninaweza kupata mzigo"
"Unataka wa mifuko au wa kilo"
"Fanya unipe wa kilo nataka kilo nane"
"Sawa usijari nitakuletea ofisini kwako kesho saa nne"
Maongezi yalikatika nikiwa bado nacheka tu mimi nipo social na napnda sana kuihudumia jamii yangu na ndio maana nina ndoto za kusomea sheria niwasaidie wanawake wenzangu hasa vijijini.
*************
ITAENDELEAAA


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.