Usitafute kitu usichokijua

7878FC87-4B01-43B3-925D-78C5DC94C948


Vijana wengi wamekuwa wakiyumbishwa katika suala zima la kutafuta mpenzi sahihi,,,, imekuwa ni KITU cha kawaida ukimuuliza mtu anataka mpenzi wako aina gani #anakwambia anahitaji mpenzi muaminifu,sahihi na mengine mengi,,,,cha ajabu ukimuuliza mtu sahihi kwake ni yupi anakosa jibu la kukueleza ukamuelewa,,,,,sasa ukiwa hujui hata huyo mpenzi sahihi anafananaje unadhani utampata kweli?,,,,utakuwa mtu wa kubahatisha huenda huyu akawa sahihi halafu mwisho wa siku iwe ndivyo sivyo,,,,HAKIKISHA UNAFAHAMU UNAHITAJI MTU WA AINA GANI KATIKA MAHUSIANO YAKO,,,,HII ITAKUSAIDIA KUTOPOTEZA MUDA KWA WATU WASOKIDHI VIGEZO.


USISAHAU KU LIKE PAGE YETU,BONYEZA LIKE BUTTON

No comments:

Theme images by pollux. Powered by Blogger.