FANYA MAAMUZI YALIYO SAHIHI

angelrutayisire-20190429-0002
Habari yako msomaji wangu,,,,,kuna wakati tunawaacha watu wema kwa tamaa za muda mfupi,,,,utamuacha leo kwa kuwa hana muonekano wa mwanamke/mwanaume unayemtaka,,,unamuacha eti kwasababu haendani na wewe kimuonekano,,,tunasahau kuwa huyo unayemuacha ndiye mtu sahihi kwako,,,,,kama tatizo ni muonekano wake kwanini usimbadilishe afanane vile unavyotaka,,,Mali huja kwa wakati pambaneni pamoja mfurahie mlichokitengeneza,,,,,,waswahili husema"majuto ni mjukuu"Wengi hujuta kwa kuacha kilicho chema na kupata maumivu kwa fungi alilolichagua.


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.