MAPENZI YA KWELI YANAPATIKANA WAPI KATI YA MITANDAONI NA MITAANI,UMEPANDA,ULICHOVUNA NINI,,?
Yawezekana ni mahindi,karanga mpunga n.k
Sasa kwenye mahusiano yako umewekeza upendo je malipo yake nini,,?
UMEPANDA ukatarajia kuvuna mpunga gunia 💯 kwa hekari1 msimu wa mavuno haujapata hata gunia 50,je hapo umepata faida au hasara?

Jamani mapenziðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜,mapenziiiiii,mapenziiiiiiiii oooh
Yanaliza watu mno.
Vyanzo ni vingi kumpata mtarajiwa wako,vyote uenda vina usalama au hatari kulingana na aina ya mtu husika na malengo yenu.
Mwingine yuko serious kimapenzi iabisa ila mwingine yupo kimaslahi na hao ndio wanaoharibu uwanja wa mahusiano na kuonekana ni utapeli mtupu,utasikia mapenzi ya mtandaoni sio kabisaaaa!!!

CHANZO CHA MAPENZI MTANDAONI.
Niliwahi kusema juu ya mahusiano yanayozaliwa mtandaoni,yanaweza kuwa Bora au kuwa mabaya,mkaishia kuchat tu mkapotezana,wengine kuishia kutuma nauli zikaliwa na mwisho wakazimiana simu.
Yapo yaliyo imara,yaliyo Bora kiasi cha kuwa mke na mume wanaoishi kwa upendo,amani na furaha kuliko hata waliokutana kwenye nyumba za ibada,so sio yoote ya utapeli.

UTAJUAJE LINA USALAMA AU HALINA USALAMA.
Mtandao ni Dunia kuwa karibu kama kijiji,usiogope kujuana na mtu mtandaoni cheza na akili zake,jiongeze.
Penzi kuwa Bora SI kitu cha kupiga ramli,linajionyesha wazi.
Hamuonani,hamlali pamoja Wala kukaa pamoja ila kupitia mawasiliano yenu utaona na kujifunza kitu fulani.

Ni Kama penzi la mbali kwa wapendanao/mke na mume chakula chake Ni mawasiliano imara,sio sex Wala kutoka out.
Ukianza kuona Kona Kona nyiingi,nilikuwa mbali na simu kuutwa umemtex au kumpigia hapokei masaaa anajitetea hakuwa na simu,hakuna kitu hapo lilishakufa,kilichopo anacheza na ufahamu wako,jiongeze uinuke ukalizike penzi mfu hilo.

PIMA MWANZO NA SASA YAKOJE.
Kama mwanzo simu zilikuwa busy mnachat mpaka simu zinaishiwa chaji,zinachomekwa kwenye chaja na kutumia mpaka zinachemka kuwa za motoooo,mnaongea masaa leo kinashindikana Nini?
Kama mwanzo mlilala usiku Sana leo Kuna Nini saa mbili usiku unaagwa jua kuna mwenzako anakula pilau live wewe wala lile bandia.
Saa mbili tu visa vingi,nimechoka hata simu inazimwa,jiongeze.
Nitakuchek baadae nyingi nainaisha hivyo,anaishia nitakuchek plz,pliiiiiiiiiiiiiiz ndio kwa heri.
Jamani ukijua tabia za mapenzi Kuna raha Sana,mjifunze mtaumia ila SI uhumiaji huo.

UKIDUMU NAE ZAIDI YA MWAKA,USIMPOTEZE.
Naongelea penzi la mtandaoni,mmeanza kuchat now wapenzi.
Mkimaliza mwaka bado penzi lile lile la Moto Moto, ilove you,I need you nyiingi,ukweli Kila mmoja amejikita kwa ndani sio usanii basi palilia na kulimwagilia hilo penzi la kweli.
Kuna tabia za kisanii ila hazidumu kumaliza mwaka,lazima atarudi kwenye asili yake.
Tabia njema huwa hazibadilikaji,zinadumu miaka yoote.

Ahsante
No comments: