Chombezo : Dada Emmy (Muuza Ubuyu) Sehemu Ya NANE(8)



Niliendelea kunywa kinywaji changu ile juice ila kadri muda ulivyozidi kwenda niliona nguvu zinaanza kuniisha "mmh hii juice kweli au??? Niliona niamke pale nikaanza kutembea taratibu kurudi parking ila nguvu nazo hazikuwepo mwilini nilijikuta natambaa kwa kutumia ukuta nilipoangalia nyuma niliona wakaka wawili wanakuja na pale nilipo ni kichochoro nikawa na wasiwasi juu ya usalama wangu
Niliona kizunguzungu na wale watu nyuma walizidi kunikaribia niliogopa mno ila nitatumia njia gani kuokoka? Nilishikiria ukuta nikawa nashuka nao taratibu huku moyoni nasema "heee yesu nisaidie niokoke na ili"
"Oya zigo lenyewe si ndio hili ebu limulike? Aliongea kaka wa kwanza(mrefu mweupe)
" ndio tunafanyaje sasa na tumepewa kazi dada mwenyewe kazima/unconscious/
kapoteza fahamu" aliongea wa pili (mfupi mweusi)
Nilijifanya nimezimia kweli ila bdo nilikuwa macho sema hali yangu haikuwa nzuri, nilifikiria ni nani aliyenifanyia haya yote "ni kaka rafiki kweli kaniingiza kwenye huo mtego kweli" kabla sijapata jibu mmojawapo alipokea simu.
"Hallo eheee ndio tumempata, sawa bosi enheee ndio" alikuwa kaka yule mfupi mweusi
"Ni nani huyo? Aliuliza yule mwingine
" bosi elly huyo, tumpekele au tule mzigo tu, maana kule ana mawili kufa au kupona" alitoa tahadhari yule mweusi.
"Ila kiukweli bosi elly mimi namuheshimu tu anawajali malaya zake yule sijui love na salma na kale kadada kasalma sikapendi ila namtaka sana yule love" aliongea yule mrefu mweupe
"Ila nikwambie kitu francis? Niligundua yule mrefu mweupe alikuwa anitwa francis
" ndio"
"Bosi anajalia sana kuhonga wanawake ila sisi mishahara na pesa zetu atulipi mimi nimeshoka" aliongea yule mfupi
"Hamna juma hii kazi ya kumpeleka huyudada inakuwa?? Aliuliza yule francis
Kwa lengo moja walikubaliana wasinipeleke ila mungu ni mkubwa maana kabla walipanga kunibaka sasa nilipoteza imani na elibariki nilivyokuwa najua alikuwa nje ya nchi kumbe yupo hapahapa dsm anakula bata casino na kuamua kutembea na rafiki yangu na mama yangu mdogo.
" tumsaidie juma uwezi jua ya mungu mengi"aliongea francis
"Kweli ila tuzime simu zetu ili wasitutafute tuhakikishe uyu dada anafika kwake kwa namna yeyote" aliongea juma?
Nilikuwa sijiwezi nakumbuka hatua ya mwisho niliwapatia funguo ya gari baada ya kujua ni watu wazuri walifanikiwa kunifikisha mpk nyumbani lakini wakati huo sikuwa najiweza.
**************
Nilishtuka nipo kwenye usukani wa gari nje ya geti langu jana yake mpka nafika pale nyumbani nilikuwa najielewa japo sio sana ila ilitokeaje mpaka nikawaruhusu waondoke na wakati awakuchukua namba zangu za simu??? Nilijiuliza maswali mengi ila bado jibu sikuwa nalo "ooh shit!! Nimeharibu"
Mgongo ulikuwa unauma sana nilihitaji kupata hata message hapo ndipo nikakaa nikawaza juu ya vipi ninaweza pata message ingekuwa ni kipndi kile cha samson nisingewaza maana hata mimi mwenyewe ni mtaalamu wa mambo hayo since nafanya kazi saloon kwa elibariki enzi zile sina kitu kabisa.
Niliwaza mengi hasa juu ya kufungua saloon ya kike na kiume ambazo zitakuwa na message ndani yake ila sitamani kufanya kazi na wanawake tena kama salma mtu wa pekee ni mama bakari tena ni kwasababu ana shida zake bila hivyo nisingeweza kufanya nae kazi maana wanawake kwa wanawake tundharauliana sana.
Nilishika simu yangu nijaribu kumpigia rafiki yangu jenifa wa shule maana tulikuwa na group discussion siku hiyo, wakati naingia kwenye phonebook mara simu inaingia "mmh namba ngeni jamani nani huyu tena??"
"Hello Juma naongea, hu mzma dada??
" jumaa yule wa jana?? Wow! Me mzima niambie juma" nilishangamka mno
"Mzima unaendeleaje?? Alizidi kuongea juma kwa uhuru zaidi
" safi tu sijui nyie, tena afadhali umenipigia francis yupo wapi??
"Nipo nae pia" alijibu juma
"Sawa ninaweza kuwapata lini kwaajiri ya maongezi na nyie??
" siku yeyote dada wewe tu sisi hatuna kazi tupo tupo" alijibu juma roho ikaniuma vile kusema tupo tupo
"Kwanini lakini juma?? Niliuliza kwa upole mno
" ni story ndefu dada yangu ndio maana tunajiingiza kweny hizi kazi dada yangu" aliendelea kuongea juma
"Basi msiwe na shida nitawatafuta kesho jioni sawa?? Nilibidi nitoe promise
Ni ngumu kuonana na watu kwa wakati huu lakini nitafanyaje na inaonekana kuna siri nzito wanaweza kuijua juu ya watu watatu yani elibariki, salma na love(mama mdogo) ambao kwasasa ni watu wa kushinda casino na kucheza kamari na kunywa pombe kali, hiki kitu nilianza kukihisi mapema maana salma nilikuwa nikimpa pesa lei keshokutwa hana kitu na yeye kila pesa haimtoshi.
********************
Siku zilizidi kwenda kwa kasi na tarehe za kufanya mtihani wangu wa kidato cha sita ilikaribia, niliwaza mno kule nilipotoka haikuwa rahisi " yule emmy niliyeishia la saba huu kwangu ulikuwa ni mlima mrefu kuupanda mpk hapa nilipo ni mungu tu, ila sasa nazidi kumuomba anifanikishe nifaulu mtihani wangu niende chuo kikuu, huu mwezi mmoja uliobaki inapaswa niutumie vizuri mno"
Nilikuwa najitazama kwenye kioo nguo zangu nyingi zilizokuwa hazinitoshi mpk nikawa nafikiria kumpa salma sasa zilianza kunitosha na kupungua kuliko " eeh mungu wangu nina mawazo hivi mpka napungua namna hii" nilijisemea moyoni na ni siku hiyo nilikuwa na appointment/ahadi ya kukutana na juma na francis.
Gari yangu ilikuwa na vumbi ilibidi niipitishe kwa car washing mtongani wakati huo mimi niliingia cafe ya jirani nipate juice maan siku za karibuni sikuweza kutengeneza juice wala kununua supermarket.
"Hallo emmy"
"Kaka rafiki ulivyonifanyia juzi sijapenda hata kidogo" niliongea kwa lawama baada ya kupokea simu yake
"Emmy dhumuni langu sio hilo ninachotaka kukwambia naomba hiyo safari usiende" alinishangaza sana kaka rafiki
"Hapana nashukuru kwa ushauri wako ila mimi naenda wale watu nimeshakubalian
a nao*
"Emmy siku zote nimekuwa nikikushauri mengi ukifata unafanikiwa hata hili nakuomba tafadhari usiende kuna mtego upo mbele yako' aliongea kaka rafiki
" najua na nakuheshimu na asante kwa huo moyo wako ila juzi ulivyonifanyia umepoteza iman yngu kwako tafadhali nakuomba niache na mambo yangu samahani" niliongea kwa hasira mno.
"Saw utakaponihitaji usisite kunitafuta, call me kaka rafiki" alimalizia hivyo.
"Toka uko kaka rafiki bongo? Yani ili kaka eti anawaambia watu waniwekee dawa kwenye kinywaji ili nibakwe sijui ili afaidike nini? Niliongea peke yangu baada ya yeye kukata simu
Nilikaa takribani dakika kumi mbele nawaza juu ya hiyo safari moyo ukawa unakataa tena nisiende nikapata visingizio vingi ila kikubwa nilishaweka mihadi ni ngumu kuvunja, nilipokuwa pale iliingia message " hello dada emmy mbona kimya upo wapi? Ulipoingia huo ujumbe ikabidi ninyanyuke niende kuangalia gari km tayari wamemaliza kuliosha.
"Dada gari tayari" aliongea mmoja wa waoshaji
"Nashukuru sana maana wiki nzma sijaliosha ni shilingi ngapi kaka?
" elfu tatu dada" Alijibu yule kaka
Nilifanikiwa kutoka pale na kuanza safari ya kuelekea huko ambapo nitakutana na juma na francis kichwani bado lindi la mawazo lilizidi kunisumbua "inawezekana huyu kaka rafiki kuna kitu anakitaka kutoka kwangu haiwezekani kwa hili akanizuia nisiende anajua kuna siri ipo hapo" nilizidi kufura/kujaa na hasira dhidi ya huyu kaka rafiki mtu ambye nilimuamini mno kipindi cha mwanzo ila inawezekana kuna kitu pia 'kusema ukweli huyu kaka ameniokoa na mengi kweli hii safari haiwezi kuwa ya mashaka kweli? Juma na Francis nimewajua juzi tu na lengo lao kwangu toka siku ya kwanza lilikuwa ovu nawezaje kuwaamini moja kwa moja tu?" nilikuwa na intra-personal conflict/mgogoro nafsia.
Simu yangu ndogo ilianza kuita japo sikuweka sauti ya juu mno nilifanikiwa kuisikia, nilitazama screen jina likatokea jimmy "khaaa! Huyu nae anasemaje? Nilijisemea moyoni kabla sijapokea.
" hello emmy za siku? Alisikika jimmy
"Nzuri sijui wewe" nilijibu km sipendi vile
"Emmy upo wapi now/sasa?
" nadrive/naendesha jimmy nitakupigia baada ya hapo" nilijitetea tu maana sikutaka story nae
"Unaenda wapi? Aliuliza swali la ajabu sana
" kuna watu naenda kuonana nao kwani vipi? Nilizidi kuchukizwa na conservations ile na jimmy
"Anhaaa kuonana na juma na francis aya kwaheri" aliongea jimmy na kukata simu
"Heloo hello hello jimmy, mmh amejuaje huyu jamani inamaana mazungumzo yangu kwenye simu watu wanayanasa au kuna kitu kinaendelea jmani" kichwa kiliniuma nikawaza mno jimmy nina muda mrefu sijaonana nae yawezekanaje akayajua haya.
************
Ilikuwa ni sehemu tulivu upepo ulivuma kwa uzuri na kumfanya mtu yeyote mahali pale afurahie uwepo wake pale, nilitazama kulia na kushoto nikaona mazingira ni mazuri kabla wageni wangu hawajafika maana ndipo tulipopanga tukutane. Kiza cha mahali pale kilianza kunitia wasiwasi na kikubwa zaidi lile eneo sikulifahamu hapo kabla ingawa ni sehemu ya public/wazi ila kwa sehemu niliyokaa mimi nilikuwa peke yangu.
Kwa mbali nilisikia sauti za watu zikizungumza nilijaribu kutulia ili nijue ni nini kinazungumzwa. Yalikuwa ni mabishano ya watu kama watatu wote hawa walikuwa wakionekana wamedhurumiana kiasi flani cha mgawo/fedha au lolote. Nikiwa bado na wazo lile mara ujumbe ukaingia "mwanangu emmy fanya haraka rudi nyumbani kipnzi" ilikuwa ni namba ngeni ila ni ujumbe wa mama mdogo moyo ulilipuka paaaah;!!! Nikaanza kusikia zile hatua zikija kwangu nilitetemeka na nilianza kusikia mkojo unateremka maana niligundua mahali pale hakuwa salama kwangu
"eeeh mola nitazame mja wako"
Nilianza kutetemeka mkojo nao ulianza kunibana kwa woga nikapata wazo " kimbia kajifiche" nilinyanyuka taratibu nikaanza kunyata kutafuta mahali pa kujificha. Nilifanikiwa kuingia kwenye stoo yenye makreti mengi ya bia na soda, kulikuwa ni kuchafu mno kuna tandabui nyingi, nikaanza kumuomba mungu kisha nikajikunyata na kuendelea kusali "eeh yesu nisaidie kwani umesema hata nijapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti kamwe utaniasha nikumbuke baba"
Suddenly/ghafla nikasikia sauti zinazungumza "yuko wapi huyo emmy?
" alikuwa hapa ndvyo tulivyokubaliana" alijibu francis
"Franc ebu mpigie simu" alitoa wazo juma
Sasa mkojo niliusikis ukichuruzika maana simu yangu ilikuwa hewani tena ina sauti kubwa mno. Cha ajabu alitoka panya akakurupu puuuuu nilishtuka mno nikaanza kurudi nyuma ili wasinione baada ya kusikia kuna movement watakuja na toshi, kulikuwa na turubai chafuchafu pale nililichukua nikajifunika nalo nikatulia tulii.
Kwa mara ya pili niliweza kusikia jina la bosi wao ambaye ni elibariki likitajwa kama ni mtu ambaye ndye anayesimamia haya yote, sasa ilikuwa ni kwanini anafanya haya bado nilikosa jibu. Nilipumua kwa shida sana mwishowe wakaondoka, nikatoka zangu kwa tahadhari kubwa.
Eneo lile lilitisha mno giza kubwa lilitanda pale sikuweza kusikia hatua za watu wala magari yakipita karibu na pale, ilikuwa ni rahisi kwangu kufanyiwa kitendo chochote cha ukatili kwasababu ile sehemu haikuwa na watu karibu.
Nakumbuka masaa manne yaliyopita, nilifika lile eneo ambalo juma na francis waliniomba nifike kwa ajiri ya maongezi wakati naangalia mazingira ya pale nilianza kuogopa kidogo maana kwanza kutoka lile eneo mpaka ilipo main road/barabara kuu ni kiasi cha kilometer mbili. Cha pili ile sehemu ambapo tulifika ilikuwa ni baa ya muda mrefu(chakavu) nilikuta wateja wachache mno wakiwa wamezunguka zile meza lakini cha ajabu walikuwa hawanywi chochote nilipata tabu kujua counter ilipo maana hata umeme pia haukuwepo, kingine kilichonitisha ni juu ya mazungumzo ya wale watu walionekana ni watu wanaodeal na mambo fulani ya uharifu na pale ndio ilikuwa camp/ngome yao.
Nilitazama gari yangu nikaiona ilikuwepo kwa kitendo kile nikajua sasa nitarudi nyumbani salama, nilifungua mlango kwa tahadhari kubwa kisha nikachomeka funguo kabla sijaixungusha nilishtuka navutwa nje(kutoka kwenye gari kuja nje) nilianguka kama mzigo vuuuuupuuu "mamaaaa" nilisikia mgongo ulivyojipa nilinyanyua uso wangu nikatazama sura zao hakuwa francis wala juma ni mibaba mingine kabisa nyenye miraba minne.
,"mnataka nini kwangu" nilitoa sauti ya kulia
"Tunataka roho yako", walijibu
" msinigombanie basi roho yangu nawapa jamani" niliongea kwa ujasiri ulishanganyika na woga.
Haikuwa rahisi kusikilizwa kumbe lengo lao lilikuwa ni kunibaka na kuniua kabisa waliipandisha blaux yangu juu na kuanza kuchezea maziwa yangu kwa kunyonya kwa zamu, wakatoa madudu yao na kuanza kuyapiga piga yule mmoja alikuja na kunishika kiuno ilikunitoa suruali yangu, nilikubali kujilegeza wakati natafuta upenyo, alifanikiwa kuivua ile suruali mpaka magotini akanibinua miguu juu na kupaka mate dudu lake na yule wa pili akaniletea mdomoni(,oral sex) nifungua mdomomkononi nilikuwa na funguo yule aliyetaka kuniingilia nilishika dudu lake kama nataka kuliingiza nikabinya korodani zake kwa nguvu kikasikika kilio "haaaaaaaaaaaaa
aaazZZZZ" yule mwengine nikang'ata kichwa cha dudu lake na kuchoma na ule funguo wote wakaanguka chini.
Nilianza kukimbis kutafuta msahada, kumbuka kutoka nilipokuwa mpaka main road ni kilometer mbili hivyo kwangu ulikuwa ni mtihani ila kikubwa ni kuokoa maisha kwanza maana niliasha mkoba wangu ambao ulikuwa na simu na pesa(50000) na kadi ya benk ila sikuvingalia hivyo kwanza.
Wakati naendelea kukimbia mara likaja gari kwa nyuma nikaomba msahada kama bahati akasimama nilifurahi nikaona angalau naweza kukomboka.
Safari ilianza nilianza kumuelezea juu ya kilichotokea baada ya kumuona yeye ni mtu mzuri na kweli tulifika mpaka main road ambapo kulikuwa na magari mengi. Nilimwambia ninapohitaji kwenda akaniambia atanipeleka.
Nilikuja kushangaa nilipoona ananipitisha sehemu ambayo nisingeweza kabisa kufika nyumbani nilianza kupiga kelele kumsihi anisaidie lakini akuonyesha kuwa nq wasiwasi alicheka na kunishika kwenye mapaja
"Binti siku hizi hakuna msahada wa bure na jinsi ulivyo mzuri utanisamehe tu dada"
Baada ya kusikia yale maneno nilijua tayari sipo tena kwenye mikono salama, nilianza kuwaza nifanyaje kujiepusha na lile songombingo. Nilishangaa gari likisimamishwa akatoa mkanda na kugeukia seat ya pembeni ambayo ni seat yangu na kuvuta pumzi "mmmmmhiiiiiiiii"
"Vipi umechoka? Niliuliza kwa maana yangu.
" sana aisee ndio maana nataka unipe raha nipunguze uchovu"
"Aaaha sawa yeah ni kweli inabidi nilipe fadhila lakini unaonaje ukipajua kwangu kwanza hata kama mapenzi tukiyaanza leo yaendelee kudumu" nilicheza na mind yake.
"Mmh una kwako au unaishi nyumbani? Aliuliza
" nina nyumba yangy na ninaishi alone"
"Una bwana wewe? Aliuliza kwa mshangao kidogo
" bwana nilikuwa naye ila aliyonitenda simtaki tena nataka mwanaume ambaye yupo commited" nilizidi kumvuruga sycological
"Ahaa sawa kumbe ningeharibu kukufanyia kitendo kibaya" alijihukumu moyoni
"Kwani umeoa? Niliuliza swali kidogo km nilikuwa na majibu yake maana kwa muonekano ule inawezekana ni mwenye mke na watoto wakubwa tu.
" aaaha nilikuwa na mke lakini alichonifanyia sitakaa niwaamini wanawake" machozi yalianxa kumtoka.
"Naomba punguza hisia zako basi ila unamuamini mungu na unasali dini gani? Niliendelea kumvuruga kisaikolojia
" mimi ni mrutheri ila binti una roho gani wewe mpaka nashangaa imekuwaje, naona sasa ni usiku sana naomba nikuchukulie guest ulale mimi nitalala kwenye gari" aliongea kwa huruma sana.
"Hapana naomba tutalala humohumo kwenye chumba kimoja nimekuamini kwakuwa nawe umeonyesha kunielewa" niliamua kurisk/kuhatarisha maisha yangu lolote na liwe.
**†******************
Nilichelewa kuamka nikawa najinyoosha tu kitandani hata sikujua nipo wapi mawazo yangu nipo nyumbani, alarm ya kichwani ikagonga taaaap nikakumbuka yaliyotokea jana niliamka harakaharaka nikajitazama, nilishangaa kwanza ni nguo zilezile nilizovaa jana nilitupa macho sakafuni yule mtu sikumuona zaidi niliona karatasi na noti za elfu kumi mbili, nilishangaa mno, nilinyanyuka na kwenda kukichukua kile kikaratasi.
Dada usiku kucha sijalala nafikiria roho iliyo ndani yako imenibadilisha sana dhamiri yangu uwezi amini nimelia sana kama mtoto, naomba nisamehe kwa yote niliyoyatamka juu yako. Ninakwenda ila nitarudi naitwa Ford namba yangu ni hii 0655085519 unaweza nitafuta pia kama tutapishana.
Kilikuwa kimemo kidogo nilikisoma nikamshangaa sana mungu na kwa simulizi ile nikimwambia mtu awez kuniamini kama kwenye chumba hiki nimeashwa salama.
*********
UPANDE WA PILI.
baada ya mr ford kutoka pale guest alianza safari ya kurudi kule mbwabwe sehemu alipokutana na yule binti ule usiku wa manane, ni umbali mrefu unachukua takribani lisaa na nusu kufika uko, ila hatimaye akafika.
"Zunguuu niambie" ford alijulikana kwa jina la zungu kutokana na weupe wake.
"Jamani lile gari ni la nani? Aliuliza ford
" bwana bwana zungu kuna mdada mmoja jana katukimbia usiku wa manane boss anamuitaji sana yule dada maana inasemekana alikuwa mtu wa boss lakini boss anahofia michongo yake binti atamchoma hivyo anataka hampoteze, sasa hiyo jana alichotufanyia yule mwanamke mshenzi hasaaa hapa ndugu yangu babu hali yake sio mbaya" aliongea moja ya vijana mhalifu.
"Sasa hapa sio salama kabisa kuendelea kukaa kama inawezekana tuondokeni maana polisi muda wowote watatia maguu, ebu nipe funguo ya ilo gari niangalie oil na mafuta" aliongea ford/zungu huku anapokea funguo
"Aisee zungu yule mwanamke mwisho sasa ngoja nimuamshe babu tuamshe maana tulikuwa tunamsikilizia bosi tu hapa"
Mr ford aliona ule ndio ulikuwa upenyo wa kutoroka na lile gari, alipoangalia kwenye dashboard akakuta simu mbili, pochi ya kike ndani yake kulikuwa na pesa na funguo nyingi pia na vipodoz vya kike "anhaaa sawa hapa naweza kwenda maana oil kila kitu kipo poa"
*************
UPANDE WA EMMY.
Baada ya kumaliza kuoga nilikaa kitandani nawaza jinsi ya kutoka pale guest tayari ilikuwa saa tatu na busy asubuhi. Usoni sikupaka mafuta wala make up yeyote nikawa nawaza nitaondokaje pale mara mlango ukagongwa.
"Mmmh wenye vyumba wanataka chumba chao mmh ngoja nivae viatu niwaachie room yao" nilijisemea baada ya kuvaa viatu nikaenda kufungua mlango sikuamini macho yangu kumuona yule ford akiwa na pochi yangy mkononi na simu zangu.
"Habari yako dada* alisalimia kwa bashasha
" jamaniiiii salama pole na asante jamaniii yani sina cha kukuripa mungu akusaidie" nilikuwa ni mwenye furaha mnooo
"Shukrani ila nimepigiwa simu na bosi wangu nikwenda kufata mzigo mimi ni dereva wa kampuni ya gsm naomba niende ila tutakutana mungu akipenda"
Aliongea na kuanza kunyanyuka kisha akageuka
"Nilitaka kusahau gari nimepaki hapo kulia nimeshaweka mafuta nakutakia siku njema.... No no no nimesahau unaitwa nani?
" jamani hizo haraka mpka utaki tujuane naitwa emmy nakaa kijichi ccm ukifika pale ulizia kwa dada emmy muuza ubuyu"
"Kheee kumbe ni mjasiriamali mkubwa hivyo najua kwa umaarufu huo sio ubuyu huu ninaouna ukiuzwa mtaan" alitania
"Kidogo hivyohivyo kaka yangu"
************
Nikiwa ndani ya gari nilikuwa nawaza mno juu ya yule mtu ndipo nikamkumbuka kaka rafiki nikaanza kuandika namba zake maana nimezikariri kichwani wakati nataka kubonyeza call simu ngeni ikaingia.
"Hello emmy harakati zako nimezielewa nakupa siku tatu uache hizo harakati la sivyo nitakuua" ilisikika sauti nzito upande wa pili.
ITAENDELEA


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.