MBINU ZA KUMFIKISHA MWANAMKE KILELENI HIZI HAPA.
Mw-ili wa mwana-mke ni tofauti na wa mwanaume linapokuja swala la kujamiiana. Mwanaume ni rahisi sana kupata ashki hasa akiona m-wili wa mwa=namke ukiwa uchi. Mwanaume anachohitaji ili apate ashki ni kuwaza ngo-no, pamoja na kuona mw-ili wa mwa-namke, hiyo inatosha kumuweka tayari kwa tendo la kujamiiana. Kwa kawaida mwanaume huwa anapata ashki kwenye maeneo yake ya siri peke yake na siyo m-wili mzima kama ilivyo kwa mwan-amke. Mwan-amke yeye ili aweze kupata ashki na awe tayari kufanya tendo, inatakiwa aandaliwe vya kutosha, kwani m-wili wake wote unatakiwa upate ashki na siyo sehe-mu zake za siri peke yake kama ilivyo kwa mwanaume. Kuamsha sehe-mu za si-ri za mwanaume ni rahisi sana, ni eneo dogo, na huchukua muda mfupi sana, chini ya dakika moja. Lakini kuamsha m-wili wa mwa-amke ili uwe tayari kufanya ngo-no siyo rahisi kufanya hicho, inahitaji muda mrefu, zaidi ya dakika tano mpaka saa moja au zaidi kutegemea aina ya maandalizi au aina ya mwanam-ke. Kwa hiyo wanaume wanatakiwa wafahamu tofauti hizi,
ili kupunguza lawama zipungue kama sio kuzifuta kabisa, na mimi ninaamini ipo siku zitaisha kwa kadiri dunia hii inavyozidi kuwa ndogo mfano wa kijiji. Kwa kawaida baadhi ya wanaume huwa na haraka sana, huwa wana papara sana, na sijui huwa wanataka kuwahi nini na wapi. Mwanaume huwa hana subira wakati wa kufanya ngo-no, anataka afanye haraka, amalize kisha ageukie ukutani. Sijui huko ukutani huwa kuna nini, huu ni ukatili, haukubaliki. Haitakiwi mwanaume amwingilie mwa-namke kama mw=anamke hajawa tayari kwa tendo. Maandalizi kabla ya ngon-o ni jambo muhimu sana kuliko hata ngo-huwezi kuifurahia ngo-no.Kuna njia nyingi sana za kumuandaa mwanam-ke, nitazitaja chache.
Mojawapo ni njia ya mazungumzo, mwanaume anatajkiw aaongee na mpenzi wake kwa lugha nzuri, kwa maneno matamu na yenye mahaba. Atumie muda mwingi kuzungumza naye, asiwe na haraka kuanza kufanya ngo-no. Mazungumzo yahusu masuala ya uhusiano ukiwemo upenzo. Usizungumzie madeni yako unayodaiwam, usizungumzie matatizo yako au ya familia yenu. Baadhi ya wanwake wanaweza kujisikia kujamiiana kutokana na mazungumzo peke yake.
JE UNATAFUTA AJIRA AU NAFASI ZA KAZI TENDER AU INTERNISHIP NA HABARI ZA ELIMU NA VYUO VIKUU TANZANIA PAKUA APP YA AJIRA , BONYEZA HAPA KUIDOWNLOAD KWENYE SIMU YAKO
Lakini pia kuna baadhi ya wanwake wengine ambao huwa hawapendi kufanya ngon-o unapokutana nao kwa mara ya kwanza, wanataka tu mzungumze tu na si zaidi ya hapo. Jambo hili kwa wanaume walio wengi ni gumu sana, wao wantaka ng-ono siku hiyo hiyo ya kwanza. Sisemi kufanya hivyio ni vibaya au vizuri, inategemea mazingira na makubaliano yenu.Njia ya pili ni ya kumshikashika sehemu mbalimbali za mw-ili wake.
Njia hii inaweza kwenda sambamba na ile ya kwanza. Wakati unamshikashika usitumie nguvu, mshike kama vile unampapasa. Achana na mambo yote uliyoambiwa na rafiki zako kwamba mwan-amke ukimshika sehemu Fulani ndio anajisikia kufanya ng-ono, huu ni utoto, ni ukasuku. Wanwake wote wanatofautiana. Linapokuja swala la kujamiiana mw-ili wa mwa-namke unaweza kuufananisha na dunia hii tunayoishi. Una milima na mabonde, mito, maziwa na bahari, una mbuga za wanyama kwa kifupi ni kwamba, una kila kitu unachokiona hapa duniani, ni juu ya mwanaume kuwa mvumbuzi wa maeneo mbalimbali atakayoyatumia kumuandaa mwana-mke aliye naye ile awe tayari kufanya ngo-no na kufika kileleni kwa urahisi.Wakati mwanaume anaendelea na utafiti huo wa kumuandaa mwa-namke anatakiwa awe macho na atumie milango yake sita ya fahamu.(Najua kuna wazo limekuambia nimekose) Sijakosea, milango ya fahamu ipo sita na siyo mitano kama ulivyofundishwa.
Mwanaume anatakiwa atumie milango yote sita ya fahamu ili kujua ni maeneo gani anapoyagusa yanamfanya mwan-amke ajisikie vizuri zaidi, yanamfanya asisismke. Pia ni maeneo gani akiyagusa yanamfanya ajisikie vibaya. Mwanaume anatakiwa apelike uzingativu wake kwenye yale maeneo yanayomfanya mwa-namke ajisikie vizuri. Kwa kawaida, maeneo Fulani yanaweza yakamfanya mwana-mke Fulani ajisikie vizuri, lakini maeneo hayo hayo ukimshika mwan-amke mwingine anajisikia vibaya au anakereka. Haitakiwi mwanaume akariri maeneo yanayoleta msisimko mmoja na kuyatumia kw amwana-mke mwingine, hiyo si sawa. Kwa hiyo mwanaume anatakiwa aachane na mazoea, wakati wa kumuandaa mwan-amke na badala yake anatakiwa awe mvumbuzi kama super.
Mapenzi Kila siku mwanaume anatakiwa ahakikishe anavumbua maeneo mapya, milima mipya, mito mipya, mbuga mpya, bustani mpya, bahari mpya, …nk. Nilisema mwi-li wa mwanake ni kama dunia, hivyo mwanume hatakiwi atosheke na maeneo aliyoyagundua, kila siku anatakiwa agundue maeneo mapya yanayoleta msisimko kwa mwenzi wake. Je utajuaje kwamba sasa mwa-namke yupo tayari kwa tendo…..? Baadhi ya dalili utakazoziona ni mabadiliko katika upumuaji, sehemu zake za siri, matiti, kkijasho chembamba kwenye ngozi. Lakini kwa kuwa wewe ni mvumbuzi, hakikisha unavumbua nyingine nyingi zaidi. Ukweli ni kwamba zipo nyingi mno, usikariri, kila mwanam-ke ana dalili zake, kuna uwezekano mkubwa zikatofautiana.
Baada ya kuona dalili hizo, ndipo tendo linaweza kufanyika….. Kufika kileleni……..! Jambo la kwanza litakalokuwezesha kufika kileleni ni kufuta kwenye akili yako yale mambo yote hasi uliyoambiwa na jamii kwamba ng-ono ni mbaya, ng-ono ni dhambi, ngo-no ni uchafu. Anza kuiona ngo-no ni tendo takatifu, ni kitu kitakatifu, ni tendo la uumbaji, ni zawadi kutoka kwa Mungu. Jambo la pili ni kutoruhusu akili yako kuingilia wakati unafanya ngo-no. Kama kitanda kinapiga kelele, kiache kipige kelele, kama unajisikia kulia wakati unafanya ng-ono usijizuie, bali lia. Ukijisikia kupiga makelele, piga, usijizuie. Kama utajisikia kunyanyua miguu juu au mikono, usijizuie, we nyanyua tu.
Uache m-wili ufanye chochote unachotaka kufanya. Usiiruhusu akili yako kuingilia kwa namna yoyote wakati unafanya ng-ono. Usiwe mshiriki na badala yake unatakiwa uwe mtazamaji. Unatakiwa uwe mshuhudiaji wa wili wako na tendo lote kwa ujumla. Uwe kama mtu anayetazama mpira uwanjani na siyo mchezaji. Wakati unaendelea na ngon-o usiiruhusu akili yako ikaanza kuwaza kwamba, huyu mpenzi uliye naye ni mzuri au mbaya, anajua mapenzi au hajui, leo nitafaidi au sitafaidi, sijui nitamridhisha, sijui nitaambukizwa ukimwi au magonjwa ya zinaa, sijui nitapata mimba, sijui kondom itapasuka, sijui kuna watu wanatuchungulia huko nje, sijui haya maumbile yake makubwa yataniumiza….. yaani akili yako inatakiwa ijiepushe na mawazo ya aina hiyo au yanayofanana na hayo. Kama akili yako imejaa mawazo ya aina hiyo, ni vigumu sana kufika kileleni.
Ukweli ni kwamba huwezi kufurahia ngo-no hata kidogo, sana sana utatoa manii tu basi…
No comments: