DALILI KUMI(10) ZA MPENZI ALIYEKUCHOKA..



Image may contain: 1 person

...{..1..} Anapunguza mawasiliano siku hadi siku.
Ni tofauti ukilinganisha ukaribu wa mawasiliano katika kipindi cha awali,mwanzon alikuwa moto kwa kipindi hiki utamuona amepoa kama barafu.

...{...2...}..Hataki ama anakwepa kuonana na wewe mara kwa mara ikilinganishwa na zamani.

...{...3...}..Mkiwa wote hachangamki kama zamani.

...{...4...}..Hukutafuta pale anapokuwa ana shida ya Ngono hasa Mwanaume.
Kama Mwanamke atakutafuta sana kwa shida ya pesa.

...{...5...}..Ni mvivu katika Ngono/mapenzi muwapo kitandani tofauti ukilinganishwa na zamani.

...{...6...}...Hukuongelea
 Mafumbo na hapendi kuweka wazi jambo usiloelewa.

...{...7...}...Hataki umuulizie Maswali Mengi juu ya jambo fulani.

...{...8...}..Neno tuachane huwa jirani mdomoni mwake.

...{...9...}..Huwa hajiamini hasa mkiwa pamoja au kuongozana barabarani.
Hasa sms inapoingia au simu ikipigwa mkiwa wote lazma apepese macho na kukosa amani,kwani simu yake imejaa majanga.

...{...10...}..Hujibu kwa ukali mnapojadili jambo na huwa hapendi kurudia jibu lake.

...#UKIONA HAYA SHTUKA NA TAMBUA MAMBO YASHAANZA KUBADILIKA#..
...TAFAKARI NA CHUKUA HATUA.



USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.