Nirahisi mwanaume fukara kupata mwanamke mwenye upendo wa dhati kuliko mwanaume tajiri.

Image may contain: 1 person

Kwani Mwanamke anaweza kuigiza Upendo kwa sababu ya utajiri wa mwanaume ila nivigumu mwanamke kuigiza upendo kwa mwanaume fukara.

Hivyo amini kabisa kuwa, asilimia kubwa ya wanaume matajiri wanaishi na wanawake wasio na upendo kwao bali hao wanaume ndio wenye upendo kwa wanawake.

Ukitafuta mchumba na ulisha kuwa na mali kuna asilimia kubwa ukawa umependa wewe ila siyo kupendwa.

Na wewe mwanaume kila siku unalalamika hupendwi wakati hata pesa huna sasa mwanamke amefuata nini kwako kama siyo upendo wa dhati?, jirekebishe huenda wewe ndiye chanzo cha migogoro huyo mwanamke anakupenda .🙏🏿


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.